Search results

  1. K

    Sakata la Lulu na Kifo cha Kanumba, what does the Law say?

    Shule za kata janga la kitaifa.Aaaaagh......Wabongo bwana.
  2. K

    Matusi ya Lema na Matusi ya Lusinde ni Matusi Yetu na Unafiki Wetu!

    Waberoya, Mahakama haijamkomoa Lema na CDM,lakini imeikomoa serikali ili iandae uchaguzi mdogo,ambapo hadi mie nimekomolewa kwani na mimi pia ni kati ya serikali kwa mujibu wa Abraham Lincoln. Said Mecky Sadick(Dar RC),wakati wa kampeni...
  3. K

    Lusinde ajitetea, asema alipitiwa na jazba; Alaumu siasa za kampeni

    Kapewa Uenyekiti wa kudumu ktk KAMATI ya MATUSI na Bi.Kiroboto,thus why kashinda arumeru ktk kinyang'anyiro cha watu ambao midomo yao haina staha.
  4. K

    Totozi za mwenge.....aiseee

    Time hzo hata wapite ISHI CAMPAIGN huwezi kuwazingatia.
  5. K

    Sasa Lowassa hakamatiki: Waraka kwa Jakaya Kikwete!

    Daaaah....AKSANTE kwa UKWELI HUU!
  6. K

    Barua ya wazi kwa mbunge wangu MH. HAWA GHASIA kutoka kwa mwanachi wa Mtwara Vijijini

    Wamakonde tatzo lenu mnaongea sana na hamfanyi mambo kwa vitendo.Frankly speaking nachelea kusema mmechelewa sana kukombolewa KIFIKRA.Wahimize nduguzo wasome kwani siku hizi Mtwara kuna influx kubwa ya wasomi Mtwara ya sasa tofauti na zamani.
  7. K

    Kwanini Mkapa hafai kushtakiwa mahakama ya uhalifu?

    Mshaanza upuuzi wenu asubuhi asubuhi.
  8. K

    CUF yachemka maandamano kumpinga Hamad jimboni Wawi

    Vyama vingi vya kisiasa barani Afrika vina-practice DEMO-CRAZY badala ya DEMOCRACY,ndio maana vimejaa viongozi wenye maamuzi ya KIIMLA yanayopelekea UBAKWAJI wa DEMOKRASIA.
  9. K

    Sisi ni ndugu, tunaishi katika jamii moja. CHOKOCHOKO ZA UDINI ZA KAZI GANI?

    Iko wapi haki yetu sisi Watanganyika tusioamini katika imani hizi za kimapokeo? Katu maishani mwangu sitokuja sahau nilivyonyimwa kupanga chumba kisa imani yangu ni tofauti na Mama mwenye nyumba. Kwa tendo hilo ndipo nilikuja tambua imani yangu ya...
  10. K

    Muslim university of morogoro na scandle ya uongozi

    Ama kweli great thinkers wamevamiwa!Mungu okoa kizazi hiki na elimu wanayopewa!
  11. K

    Hamad Rashid ana vipimo vyote vya unafik hivi sasa dalili ziko wazi

    Honestly,namkubali sana HR,kwani anaonekana mtu makini sana pindi azungumzapo,ingawa sishabihiani na wanasiasa,lakn MADAI yake katu si ya kupuuzwa.
  12. K

    Jipe moyo Kafulila; Hongera NCCR-Mageuzi, Godbless Lema

    Wakati mwingine nimekua nikitofautiana na Lema kimtazamo,hadi sasa nimeamua kubaki neutral politically as nawaona politician kama MASHETANI wasiowezi kuupinga USHETANI wao kwa kujiangamiza wenyewe.Tujaribu kupima UKWELI pasipo kujari nani kazungumza.UKWELI NI UKWELI,HATA UNGALIZUNGUMZWA NA...
  13. K

    Hatimaye Prof Mwandosya arejea Tanzania toka matibabu India

    Ndaga gwisile Malafyale,Kyala akusaje.
  14. K

    JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

    Wewe ndie unaempinga peke yko,lakn sidhan kama waliokuzaa wanampinga,udini umegeuka kichaka cha kuwakosoa viongoz hasa wanapoonekana wako tofauti kiimani na nyinyi.Kukosea ni human endeavour ambayo mwanbdamu kaumbiwa.
  15. K

    JK Rais Bora kuliko wote Tanzania

    Sioni haja ya kupinga wazo lako,kwani haki uliyonayo kikatiba ktk maoni inanifunga as hata wavivu wa kufikiri kama ww mmetambuliwa,Nyerere was and is still the BEST President.Ni matusi kumlinganisha na mkwezi n ni KOSA la jinai.
  16. K

    In case You missed it: Watch Darwin's Nightmare!

    Kaka ule ulooneshwa ktk muvi ile ni uhalisia wa maisha ya watu wa kanda ya ziwa kula mapanki n c uzushi,but tulibminishwa ni kutuchafua ili kuukwepa UKWELI usiofichika.
  17. K

    Uganda's Richest Musicians vs Tanzania Musician=vinega

    Wasanii wetu waione changamoto hiyo kwa Waganda,I cant believe this guys are richer b'se of music,sie wabongo kubadili wanawake na kulewa umaarufu-harufu tu,
  18. K

    Makongoro Nyerere ampasulia JK!

    Mkapa ndio aliiba hadi Nyerere mwenyewe pia alikosa imani nae,wkt Mkapa alipoleta sera ya ubinafsishaji akaiuza NBC kwa bei ya kutupwa ndipo mgogo-nafsia ulianza kwa Nyerer kuhusu chapuo lake.Pamoja na hayo yote kutokea wakati wa utawala wake,but still he is BEST than JK
  19. K

    Times fm{100.5} na Antivirus ya Vinega

    daaaah!kiukwel mbunge wng sugu anawapa ukwel sio kwmb 2metawaliwa na cloudz
  20. K

    Wasiwasi Mwabulambo toa ukatuni wako PB

    Huu ni ukweli ambao hawa watangazaji wenye vijicertificate uchwara hawaujui.
Back
Top Bottom