Search results

  1. Nazi Ignition

    Angalia Treni za umeme zilivyolala hapa nchini China. Sisi tuna miliki nyoka wangapi?

    yetu ile ni joka la kibisa inaachwa hadi na basi.
  2. Nazi Ignition

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    sawa ila mkuu wa jeshi la akiba yeye yuko bize ku deal na migambo
  3. Nazi Ignition

    Kwanini Mkuu wa Majeshi(JWTZ)anatokea Kamandi Moja tu, wakati tuna Kamandi Sita?

    Yaani jeshi la akiba(mgambo) halafu mkuu wa majeshi atokee huko?
  4. Nazi Ignition

    KIDATO CHA NNE KULIPIA CHETI NI SAHIHI?

    Project zipo miaka yote wala hazijaanza leo, kidato cha nne/sita wanafanya project supervisor atasimamia kila hatua na mwisho kutoa alama, inaonekana ulikuwa hujui mambo za projects sababu siku hizi waalimu wengi hawajisumbui na izo mambo yaani projects hazifanyiki ila kila mwanafunzi...
  5. Nazi Ignition

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Mwanamke anayeandika axante = asante tantee = asante xawa = sawa Na mengine ya aina hiyo aise huo upuuzi siwezi kuuvumilia, imenibidi na mini niwe mpuuzi kuandika hivyo ili niwaambie.
  6. Nazi Ignition

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Sehemu kubwa ya elimu ya Tanzania, lugha ya kufundishia na kujifunzia ni English.
  7. Nazi Ignition

    Ripoti 21 za CAG zatua Bungeni kwa ajili ya kuanza kujadiliwa

    Trump alikuwa yuko sawa Afrika tumeshindwa kujiongoza inatakiwa tutawaliwe tena mpaka akili zitusogeee
  8. Nazi Ignition

    Ufalme wa Bayern Munich Bundesliga Wazimwa Rasmi , Bayer 04

    Girona nao kule LALIGA walianza Vizuri ila kumbe ilikuwa ngoma ya watoto haikeshi.
  9. Nazi Ignition

    Unawezaje kumuhandle mke mwenye kiburi?

    kiburi kinaanza ukiwa humbandui effectively, nadhani ushajua cha kufanya.
  10. Nazi Ignition

    Tusinunue vitu Used jamani

    Najua hutaki vijana waoe masingo maza mwenyewe siwezi, ila kwenye upande wa material things hizo gari used huko ulaya unataka zipelekwe wapi na vile tuko na hela za kuungaunga.
  11. Nazi Ignition

    Mambo ya kuzingatia unapoanzisha mahuasiano na ''Single Mother''

    kwa ME ambae hajaoa akisoma huu uzi ataona tabu zote hizo za nini bora akachukue ambaehana hiyo 1st priority
  12. Nazi Ignition

    Kuna yeyote aliyeoa single mother na wakafanikiwa kuishi vizuri tu kwenye ndoa?

    wanamkataaje wakati wewe ndo unaeoa halafu pia ujaona kabisa ikifanyika rational judgement ilitakiwa wamkubali kuliko huyo waliokuchagulia. hukumuoa huyo ulomchagua?
  13. Nazi Ignition

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    wanaotoboa wana knowledge, skills na desire ya kufanya biashara. ili utoboe lazima uwenavyo vyote vitatu. Sasa unauhakika gani mtoa mada ataweza kufanya biashara mpaka aache kazi?
  14. Nazi Ignition

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    kirahisi ivyo kisa anayo hiyo 15 million
  15. Nazi Ignition

    Nimeamua sasa kuachana na ualimu na kwenda kusoma

    mwenyewe nafikiria kwenda kusoma ila sasa nawaza nafamilia tayari mke na watoto wawili, yaani nikatoe hela nilipe ada hizo hela zinaniuma, pili nikisha hitimu hicho kisomo kitanisaidia nini hapa nina miaka 31.
  16. Nazi Ignition

    KIDATO CHA NNE KULIPIA CHETI NI SAHIHI?

    vyuoni wanafanya research sasa kama unajua research vile inafanywa kuna pahala hela itatumika. sasa secondary wao wanafanya project, umeuliza project gani? Hata mkuu wa shule hajui ni project gani mwanao labda anajua title ya project atakayofanya muulize maama yeye ndo anayechagua title...
  17. Nazi Ignition

    KIDATO CHA NNE KULIPIA CHETI NI SAHIHI?

    Nina mke na watoto wawili mkuu, sio mzazi mtarajiwa.
Back
Top Bottom