Search results

  1. G

    Wamebana wameachia! Hatimae wana udsm waliokamatwa waachiwa

    we kwel NYAU! nshakwambia 'maada za WASOMI WAACHIE WASOM WAJADILI' kwani kwako unaona upumbavu coz ya ujinga wako, ILA swala la CAMERON mjinga kama wewe amelikubal 100%..., zezeta wewe!
  2. G

    Wamebana wameachia! Hatimae wana udsm waliokamatwa waachiwa

    kwahiyo unaona wao ni wajinga au walikua wanadai upumbavu! Jichunge, acha kuonge nonsenc! Hujui lolote na unaihitaji kuanza nursary xul na cjui itakuchukua muda gani ili nawe ufike UDSM ukajionee mwenyewe. Badilika la sivyo itakucost,., "Asiejua maana asiambiwe maana" wanaJF 2shakuchoka kwa...
  3. G

    Wamebana wameachia! Hatimae wana udsm waliokamatwa waachiwa

    kwa ujumla hana mashart kwan mwanzon waliambiwa ili wawekewe dhamana kila kichwa kilipiwe Tsh1,000,000, ila wanachuo 2kapinga hilo swala strogly, ingawaje wapo wachache waliolipiwa kiasi hicho na wazaz wao..,few activist hav bn suspended ila lazma wawekwe huru pind 2 bodi ya chuo itakapo kaa...
  4. G

    Wamebana wameachia! Hatimae wana udsm waliokamatwa waachiwa

    kweli umeongea k2, na watanzania wote hasa wanafunz wa vio vikuu wanaamin kua bila UDSM haki zao kapun! Penye ukwel 2ambizane, kwan kama sio mgomo wa UDSM boom lisingepanda from 5000 to 7500tsh per day. Pia sasa hiv 2nampango wa kutetea taifa kwa ujumla kwan viongoz weng wa nchi hii wanataka...
  5. G

    Wamebana wameachia! Hatimae wana udsm waliokamatwa waachiwa

    naona yanashugulikiwa kwa kasi kubwa xana kwan mpaka sasa wanafunz zaid 140 wa Udsm wameekewa BOOM. Na bado wanaendelea kuweka, wakisitisha kama kawa 2NALIANZISHA TENA
  6. G

    Wamebana wameachia! Hatimae wana udsm waliokamatwa waachiwa

    Furaha ilioje UDSM! baada ya wanafunz 41 waliokamatwa na wengine waliojikamatisha wamekutana Rev Sqre na kuwashukuru wote walioshirik mgomo barid wa kutoingia darasan kwa malengo ya kuwarudisha na kuwaweka huru wanaharakat hao waliopelekwa segerea, then kisutu! Sasa UDSM mambo swari.. Nmeamin...
  7. G

    Kutujazia FFU chuoni kwetu wakati ni kweli hatuna hata asilimia sifuri ya mkopo!.......

    mwambie huyo aache ujinga! Ila sio kosa lake, bali ujinga wake kwani hakuhitimu hata darasa la 7,.! Maada za kisomi aachie wasomi wachangie,,.
  8. G

    Kutujazia FFU chuoni kwetu wakati ni kweli hatuna hata asilimia sifuri ya mkopo!.......

    wawalaumu wazazi wao kwa lip? acha upumbavu! kama huwez kuchangia mada lala! Swala la mkopo mpumbavu kama wewe analipinga lakini la David Cameron unalikubal! Jirekebishe..@mzee
  9. G

    Angalizo kwa Graduates wote na kaka/dadas Mliopo Vyuoni

    Nmeipenda! Mwenye macho asome,aelewe na achukue hatua! asipobadilika, kwel "sikio la kufa halisikii dawa"
  10. G

    No ryt wthout fyt in tz

    Hivi ni haki mwanafunzi hana baba wala mama, mwenye division 1.8 na aliyesoma shule za kata o-level na advanc asipate mkopo? wakat huo huo watoto wa mawaziri na wabunge wapewe zaidi ya 80%.. bila kusimama na kupigania haki zetu tatafika? Je UDSM wamekosea kuandamana kwa ajili ya kuwatetea wanyonge?
  11. G

    UDSM kimenuka sasa hivi, Kikwete na Kawambwa Wataficha wapi nyuso zao?

    Hey..! revolutiooooooon......., for changeeeee....eeeez..! wanaharaki hongereni kwa ujasiri wenu wa kuwatetea watoto yatima na wa wakulima waliokosa mkopo., ila naomba kujua vp kuhusu waliopelekwa gerezan? 4 xua we must stand steal az one 2 emancipate both who got NO LOAN n those hav bn arrested!
Back
Top Bottom