Search results

  1. N

    Big shame to those who made Magufuli believe he was immortal

    Umeelewa lakini alichoandika Ulimwengu? Yaani baadhi yenu mkiona jina tu JPM matako hulia mbwaa! Kwa kifupi Ulimwengu anawalaamu wale wanaojitokeza sasa.kuchallenge aliyoyafanya Magu wakati walikuwa na nafasi ya kumwambia akiwa.hai. Kama anawaonya bora wakae kimya tu kwa sasa maana wanaongea...
  2. N

    Asante sana Mbowe, umeibeba CHADEMA hadi sasa imekua. Kapumzike

    Nimependa sana kaanalysis kako enzi hizo siasa ilikuwa tamu, huyu anasema hiki upande wa pili anajibu, sisi kazi yetu ilikuwa SAA 2.00 usiku tunajazana kwenye TV kuona tambo hizo. Jiwe alitukosea sana, acha amalizNe na Muumba huko
  3. N

    Update kesi ya Masheikh wa Uamsho | 27 Aprili 2021: Jamhuri yashindwa kuwasilisha hati mpya yenye mashtaka 11 baada ya mengine 14 kufutwa na Mahakama

    Kwenye hili unatuonea sisi wakristo, kwanza kumbuka hawa walikamatwa enzi za JK na Dr. Shein ambao wote no Waislam. Roho mbaya haichagui uwe Mkristo au Mwislamu, mhimu hawa masheikh watendewe haki
  4. N

    Hili la vibali vya kazi Rais ashauriwe zaidi

    Sidhani kama.amesema mwekezaji aje na watu wake hovyohovyo tu, sheria ik o palepale.
  5. N

    Askofu Gwajima: Sasa ni wakati wa kumsupport Rais Samia, huyu ni Joshua wetu ukiangalia nyuma utakula risasi

    Gwaji boy katika ubora wake, jamaa ni mjasiriamali has a.
  6. N

    Yuko wapi Rais Magufuli? Msiache tetesi zienee. Kama anaumwa mnasema "ANAUMWA"

    Loo Mzee Mwanakijiji " Kwamba kuna wakati Rais anazungumza kama mwenye ufunguo wa Mbinguni" . Huo mtazamo wako sio sahihi
  7. N

    Kama hila ya Wazungu kupitia chanjo ni kutumaliza, basi tusitie kiburi leo, tumechelewa, tangu utotoni tumechanjwa sana na chanjo zao

    Binafsi nasikitika jinsi watu wanavyokuja na tafsiri hasi kuhusu kauli yaJPM. Kimsingi JPM hajakataa chanjo ila amesema tuwe nazo makini, hii maana yake nini? Pale inapobidi tufikirie kujitegemea na hiyo ni process. Hivi wazungu wataendelea kutubeba hadi lini? Hivi sisi tutaendelea kutokuwa na...
  8. N

    Nchi kukaa muda mrefu bila Baraza la Mawaziri siyo Sifa, tafadhali teua Majembe ya Kazi Ufanisi uimarike Serikalini

    Acha kumuudhi Rais wetu mpendwa sana, sioni hata haja ya baraza LA mawaziri, JPM anatosha sana kufanya kila kitu.
  9. N

    Halima Mdee na wenzake 18 wamekuwa mbuzi wa kafara

    Hata kama walipewa go ahead na Mbowe, je aliwaambia wakiwa naye wapi? Chumbani au ? Ulichoandika ni takataka tu, viti maalumu vina utaratibu wake kichama hadi kikatiba, ina maana Mbowe juu ya katiba ya nchi, yaani Mbowe aliamuru Nusrat Hanje atoke jela kuna kuapishwa?
  10. N

    Kamati Kuu ya CHADEMA yawavua nyadhifa na uanachama Halima Mdee na wenzake 18 walioapishwa kuwa Wabunge wa Viti Maalum

    Sawa, maoni yako yaheshimiwe. Mimi ya kwangu ni kwamba hizo hatua zote zinaonesha kwamba kweli CHADEMA kuna demokrasia na walijitahidi sana kutaka hao Dada na mama zetu watendewe haki.
  11. N

    Naomba kujibiwa maswali haya kuhusiana na CHADEMA

    Uzuri wà hilo jambo limeshaisha, ila ukitaka kujua mahusiano kwenye haya mavyama ni pasua kichwa tu. Bora wawe Me ns Me, wengine jinsia moja tu wanabanduana
  12. N

    CHADEMA vunjeni mfumo wenu wote wa Uongozi muanze upya "Mapenzi na Kazi ni Msiba"

    Umejiuliza Nasrat Hanje aliyekuwa mahabusu alitokaje? Kwa idhini ya Mbowe, Lissu au nani?
  13. N

    CCM kwa hiki mlichoufanyia Uwanja wa Benjamin William Mkapa, Mungu anawaona

    Kwa akili zako Abas akisema Leo tumewafunga Burundi 1-0 utaamini
  14. N

    Uchaguzi 2020 IGP Simon Sirro, je unasemaje kuhusu hawa askari wako? Je, kwa Tundu Lissu kuwafokea hawa askari huoni anatimiza wajibu wake wa Kikatiba?

    Lingetumika neno baadhi ya polisi, siamini polisi wote wana akili kama hizo za hao. Binafsi bado siamini kuunganisha jeshi LA polisi na ujuha wa hao wachache. Mbona maeneo mengi tu tunawaona polisi wakitenda kazi zao kwa weledi? Hao wachache naamini watachukuliwa hatua ingawa hazitatangazwa hapa
  15. N

    Mengi yamewekwa Majumbani mwetu 'Kibabe' hivyo kwa 'Tamko' hili kuna Watu wanataka Kutulazimisha tukayaanze Maisha yetu mapya Magerezani

    Kinachonishanhaza huku Mbeya kuanzia Chimala, Igurusi hadi Mbeya mjini kwenye majumba ya watu mabango ni ya kutafuta. Labda yalikuwa machache, nawasihi team ya kampeni iongeze mzigo huku
  16. N

    Uchaguzi 2020 Tofauti ya mikutano ya CCM na CHADEMA ni kuwa CCM inahudhuriwa na wanachama wengi wakiwa wamevaa nguo za CCM, CHADEMA hakuna

    Moja ya sababu nyingine wanaogopa kuvaa nguo za timu yao wakimuogopa jini mnyonya damu asiwatambue kirahisi
  17. N

    Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yaanza kutoa matokeo ya rufaa za Udiwani na Ubunge zilizokatwa na wagombea katika Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Wakati mwingine tuwe wakweli, kwenye ile video ya Mahela anawashauri wana CCM waweke MTU ambaye ni competent ili apambane kirahisi kushinda, sasa shida iko wapi? Kwa tafsiri yangu kwamba hata akiwa DED ni kama alikuwa anawaambia wasitegemea mtelemko Bali CCM wajiandae kwa kuweka mgombea nzuri...
  18. N

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Tanzania haiwezi kuishi bila dunia ila dunia inaweza kuishi bila Tanzania

    Nimecheka hadi basi, hii comment akili hizi kama za msemaji wa Simba Haji Manara
Back
Top Bottom