Search results

  1. M

    Naomba ushauri

    Nitajirekebisha maneno ya kutumia kaka,naona kutumia neno dem na @ nimekuudhi sio,lakini ushauri wako ninauhitaji mkuu.
  2. M

    Naomba ushauri

    Sawa nitafanyia kazi Bra Joe
  3. M

    Naomba ushauri

    Poa nitafanyia kazi ushauri wako@Asabaya
  4. M

    Naomba ushauri

    pamoja na matatizo yote hayo tuna mda wa miezi sita@kibol
  5. M

    Naomba ushauri

    Felinda nitaufanyia kazi ushauri wako
  6. M

    Naomba ushauri

    kwanza kiukweli bado sijajua msimamo wa dada yake kuhusu uhusiano wetu lakini dada yake alikua ananisisitiza nimhimize kusoma sana mdogo wake,pili sikua na malengo ya kuunda familia nae bali ni kwa uhsiano wa kimapenzi@Willyguy
  7. M

    Naomba ushauri

    Nilikuwa na msichana mmoja niliunganishiwa na dada yake na huyo msichana,sasa siku ya kwanza kukutana siu ileile yule msichana akaniuliza nimevutiwa na yeye ama hapana mimi nikakubari nimevutiwa nae,ni kweli alikua na vitu baadhi navikubali kwake,siku mbili baada ya kuonana nikaandikiwa na yule...
Back
Top Bottom