Search results

  1. M

    Watanzania hatupaswi kumlaumu Magufuli, tujilaumu wenyewe kwa kuishi kwa mazoea

    Watanzania wa kipindi cha kwanza cha Mkapa watakubaliana nami kuwa mazoea yanaharibu sana fikra za jamii. Kipindi cha kwanza cha Mkapa nchi ilikuwa imetoka katika uongozi wa ruksa maana yake nchi ilikuwa haina mifumo imara hivyo alipoingia Mkapa alisababisha watu wengi kuanza...
  2. M

    Uchaguzi 2020 Nitashangaa Wafanyabiashara kumnyima Magufuli kura

    Kila nikikumbuka maamuzi magumu ya Rais Magufuli kuhusu Corona, sina shaka na utimamu wake na ujasiri. Kwa kipindi kama kile ambacho nchi nyingi ziliamua kufunga biashara na shughuli nyingi za kiuchumi, mtu huyu aliamua kwamba wafanyabiashara waendelee na biashara zao na shughuli nyingine...
  3. M

    Ni Mungu pekee ndiye hutoa haki na hukumu ya kweli na si mwanadamu

    Nimeamua kuwaelimisha watanzania walio wengi wanaojifanya kujisahaulisha kuhusiana na uwepo wa Mungu Kwanza naomba nimuonye mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kwa kauli zake anapoomba kula kwa watanzania akidai atatenda haki. Pili nimpongeze Dkt. Magufuli kwa kauli zake za kumuogopa...
  4. M

    Sichukii kuzaliwa Mwafrika wala sichukii kuzaliwa Afrika; nachukia kutojikubali kuwa mimi ni Mwafrika

    Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, Katika kipindi chote nilichoishi hapa duniani nimeweza kupata kujua mwafrika ni mtu wa namna gani. Mwafrika anajichukia sana ila mwafrika amepewa nguvu na akili nyingi licha ya kwamba yeye mwenyewe halijui hilo, sio kwamba hajui kwa...
  5. M

    Wanangu wanaona ni bora wapate pesa za matanuzi na starehe kuliko kuwafanyia maendeleo

    Historia yangu na wanangu ni ya kusikitisha, kufurahisha, inatia huruma na kushangaza. Mwaka 2015 niliwaita wanangu wanieleze wanakerwa na jambo gani ambalo mimi baba yao silisimamii vyema, wengi zaidi 80% walisema hawapendendezwi na udhaifu wangu katika kusimamia shamba...
  6. M

    Kamwe siwezi kulidharau dafu huku nikijua embe ni tunda la msimu

    Taifa letu kwa sasa kuna uchaguzi lakini kuna jambo ambalo si tu kwamba lakijinga bali ni lakishetani sana, katika mitazamo ya kawaida unaweza ukadhani vijana wamevutishwa bhangi lakini uhalisia ni kwamba shetani ana nguvu sana, kwa tabia ambazo watu hasa vijana...
  7. M

    Vijana wa Kitanzania na tabia za fisi

    Kiumri mimi siwezi kujiita kijana ila nimepitia huko katika nchi yetu hii Tanzania nguvu kazi kubwa ni vijana wasomi na wasio wasomi hawa wote hulka zao nazifananisha na fisi msituni, maisha yake yote fisi msituni utumia nguvu nyingi katika kunyang'anya mawindo ya wanyama wengine...
  8. M

    Kwanini watanzania wakienda nchi zilizoendelea hupiga picha maeneo ya kuvutia tu na si vingine

    Kama kawaida yangu na mada za kizalendo, tokea nimezaliwa nimekuwa nikisikia juu neno maendeleo hasa zikizungumziwa Ulaya na Marekani na baadhi ya nchi za mashariki, lakini imekuja kunigusa tena kwenye kampeni za uchaguzi ambapo watu wanabishana kipi kianze sasa...
  9. M

    Watanzania walio wengi ni wavivu wa kufikiri, wepesi wa kusahau, wajuaji wa kuongea kuliko matendo

    Nakumbuka katika kampeni za 2015 na kurudi nyuma hoja kubwa za upinzani ilikuwa ni ufisadi na ubadhilifu wa mali za umma, alipoingia Rais John Joseph Magufuli amefanya mengi kuakikisha anayafuta kabisa, ametumia nguvu nyingi kuyaondoa lakini kwa kipindi hicho pesa ilikuwa nyingi sana lakini...
  10. M

    Uchaguzi 2020 Dkt. Magufuli sera ni mali ya chama lakini si msaafu katika kampeni zako ongezea na yanayopendwa na Wananchi

    Kwanza nakupa pongezi kwa kazi kubwa uliyoifanya kwa miaka mitano ya kutujengea miundombinu ambayo itakapokamilika itakuwa nyenzo nzuri ya maisha kwa wananchi wa kawaida ambayo kwa sasa wengi wao wanajifanya hawaioni, mladi kama bwawa la mwalimu nyerere utakaopunguza gharama za...
  11. M

    Uchaguzi 2020 Hoja ya CHADEMA kwamba wahudhuriaji wa mikutano ya CCM kwamba wanabebwa kwenye magari naifananisha msemo wa usilolijua sawa na usiku wa giza

    Kwanza niwaulize hao wanaouzulia mikutano yenu wanatokea umbali gani? Kama wanatokea nje ya miji au katikati ya miji wanatumia nauli zao au zenu? Mna uhakika gani kama wamejiandikisha au lah!, mnajuaje kama wote wamekuja kwa lengo la kuwapenda maana watanzania ni kawaida yao kuhudhuria...
  12. M

    Ni mashine inatengeneza peasa au ni pesa inatengeneza mashine?

    Tumuombe mungu atujalie uzima maana katika kipindi hiki tutaona mengi ya kuthibitisha kwamba mwafrika ni Tabaka la mwisho kabisa kifikla,katika kipindi hiki cha kampeni kuna mgombea amejizolea kundi dogo la wanaomsapoti kwa hapa Tanzania tunawaita "MAKANJANJA" kutokana na tabia walizokuwa...
  13. M

    Uchaguzi 2020 Lissu anapouaminisha Umma kuwa atakuwa Rais bora kupitia hulka za mtu aliyesomea Sheria

    Kwanza nikiri wazi kwamba mtaji wa siasa ni maneno matamu, lakini siasa ni adui mkubwa wa ufahamu na nirafiki wa shetani, mwanasiasa si wa kumwamini 100% kwa sababu siasa ndio chanzo mabaya yote duniani. Tokea nimemfahamu mtu aitwaye Tundu Lissu nimejifunza kitu baada ya kufuatilia watu...
  14. M

    Lissu na sera za kuifanya nchi dampo la bidhaa za nje na uchumi tegemezi wa kutupwa

    Ni wiki ya nne sasa tokea kampeni zifunguliwe tumesikia Sera nyingi za kuomba ridhaa za uongozi wa kitaifa lakini Mimi najikita kwa huyu" TUNDULISU" kwa sababu ni mshindani mkubwa wa rais wetu JPM. Katika kutaka kuomba ridhaa hiyo amekuwa akihubiri mambo kadhaa ambayo Mimi naona anataka...
  15. M

    Uchaguzi 2020 Fadhila za Lissu kwa majasusi wa kibepari na kisingizio cha uwekezaji nchini

    Ni wazi Tundu Lissu anajiamini na ameshaaminishwa na wale waliomtuma kuwa atakuwa Rais, imefika hatua anasema wajaribu waone, hapatatosha na hapatakalika dunia nzima inaitazama Tanzania nini watafanya, amekuwa akitishia kuwa maamuzi yoyote ya kutokuwa yeye Rais yatawapeleka watu ICC. Swali...
  16. M

    Mifano ya uongozi na maendeleo anayoitoa Lissu kutoka Ulaya ni kujitoa fahamu au ni ushamba

    Tokea kampeni zimeanza nimekuwa nikisikiliza sera za mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu tundulisu lakini mara nyingi akitoa hoja zake lazima aseme "NDIVYO ULAYA WANAFANYA" amekuwa akiyasema akitolea mfano wa bima ya afya na utawala wa majimbo, NK: Nimewaza sana ni ushamba, ujinga au...
Back
Top Bottom