Kuna kampuni inaitwa ukamwi ni mawakala wa wafanyakazi viwandani kwa kazi za vibarua
Na kuhusu malipo kwa siku ni elfu 11 na ofisi zao zipo dar ofisi zao zipo vingunguti
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hiki kitu huwa najiulizaga sana kuna aina fllani ya watu Hao siku zote wao huwa kuna watu huwa wanawatizama kuwa ni watu wenye roho mbaya
Yaani full kuwasema vibaya, full kuwachukia, full kuwaombea mabaya , full kukutendea mabaya
Lakini inapotokea aina hii ya watu wanapitia wakati mgumu au...
Toxic hawa tunasema ni aina fulani ya watu ambao wanakufanya ukose amani na furaha kazini kwako,
Ni watu wako negative na wewe. Ni watu ambao wanaangalia makosa yako, ni watu ambao wanataka udhalilike, ni watu ambao muda wote hoja zao nyingi kuhusu wewe ni kufukuzwa kazi
Je, watu kama hawa...
Okay ikoo hivi kazi muda wa kuripoti hautakiwi kuzidi zaidi ya saa 11 hivyo kuanzia saa 10 unatakiwa eneo la tukio kwa ajiri ya maandalizi ya kupokea vibarua ambao wanaingia saa 12
Kabla ya saa mbili kuanza kazi 0ul1
Saa mbili kazi zinaanza mpka saa 12 jioni kuanzia hapo ni muda wa overtime...
1. Hii kazi mshahara 250k ila take home 200k baada ya makato.
2. Muda wa kuingia kazini ni saa 10 usiku na kutoka saa 6 usiku na hakuna overtime
3. Muda wa mapumziko ni saa 7 mchana hadi 8 baada ya hapo mnarudi kiwandani kupiga mpaka saa 6 usiku ndo mnaruhusiwa kutoka.
4. Hakuna allowance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.