Search results

  1. C

    Mwanafunzi wa IFM apigwa risasi 4 na mtu anayesadikiwa kuwa ni askari

    Namfahamu huyu kijana, sio jambazi wala mwizi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu kozi ya Information Technology na sio wa pili kama mleta uzi alivyosema tena ni mtiifu na ni kiongozi hapo IFM, ana shughuli za kijasiriamali zinazohusiana na IT na pia anaimba muziki wa hiphop anatumia jina la...
  2. C

    Mwanafunzi wa IFM apigwa risasi 4 na mtu anayesadikiwa kuwa ni askari

    Familia yake nyingine ipo tabata, na sehemu aliyokulia
  3. C

    On Mtwara: Kikwete, Muhongo na Bunge - Mnayakumbuka haya?

    ndio tunatakiwa tuachane na ahadi za kisiasa na tuangalie kuuboresha uchumi wa nchi yetu
  4. C

    On Mtwara: Kikwete, Muhongo na Bunge - Mnayakumbuka haya?

    kimiundombinu mtwara italemewa na mzigo hizo bidhaa zitasafirishwaje kutoka hapo mtwara hamna reli banndari ni ndogo na kiwanja cha ndege ni kidogo kwahiyo waboreshe miundo mbinu kwanza ndo hivyo viwanda viende huko pia ikumbukwe bila miundo mbinu imara mtwara italemewa tu kwasababu huo mradi wa...
  5. C

    On Mtwara: Kikwete, Muhongo na Bunge - Mnayakumbuka haya?

    Kimiundo mbinu mtwara haijawa tayari kwasababu kwanza kama itazalisha umemene ina maana mradi wa kilimo kanda ya kusini na mradi wa chuma mchuchuma utakuwa kwa kiasi kikubwa lakini mtwara haina reli,bandari ni ndogo na kiwanja cha ndege ni kidogo hivyo hatakama itakama gesi itabaki mtwara...
  6. C

    Uume kusinyaa

    1.fanya mazoezi ya kegal 2.kula vyakula vyenye zinc kwa wingi 3.fanya mazoezi ya mwili kama mwili wako ulivyo 4kunywa chai ya tangawizi, 5. Kama nimfanysji wa ngono sana punguza unywaji wa pombe 6.kama unafanya punyeto fanya kwa kiwango kilichoshauriwa n.b ukiwa na mboo kubwa lazima uwe...
  7. C

    Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

    Ya Mbagala Na Bedui Aliyekojoa Msikitini... Ndugu zangu, Moja ya hadithi za Mtume Muhammad S.A. W ni pale Mtume Muhammad alipokuwa msikitini na maswahaba wake. Mara akaingia msikitini mtu wa kabila la Mabedui na kuanza kukojoa. Maswahaba wa Mtume wakasimama kwa hamaki kutaka kumwadhibu...
  8. C

    possibilities of stress free ceremonies

    Imagine the posiibility of stress-free Ceremonies; it begines with you. Serikali ilitumia Tshs 64 Bil kwa ajili ya sherehe za mika 50 ya uhuru; sherehe hizi walengwa walikuwa ni watanzania wote wapatao Mil 40. kwa wastani Mtanzania mmoja ni Tshs 1600. Siku hizi harusi ya kawaida sana yenye...
  9. C

    Pedicure na manicure: Hatari sana kwa ndoa zetu na mahusiano kwa ujumla wake!

    well bro pole lakini ukumbe yafuatayo 1.wanawake wa sasa hivi sio kama wa zamani, wanawake sasahivi wanauwezo wakijitatulia shida zao za kiuchumi tofauti na wale wazamani ambao wao walikuwa na utegemezi mkubwa kwa wanaume hivyo kuwafanya kiburi chao kitulie.swali;wanawake wanataka nini sasa...
Back
Top Bottom