Search results

  1. aba69416

    Sheikh issa ponda,radio imaan,al nuur ni janga kitaifa...!

    Mi Huwa najiuliza sana na sipati majibu Kuna watu wana chuki haswa na uislam na si vinginevyo.hawataki kuskia sauti ya waislam ikiskika kwa nini mtu usifanye mambo yako au kuleta hoja tofauti na kuzungumzia watu .kama huyu jamaa aliyoandika hii makala sijaipenda na sijui shida yake hasa ni nini...
  2. aba69416

    HTC xl inauzwa

    Ni original mkuu si mchina bei 650 tuu
  3. aba69416

    HTC xl inauzwa

    Kwa mawasiliano 0765991666
  4. aba69416

    Kipindi cha "Jukwaa kwa Jamii" Redio Imaan Kimeanza live

    Kuna wajinga kama wewe ambao Huwa wanasikiliza kinyume inaonyesha unaipenda sana mpaka unatuhamasisha
  5. aba69416

    Kipindi cha kumbukumbu ya Mwl Nyerere; mgeni Mohamed Said - Radio Imaan

    Sasa wewe hoja yako nini sasa maana unalalama kama umelishwa pilipili embu kanusha kwa ushahidi kama walivyokuwa wanatoa wao au kamuulize babu yako kama yuko hai akueleze ukweli
  6. aba69416

    Aisee Diamond mbona sasa unaanza kunabong'oa?

    Hawa wasanii wetu wengine mashoga sasa mambo gani hayo mi ndo maana hata suwafagilii kabisaa
  7. aba69416

    Hii Ndio Tanzania Bana

    Do mi huwa najiuliza mambo mengi sana ila ni maisha tuu na huyu jamaa huko kwao kuna mbunge na kuna matajiri kibao wametokea huko si wanunue hata gari ya kijiji au wajenge hispitali karibu.
  8. aba69416

    Mnyika kufungua matawi

    Hoja ni maneno si matusi kwa mtazamo wako chadema watafika mbali ni ndoto njema ila unaota mchana
  9. aba69416

    Mnyika kufungua matawi

    Matawi watafungua sana je wanaongeza wanachama au wanapunguza wanachama
  10. aba69416

    hi....

    :hatari:
  11. aba69416

    Nyaronyo kicheere makala kwanini waislam walikokaa waarabu (reli ya kati)ni walalamishi?

    siku zote hakuna anaye lalama bila sababu na kukaa kimya si kuwa wameridhika .na pia ukiona mtu anawafuatafuata watu fulani au jamii fulani jua kuna jambo ananufaika nalo au kuna maslai fulani anategemea.mwanahalisi halina nia nzuri na waislam
Back
Top Bottom