Search results

  1. P

    Msaada: Tatizo kwenye kadi ya gari

    Gari yangu nilikua natumia Zanzibar, na wakati wa kusajili walikosea kuandika number ya chasis, wakaongeza number mbili. Kwahio hata document za gari zilizotoka Zanzibar zilikua na hilo kosa. Nilipoamua kurudi dar, wakati wa usajili wakagungua hilo tatizo na kurekebisha. Pesa ya kurekebisha...
  2. P

    Msaada wa gari yangu

    Niliwahi kupata tatizo kama hilo kwenye xtrail, fundi alibadilisha relay tatizo likaisha. Japokuwa wakati mwingine linasababishwa na fuse.
  3. P

    Ushuru wa gari kutoka Zanzibar

    Garama za znz 1. Kibali cha polisi 2.Meli 3.Wharfage 4.ZRB 5.ZMA 6.Difference ya kodi Garama Dar 1.Wharfage 2.Agent fee 3.Kodi tena na usajili baada ya TRA ya dar kupokea file lako kutoka znz
  4. P

    Ushuru wa gari kutoka Zanzibar

    Tafuta agent mwenye uzoefu wa kusafirisha magari kutoka znz kuja bara, atakupa mchanganuo wa garama zote kwasababu ziko nyingi usiangalie hiyo difference peke yake. Nilikua nikiishi znz nikanunua gari ambalo nilitumia zaid ya miaka 3, nilipoamua kurudi bara haikua rahisi kusafirisha lile gari...
Back
Top Bottom