Search results

  1. chawa wa mama

    Ukosoaji na suala la bandari: Namsikiliza na kuheshimu mawazo ya Tundu Lissu tu, wengine ni waoga na wachumia tumbo tu

    Huyu ndio mtu sahihi kuongea na kukosoa utawala wowote. Alimkosoa hayati John Pombe Magufuli akiwa hai, tena akiwa anaogopwa na wote kwa vitisho vyake. Licha ya watu wote kuogopa yeye alisimamia anachoamini, bila kujali woga, udini, au ukabila. Na hata ndugu yake wa eneo analotoka, ndugu...
  2. chawa wa mama

    Bandari na kituko cha taifa

    Nimemskiliza Fr. Charles Kitima, nimemsikiliza Dr. Wilbroad Slaa, nimemsikiliza Adv. Boniface Mwambukusi, nimemsikiliza Mange Kimambi, nimemsikiliza Rostam Aziz, nimemsikiliza Tundu Lissu, nimemsikiliza Freeman Mbowe. Nimelisikiza Bunge, nimemsikiliza RC Albert Chalamila, nimemsikiliza Rais...
  3. chawa wa mama

    Tunawasubiri CHADEMA kwenye majukwaa ya siasa, acheni visingizio. Mnaenda kuisha kabisa sasa

    Ndugu zangu, Mlikuwa mnajitetea kuwa mmeminywa na wengine mkakimbia madeni mkasingizia mnataka kuuawa. Sasa uwanja uko wazi, Nina hakika nyie kwa sasa mmelewa usingizi mzito, mnaenda Kulala usingizi wa jumla kwenye siasa. Hamna hoja tena, mmekwisha kwa hoja. Ila pia muwe wastaarabu muache...
  4. chawa wa mama

    Unajua kwanini Sukuma gang hawapendi mama kuridhiana na CHADEMA?

    Ni ukweli ulio wazi kuwa wafuasi wa Magufuli hawapendi kuona rais Samia akiridhiana na vyama vya upinzani na hatimaye hata kuruhusu mikutano ya hadhara. Sababu ni hizi hapa. 1. Wafuasi wa Magufuli wanaumia Sana namna mama anavyofanya kazi kwa kuondoa baadhi ya Mambo ambavyo mtangulizi wake...
  5. chawa wa mama

    Natabiri ufaransa wanaenda kupokea mvua za Holi kutoka kwa wajukuu wa Malkia

    Kila nikitazama uchu wa mwingereza kuchukua kombe hili, na kikosi alichonacho, aiseee! It's coming home. Wafaransa wanapendwa kwa rangi yao tu na kidogo vijina vya wavulana wao wanaorukaruka uwanjani wale. Ila isipojiangalia leo Ufaransa inaenda kupata aibu ya Karne. Wekea lamination Uzi huu...
  6. chawa wa mama

    Mrejesho: Nachimbwa mikwara mizito na mtoto wa mpenzi wangu

    Ndugu zangu. Nawashukuru Sana kwa ushauri na michango yenu mliyonipa kukabiliana na mtoto wa mpenzi wangu ambaye hapendi mahusiano yangu na mama yake. Nimechambua ushauri wenu na nimefikia uamuzi leo asubuhi. UAMUZI. Leo asubuhi niliweka kikao kidogo Cha watu wanne, mama yake binti, Mimi...
  7. chawa wa mama

    Nachimbwa mikwara mizito na mtoto wa mpenzi wangu

    Nisiwachoshe jamani. Kuna mdada nimempenda, nikaona sio mbaya Kama wazee tukakokotana tufike kanani. Mpenzi wangu ana binti kamaliza chuo majuzi tu, aiseee binti huyu ananichimba mikwara kibao kwenye simu niachane na mama yake. Mama yake hajui kitu, sijamweleza hili Jambo, Ila binti yake...
  8. chawa wa mama

    Rasmi sasa nimelazimika kutomshabikia tena rais Samia kwa hiki kilichonikuta leo

    Wakuu habri zenu,- Kwanza naomba msamaha kwenu, nimekosa, nimekosa mimi, nimekosa Sana. Nilikuwa namtetea kwa mengi hapa jamvini huyu mama yatu, Mimi ni pro mama Samia damu. Leo nimeamka asubuhi kwenye nyumba yangu mpya nakuta umeme umekata, nimehamia hapa wiki mbili tu zimepita. Nikasema...
  9. chawa wa mama

    Ukiona ktk taifa vyama vya upinzani vimekaa kimya, Ila wananchi wanajisemea wenyewe ni ishara nzuri ya ukombozi wa kweli

    Kwa sasa vyama vya upinzani wamefanya handshake na rais SSH, kwa huku mtaani tunasema wamelambishwa asali ya nyuki wakubwa. Wananchi tumeamua kujisemea wenyewe juu ya msururu wa tozo, Kodi, ushuru. Vyama vya upinzani, viongozi wa dini(ukiwaondoa askofu mwamakula na shehe Issa Ponda) wote...
  10. chawa wa mama

    Natafuta mayai ya kwale

    Ndugu zangu natafuta mayai ya kwale ambayo yanafaa kutotolesha. karibu mwenye taarifa yoyote
  11. chawa wa mama

    Kikwete anaonewa sana, na kwanini huamua kukaa kimya kama njia ya kujibu maadui zake?

    Huyu mzee kuna mengi sana aliyafanya, pia machache alikosea kama mwanadamu, lakini mengi amekuwa akionewa sana. Je ni upole wake? Naye huamua kukaa kimya bila kujibu tuhuma, matusi, kejeli na vijembe kwake. Kumeibuka na tuhuma mbili, mosi ni ya kuandaa mpango wa kumtoa jiwe na pili ni...
  12. chawa wa mama

    Wanachojisahau team mwendazake, Vile Kinana alivyopita kwa 100% ndivyo SSH atashinda huko CCM 2025 kwa 100%

    Nyie watani zangu wa upande ulioumia kwa kukosa kututawala kwa yale mabavu yenu,. Najua mnaumia sana kuona mama akirudisha mfumo na chama kwenye default, poleni sana. Ile ya Abdrahman Kinana ni salamu na maandalizi tu, siku ile hata kura 1 haikupotea, 2025 Kinana nae atasimama ile nae mama...
  13. chawa wa mama

    Katika kukosoa na kushauri viongozi tuwe na dhamira njema, sio chuki, visa, ukanda au udini

    Nimefuatilia kwa miaka mingi sana, kuna ukanda unahisi unatengwa, hawajatoa rais, na wana kiu sana ya kupata rais wa kutoka ukanda wao. wamesahau wamewahi toa mawaziri wakuu wawili. Ukanda mwingine, wao wamepata bahati ya kupata mtu wa ukanda wa kwao aliyekuwa anawapendelea kwa kupeleka miradi...
  14. chawa wa mama

    CCM iko chali, imebaki dola ikiilinda, CHADEMA mmeshika Koo msiachie

    Hakika CCM wamechanganyikiwa, hawajui watarudije kwenye mioyo ya Watanzania. CCM iko hoi bin taabani, imeishiwa pumzi kabisa, CHADEMA imeshika kooni. Dola imeamua kuingilia kati kuinusuru, nayo ni suala la muda tu, wananunua ugomvi usiowahusu. Safari bado km. Chache Sana, jamaa hawa wenyewe...
  15. chawa wa mama

    Mbegu hii mlipanda CCM, leo msilalamike. Tusitiane ujinga wa uzalendo na utu

    Wakati Mh. Tundu Antipas Lissu anapigania uhai wake hospitali kwa kupigwa risasi kadhaa sisi tulitaka kumfanyia maombi. Tulitaka kukusanyika na kumwombea kama taifa, mkakataa! Hadi Wabunge wenzake waliotaka kwenda kumwona mliwazuia, mkamtenga, mkamnyima haki zake. Watu walipotaka kuja msiba...
  16. chawa wa mama

    Tulifanikiwa kupata nafasi ya katiba mpya tusisahau kuweka mambo haya

    1. Tume huru inayowajibika kwa wapiga kura sio kwa serikali au mtu. 2. Kupima afya za akili za wagombea kabla hata ya kuchukua fomu, tena na daktari maalumu. 3. Kuweka ukomo kwa wagombea ubunge. 4. Kigezo cha uwajibikaji kipimwe na tume maalumu, iwe rais, mbunge au diwani. Kama ni rais ikiona...
  17. chawa wa mama

    Ni Tanzania tu au hata nchi nyingine za Afrika wawekezaji wanalalamika kodi kama Tanzania

    Kumekuwa na malalamiko mengi sana ya wawekezaji wa Tanzania kukwamishwa na TRA ktk kukokotoa makadirio ya kodi, na malimbikizo ya kod. Na gharama za kuagiza bidhaa yoyote nje ya nchi ni kubwa sana. Mamlakani kama TBS, NEMC, BRELLA na TMDA na wenzao wamekuwa wakikwamisha wawekezaji kuzungusha...
  18. chawa wa mama

    House girl au house boy ni mtumwa mamboleo, ni ukatili kuwa na mtumwa ndani

    Waarabu waliwakusanya kwa kuwakamata waafrika na kuwauza Amerika na Ulaya., Biashara ile imeisha, tunaona sasa wamebadili mtindo wa utumwa, mnachukua watoto wa masikini vijijini na kuwafanyia kazi za ndani kwa ujira mdogo. Ni ukatili tu, wengi wa hao watumwa wenu ambao mnawaita wadada wa kazi...
  19. chawa wa mama

    Pole na samahani sana wananchi wa Uganda

    Miaka ile wakati Dr. Kiiza besige akipigwa hadharani na polisi wa Uganda huku wakimweka kizuizini wakati wa kampeni na katika maisha yake ya kawaida, kwa kosa la kushiriki siasa na kugombea nafasi ya urais, niliwaona waganda ni wajinga. Nilikuwa najiuliza inakuwaje Waganda wengi ambao ndio...
  20. chawa wa mama

    Je, ni sahihi kwa Mwanamke kupiga picha na rafiki wa mume na kuzitunza katika simu yake?

    Naomba msaada wa mawazo wakuu, Mama Ngina wangu nikiwa niko safari, kukawa na hafla huku nyuma ya jirani yetu. Nimekuta wife kapiga picha akiwa pamoja na rafiki yangu na mwanangu mdogo. Ni picha zaidi ya kumi, ila ajabu hana hata picha yangu kwenye simu yake. Hapa niko chumbani nazikagua na...
Back
Top Bottom