Search results

  1. L

    Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

    kivipi ndugu?! huwa naangalia vitu kwa jicho la ujasiliamalindo maana
  2. L

    Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

    oh ni kweli,nina mtaji wa wastani tuu,ni vizuri wakanitajia biashara ya mtaji wa kawaida tuu
  3. L

    Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

    Habari wajasiriamali wenzangu,naomba msaada tafadhali kwa hivi vifungashio hapo chini kama nitaondoa hizo label na kuunda yangu na kubandika,ni bidhaa gani haswa naweza kufungasha na nikauza na kupata faida maeneo ya dar es salaam na morogoro mjini?! nawasilisha🙏
  4. L

    Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    oh ni kweli,ahsante sana kwa hint,ntaanza kutumia hard copy asee
  5. L

    Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    daah asante kwa hzo hints asee,wacha nizifanyie kazi
  6. L

    Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni usingizi na najikuta nakosa kabisa hamu ya kujisomea baada ya kutoka vipindi. Mimi ni mwanafunzi wa...
  7. L

    Naomba kujuzwa kuhusu kozi ya Diploma in tropical animal health and production

    habari za wakati huu ndugu zangu,kama kichwa cha huu uzi hapo juu kinavyojieleza,tafadhali kwa wenye uwelewa wa hii kozi ya DIPLOMA IN TROPICAL ANIMAL HEALTH AND PRODUCTION naomba kujuzwa kuhusu ajira zake baada ya kumaliza,kozi za kusoma degree,je inauhitaji kwenye soko la ajira kwa hali ya...
  8. L

    naomba msaada wa kujuzwa kama kwa matokeo haya kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote

    habari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote tuu ile?! na kama upo huo uwezekano je ni vyuo vipi na kozi zenyewe ni zipi?! msaada tafadhali...
  9. L

    Naomba msaada wa nini cha kufanya kuhusu udahili wa masomo kozi za afya 2021/2022

    fanya kama unaanza tena kujisajili upya kwa kuingiza taarifa zile zile za awali
  10. L

    Naomba msaada wa nini cha kufanya kuhusu udahili wa masomo kozi za afya 2021/2022

    Sawa, oy mkali af uliwah kuniambia kwenye uzi mmoja niliweka hivi karibuni hapa kwa forum kuwa chin ya point 12 hupati nafasi kwenye vyuo vya afya vya serikali vp ww unayoo?! Maana unataka kuapply Lugalooo
Back
Top Bottom