BAADA YA PEPO KUWA AMERUSHWA KWENYE DNA, BAADHI TU YA WATU AMBAO WAMEKUWA WAKIHUSIKA HASA KWENYE USAMBAZAJI
Wahusika kwenye usambazaji wa pepo huyu ni watu wote kwa sababu hayupo mtu ambaye hana Genes, isipokuwa the MOST PREFERRED, wamekuwa ni wale watu kutoka kwenye makundi ambayo yana unique...
KWA NINI MHUSIKA ANA DHANA KUWA MTUMISHI WA MUNGU MGENI AIYESIMAMA MADHABAHUNI ALIKUWA AMEKUSUDIWA KUCHAFULIWA
Kabla mhusika hajaendelea na maelezo zadi ya mtumishi huyu, mhusika anazidi kusisitiza tena kuwa Mtumishi wa Mungu aliyewahi kusimama kwenye Kongamano la Umisheni la Mwezi Oktoba 2022...
UPDATE: MONDAY, 18TH MARCH 2024
KILE KILICHOPELEKEA MTOTO AMBAYE HAKUWA MGONJWA KUPEWA RUFAA KUTOKA MKOANI AKITOKEA NYUMBANI NA PASIPOK KUWA AMELZWA KWENYE HOSPITALI AU DISPENSARY
PRESENTATION MOJA ILIYOFANYWA NA PROFESA KANISANI JANA J2 YA TAREHE 17/03/2023 MARA BAADA YA IBADA KUMALIZIKA, INA...
UFAFANUZI ZAIDI WA KILE ALICHOKIELEZA MHUISKA KUHUSIANA NA TARAKIMU ZA NAMBA HIZI ZA USAJILI WA MAGARI
Katika hali ya kawaida, tarakimu huwa ziko 10, na mojawapo ambayo ni 0, huwa haitumiki kama namba ya kwanza
Kwa hiyo uwezekano wa kupata tarakimu ya kwanza ya namba yoyote ya usajili ni 9...
UPDATE: FRIDAY, 15TH MARCH 2024
A VERY UNIQUE AND RARE COINCIDENCE ALIYOIBAINI MHUSIKA KWENYE NAMBA ZA USAJILI ZA MAGARI YA STAFF MATES WAKE WOTE WALIOPO IDARANI KWAKE
Mhusika amekuja kubaini kuwa namba za magari za office mates walio wengi wa mhusika; angalau kila gari ina tarakimu moja au...
Kwenye kilugha chetu kuna msemo huwa una maanisha maneno haya kwa Kiswahli kwamba
........"chochote kile ambacho kinaweza kuja kwako kwa kasi huku kikiwa kimeachama mdomo wazi, usijiweke kwenye njia yake bali unatakiwa ukikwepe na kukiacha kiendelee mbele ili kikaumane ma miti"...
Hii inaitwa cyclic redundancy error
Unatengeneza sanamu ambayo unaitaka ikuelezee wewe ni nani!
Natural law inayofanya kazi hapa ni kwamba the creature cannot create the creator
USHAURI ALIOPEWA MHUSIKA BAADA YA KUWA AMEKATWA TZS 200,000/= KWENYE MSHARA WA MWEZI WA FEBRUARI 2024
Baada ya kuwa amekatwa laki mbili kwenye mshahara wa mwezi uliopita, mhusika alishauriwa akamuone Mkurugenzi wa Fedha lakini hakufanikiwa kupata nafasi ya kwenda kumuona mkuu huyo
Mara ya mwisho...
UPDATE: FRIDAY, 08TH MARCH 2024
JANA ALHAMIS YA TAREHE 07 MARCH APRIL BAADHI YA VIBAO VIPYA VYA KWENYE MILANGO YA OFISI VILIVYOWAHI KUWEKWA MWAKA JANA, VILIBADILISHWA NA KUWEKWA VIBAO VINGINE VIPYA ZAIDI
Mhusika bado anaendelea na utafiti wake kuhusiana na vibao hivi na taafifa zaidi...
Ni Jinja, Uganda
https://www.researchgate.net/figure/Map-showing-the-Nile-River-with-its-main-branches-White-and-Blue-Niles-and-the-site-of_fig4_317372179
https://www.researchgate.net/figure/Map-showing-the-Nile-River-and-the-ten-countries-where-the-river-flows_fig1_340229568...
Hizi hapa; ila zipo kwenye pages tofauti tofuati
https://www.you-books.com/search?search=james%20hardley%20chase&page=1
https://www.you-books.com/search?search=james%20hardley%20chase&page=2
https://www.you-books.com/search?search=james%20hardley%20chase&page=3
.
.
.
.
page=4
page=5
.
.
...
Ijapokuwa maelezo yako hapa yako sahihi kwa namna fulani yanapingana pia kwa sababu
Kila baada ya miaka mitatu, mwaka wa nne ni lazima uwe mwaka mrefu. Kwa hiyo kwa sababu tulianza na mwaka wa kwanza baada ya kuzaliwa Yesu, kwa hiyo mwaka wa nne baada ya Yesu kuzaliwa, ulikuwa ni leap year...
UPDATE: WEDNESDAY, 06TH MARCH 2024
KUHUSIANA NA HUYU OFISA AMBAYE HUWA KILA MARA ANAKATAKATA TU MSHAHARA WA MHUSIKA: AMBAPO KWA MWEZI ULIOPITA ALIKATA LAKI MBILI
MHUSIKA ANAIOMBA MAMLAKA ILIYO JUL YAKE IMZUIE KUENDELEA KUKATAKATA MSHAHARA WA MHUSIKA
VINGINEVYO KAMA ANAONA NI HALALI KUENDELEA...
TUKIO LA MWANAFUNZI ALYETAKA KUACHA BEGI LAKE OFISINI KWAO MHUSIKA, LIMETOA UFUNUO WA JAMBO JINGINE JIPYA AMVBALO MHUSIKA ALIKUWA BADO HAJALIELEWA
MSHAHARA WA MWEZI HUU WA MHUSIKA UMEKATWA LAKI MBILI KAMILI NA HAKUNA OFFICIAL WRITTEN NOTIFICATION YA MAKATO HAYO, ISIPOKUWA MAELEZO YA SMS TU...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.