Search results

  1. Z

    Boniface Jacob ataja Mawaziri walionunua mahekalu

    Kupitia ukurasa wake wa X Meya Mstaafu wa Ubungo Boniface Jacobo ameandika namnukuu " Taarifa ya ununuzi wa MAJUMBA nje ya nchi uliofanywa na mawaziri INATISHA 1.Maziri kutoka Zanzibar kanunua hekalu la Mabillioni ya pesa,DUBAI 2.Waziri mmoja kutoka Tanga amenunua mahekalu 2,South Africa...
  2. Z

    Nakiri, nimesoma Ripoti yote ya CAG, Taarifa zote za Kamati ya PAC, LAAC na PIC, Mwigulu Nchemba hajatuibia. Wabaya wake wanamsingizia

    Mwandishi nguli wa kujitegemea Idris Sebuleni ameandika katika ukurasa wake wa Twitter (x) maneno haya. Namnukuu" "Nimesoma ripoti yote ya CAG, Taarifa za LAAC, PAC na PIC hakuna mahali Mwigulu ametajwa kuhusika na wizi wa hata thumuni. Hakuna sehemu hata moja imetaja ameshiriki kusababisha...
  3. Z

    Tetesi: Karibu CHADEMA Luhaga Mpina, Kazi tulikutuma CCM umeitendea haki.

    TAARIFA za kuaminika kutoka ndani ya kikundi cha CHADEMA zinasema kuwa mpango na mkakati wa kumpokea Luhanga Mpina kama mwanachama wao mpya kuelekea uchaguzi wa 2025 umekamilika na anatajwa kuwa ni mtu anayekwenda kupewa nafasi ya umakamu Mwenyekiti wa kikundi hicho kufuatia mgogoro unaoendelea...
  4. Z

    Namba hazidanganyi, Mpina hastahili kuwa mbunge, Uelewa wake ni mdogo sana

    MPINA HAJUI HESABU, ACHA NIMREJESHE DARASANI 1. Katika Bajeti 44 trilion zinapigwaje 30 trillion? Afu na mishahara ya Trilioni 20 ikaendelea kulipwa? Huku mtaani miradi ya matrilioni ikaendelea kutekelezwa? Hata hili umeshindwa kuling'amua? 2. FIU kwa sehemu kubwa inachambua miamala ya sekta...
  5. Z

    Wanasiasa wajiweke pembeni sakata la Kariakoo

    Mimi si mtu wa siasa ila kama mdau wa uchumi ninatamani niongelee mambo kadhaa katika context hii ya kiuchumi. 1. There is no way tax payer amewahi kukubaliana na issue inayohusiana na ulipaji wa kodi kwa hiyari, popote duniani na hii ni kwa sababu kodi inauma. 2. Kariakoo ni onus ya mapato...
  6. Z

    Hesabu zinambeba Dkt. Mwigulu Nchemba

    Wanajamvi wasalaam. Napitia report ya AFDB, IMF na World Bank hakika ni report zilizoshiba sana. Report hizi kwa pamoja zimeangazia masuala mtambuka, waataalamu mahiri wa uchumi wamechambua kinagaubaga. 👉 Projection ya uchumi iko vizuri sana, uchumi unakuwa kwa kasi sana kuliko taifa lingine...
  7. Z

    Watanzania wamtaka Diamond Platnumz alipe Kodi, Janjajanja sio suluhisho

    Watanzania wengi katika mitandao ya kijamii tofauti wamemtaka Msanii na Mfanyabiashara Nasibi Abdul almaarufu Diamond Platnumz kulipa Kodi na sio kuleta janja janja. Wakitoa maoni katika kurasa tofauti, Wananchi wameshangazwa na namna msanii huyo ameishambulia Taasisi yenye uweledi kubwa kama...
  8. Z

    Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury ni Joseph Ngeleuya

    Baada ya uzushi na upotoshaji wa muda mrefu, niliamua kuingia chimbo kutafuta ukweli wa nani ni mmliki wa Mabasi hayo. Nimekuja na facts ambazo Kila mwenye akili timamu anaweza kuzipata mwenyewe maana zinapatikana Kila mahali. Mmiliki wa Mabasi ya Esther Luxury Buses ni Mtanzania Mwenzetu...
  9. Z

    Martin Maranja Masese, elimu hii ikusaidie. Siku nyingine usikurupuke

    ELIMU YA BURE KWA MARTIN MARANJA MASESE NA WANAOMTUMA Elimu hii ninayokupatia ni bila ada, uwafikishie na maboss zako. Sababu za Changes unayotaka kulazimishia mambo yenu Iko hivi; Mosi, wakati Waziri anasoma bajeti Bungeni ilikuwa ni estimate tu, hii ya sasa ni Actual kutokana na uhalisia...
  10. Z

    Barua ya wazi kwa Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Waziri wa Fedha na Mipango

    BARUA YA WAZI KWENDA KWA DKT MWIGULU LAMECK NCHEMBA Anaandika Hassan Ruangwa Wasalaam Dkt Mwigulu Lameck Nchemba, Natumai ubukheri wa afya ya akili na Mwili, Dhumuni la Barua yangu kwako ni kusisitiza kuwa lazima uendelee kuonesha ukomavu huohuo bila kupepesa maneno, Kodi ya Serikali lazima...
  11. Z

    Waliotumwa kuivuruga CCM jimbo la Hai wameanza kuweweseka, mchana wapo CCM usiku wapo Chadema

    WALIOTUMWA KUIVURUGA CCM JIMBO LA HAI WAANZA KUHAHA, MCHANA WAKO CCM USIKU KWA MBOWE Na Imani Kwayu Uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi katika Jimbo La Hai umeacha makovu makubwa Kwa wasaliti wa Chama hicho waliokuwa wamejichimbia kimyakimya wakitega michongo yao ya namna ya Kupenyeza watu wao...
  12. Z

    Tax Ambassador: Mwigulu Nchemba is the Best, Some people need someone to blame for their economic woes

    MWIGULU NCHEMBA IS THE BEST “All Treasurers, if they do good service to their masters, must be generally hated,” observed King James in a speech to the House of Lords in 1624. Ours can’t do much service and are hated nonetheless. People need someone to blame for their economic woes, and the...
  13. Z

    Yericko Nyerere mshauri Mbowe vyanzo vipya vya mapato mjenge hata choo cha chama, ACT wamewazidi, Dkt Mwigulu sio level yenu

    YERICKO NYERERE, KISHAURI CHAMA CHENU KIJENGE HATA OFISI, MAMBO YA NCHI HUYAWEZI Na Mzabibu Mwitu Nimeona andiko la Kamanda wa Chadema, Yericko Nyerere akimnanga Waziri wa Fedha, Dkt Mwigulu Nchemba na Serikali ya CCM kwa ujumla, katika makala hiyo Yericko kama kawaida yake amejaribu kutaka...
  14. Z

    Rais Samia nisikilize, umetegewa mtego, wanasubiri uuingie

    Rais Wangu Samia nisikilize, umetegewa mtego, wanasubiri uuingie. Wasalaam mama kipenzi Cha watanzania, Natambua nitapokea matusi, kejeli na dhihaka nyingi kutoka Kwa makundi yaliyoandaliwa na watega mtego, lakini sitojali. Iko hivi mbinu ya ukusanyaji Tozo za miamala ya kibenki na simu ni...
  15. Z

    Mwananchi wa Hai auchambua Ubunge Wa Saashisha Mafuwe, ahoji utekelezaji wa Sera ya Kilimo na viwanda.

    HAI YA KILIMO NA VIWANDA ALIYOTUAHIDI SAASHISHA MAFUWE IMEANZA KUONEKANA AU NI SIASA ZA MSIMU? Anaandika Saitabao OleKina, Mkazi wa Kijiji cha Mtakuja Mwaka 2020 ulikuwa ni mwaka wa kashikashi nyingi, yalitokea matukio mengi mema na mabaya ila Kubwa zaidi wananchi wa Hai tulichagua mbunge mpya...
  16. Z

    Wananchi wa Jimbo la Hai wambatiza majina mapya tofautitofauti Mbunge Saashisha Mafuwe

    "SAASHISHA MABARABARA", "SAASHISHA MADARAJA", "SAASHISHA MAENDELEO" Sanya Online Blog Usishangae ndugu msomaji, katika viunga vya Jimbo la Hai waandishi wetu wameibuka na majina mapya aliyobatizwa Mbunge wa eneo hilo Mhe Saashisha Mafuwe, ambapo takribani kila kata ya jimbo hilo wananchi...
  17. Z

    Uchu wa Madaraka Manispaa ya Moshi ndio chanzo cha mgogoro dhidi ya Meya Raibu, mafisadi waapa kumng'oa

    MADIWANI MOSHI WASEMA HAKUNA CHANGAMOTO YOYOTE KWA MSTAHIKI MEYA WAO, BALI NI UCHU WA MADARAKA WA BAADHI YA WATU WASIOKUWA NA MAADILI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la wasaka umeya wa Manispaa ya moshi limejikuta katika wakati mgumu baada ya madiwani wengi kugomea rushwa na...
  18. Z

    Hai Kilimanjaro: Saashisha Mafuwe amkaribisha nyumbani Mbowe, ameruhusu afanye sherehe zake mwezi Mzima

    HAI YA SAASHISHA MAFUWE NI HAI YA KIDEMOKRASIA, ARUHUSU CHADEMA WAFANYE SIASA ZAO BILA KIZUIZI Kihistoria Leo ukomavu mkubwa wa kisiasa ulionyeshwa na Mbunge wa Hai Saashisha Mafuwe ni wakuigwa nchini kote, kwani ameruhusu Chadema wafanye siasa zao bila bugudha Wala fitina, amemruhusu mpiga...
  19. Z

    Mapokezi ya Mbowe Jimboni Hai yadoda, CHADEMA yaahidi kugawa nyama Kama motisha Kwa wahudhuriaji

    MAPOKEZI YA MBOWE HAI YA DODA, WANANCHI WASUSIA, CHADEMA YATANGAZA KUGAWA NYAMA KWA KILA MHUDHURIAJI Katika hali isiyokuwa ya kawaida mapokezi ya ujio wa aliewahi kuwa Mbunge wa Hai ndugu Mbowe yameingia dosari baada ya wananchi wengi kuonesha kutokuwa na munkari nae tena kama zamani, hii...
  20. Z

    CHADEMA Hai yaanza kutapatapa, yamtumia Saashisha Mafuwe kama ngazi ya kukusanya wananchi kwenye ujio wa Mbowe

    CHADEMA HAI, YAANZA KUTAPATAPA, WAMTUMIA MBUNGE SAASHISHA KAMA NGAZI YA KUKUSANYA WANANCHI KWENYE UJIO WA MBOWE Hai, Kilimanjaro Salaam wanajamvi Andiko hili ni majibu ya andiko la upotoshaji lililoandikwa humu JF juzi...
Back
Top Bottom