Search results

  1. M

    Uchaguzi 2020 Mwandishi wa habari, Victor Makinda amechukua fomu kuwania udiwani kata ya Kisawasawa, Kilombero mkoani Morogoro kupitia CCM

    Mwandishi wa habari, Victor Makinda amechukua fomu kuwania udiwani kata ya Kisawasawa, Kilombero mkoani Morogoro.
  2. M

    Uchaguzi 2020 Mwanamke Mwenye Ulemavu Kutoka Jamii ya Wafugaji wa Kimasai ajitosa Ubunge Viti Maalumu

    Anaitwa Pano Kashu . Ni mkaazi wa kijiji cha Kambala Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro.... Pano ni msomo akibobea katika fani ya Sheria
  3. M

    Profesa Nyagori ashauri Taasisi za Afya kumpa tuzo Rais Magufuli kwa mapambano ya Corona

    PROFESA NYAGORI ASHAURI TAASISI ZA AFYA KUMPA TUZO JPM MAPAMBANO YA CORONA NA MWANDISHI WETU-MOROGORO Daktari Mshauri Mwandamizi wa Magonjwa ya Ndani na Moyo, Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ambaye pia ni Mhadhiri wa vyuo vikuu mbali mbali vya tiba, Profesa Harun Nyagori, ameshauri...
  4. M

    Uchaguzi 2020 Jimbo la Morogoro mjini linamuhitaji Mbunge msomi na mwenye mikakati

    Hicho ndicho kilio cha wana Morogoro mjini walio wengi. Wanalalamika uwakilishi usiokata kiu ya maendeleo ya wakaazi wa Jimbo hilo. Wasomi na wasio wasomi, hii inajumuisha pia wananchi wa kada zote jimboni hapa wanalalamika kuwa na mwakilishi kwa miaka 15, asiye...
  5. M

    Uchaguzi 2020 Wana Kilombero twendeni na Victor Makinda

    Kwa tunaye mfahamu kijana huyu tuna kila sababu ya kujivunia tunda hili adhimu lililozaliwa na kukulia katika bonde oevu, Bonde la Kilombero, Mkoani Morogoro. Victor Makinda ni miongoni mwa vijana wenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na kusimamia jambo likaanza na hata...
  6. M

    Tetesi: Suzan Kiwanga apiga hodi CCM

    Wakuu hii tetesi ni ya moto moto kabisa. Mchana huu nimepata fununu kutoka kwa mtu wa karibu wa Mbunge wa Jimbo la Mlimba,wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro, Suzan Kiwanga. Tetesi ni kwamba Mama huyo machachari amekata tamaa na hana pa kushika. CHADEMA Wilayani...
  7. M

    Katiba ipo ili iwafae watu na si kinyume chake

    Yahusu Mabadiliko ya katiba. Ikiwa kipo/vipo vifungu vya katiba ambavyo havitufai kwa mahitaji ya nyakati, tunaweza kabisa kunyofoa vifungu hivyo tukabandika vifungu/kifungu ambacho kitatufaa. Sioni sababu ya msingi kung'ang'ania na kushupaza shingo juu ya kifungu...
  8. M

    Niulize swali lolote kuhusu Wilaya ya Kilombero

    Wakuu, mwenye kutaka kujua lolote/ chochote kuhusu Wilaya ya Kilombero iliyopo mkoani Morogoro, aulize nitamjibu. Iwe ni fursa za kibiashara, kilimo, siasa nakadhalika. Karibuni kwa maswali, Karibuni Kilombero. Wenu, Mvidunda.
  9. M

    Tundu Lissu akirudi nchini akamatwe awekwe sehemu salama

    ............akamtwe awekwe sehemu salama kabisa ambapo atakuwa ametulia. Akiachwa 'huenda' akasababisha machafuko hapa nchini. Muda aliokaa kwa mabeberu 'huenda' anaweza akawa amerubuniwa na mabeberu hao kuja kutuvuruga na kuivuruga amani yetu. #naipendaTanzania#
  10. M

    Mwigulu Nchemba, alama ya utii na bidii

    Vijana wa Taifa Tanzania na Afrika kwa ujumla wake tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa kiongozi huyu makini ambaye ki ukweli ni alama halisi ya utii , bidii, utu wema na unyenyekevu uliotukuka na usio na chembe ya unafki. Mwigulu katika muda wote wa utumishi...
  11. M

    Niulize chochote kuusu lolote linalokutatiza katika mahusiana

    Utangulizi unajieleza. Ikiwa una jambo lolote linakutatiza kuhusu mahusiano ya aina yoyote na unahitaji ushauri au utatuzi niulize nitakusaidia..
Back
Top Bottom