Search results

  1. Mantheman6

    JWTZ ina vikosi vingapi?

    Habari zenu wanaJF naimani wote mkoa poa tukisheherekea sikukuu ya miaka 60 ya Uhuru Ndugu zangu kama ilivyo kawaida kila ifikapo 9 Desemba vikosi mbalimbali vya kijeshi huenda kutoa burudani kidogo kwa wananchi na viongozi wake kwenye uwanja wa uhuru Sasa siku ya leo kiukweli nimefurahishwa...
  2. Mantheman6

    Je, ni kweli bangi inaweza kukinga dhidi ya wachawi?

    Habari zenu ndugu zangu wa Jf ni imani yangu kwamba nyote mko salama na niwape pole kwa mihangaiko ya wiki nzima hakika kazi inaendelea. Sasa ndugu zangu mojakwamoja twende kwenye mada yetu kama kichwa cha habari kinavyoeleza. Kumekuwa na stori stori nyingi mtaani kila mtu akisema lake...
  3. Mantheman6

    Msaada nahitaji connection ya udereva Uber/Bolt kwa Dar e Salaam

    Habari zenu ngugu zangu poleni na majukumu ya kila siku ni imani yangu kwamba wote ni wazima wa afya. Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu ni kwamba shida yangu kuu nahitaji kuunganishwa pahala ambapo naweza nikafanya kazi kama dereva wa uber,bolt au hata gari ya kupeleka...
  4. Mantheman6

    Nawezaje kupata visa ya masomo kama sina vyeti vya elimu?

    Habari zenu ndugu wana JF poleni na majukumu ya kila siku Naombeni kufahamishwa ni njia gani naweza kutumia ili nipate visa ya masomo kwa nchi kama Canada, USA, China au Japan maana nimejaribu kufuatilia kwenye tovuti za vyuo inaonekana ili uweze kupata visa ya masomo basi ni lazima uwe na...
  5. Mantheman6

    Fahamu ni kwanini watu hawaogopi athari za uvutaji wa sigara

    Habari zenu wadau na poleni na majukumu ya kila siku kiukweli nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu wavutaji wa sigara ni kwanini asilimia kubwa wanaonesha kutokuwa na hofu juu ya athari za uvutaji sigara licha ya tahadhari zinazotolewa na taasisi mbalimbali za kiafya na hata kwenye kila pakiti ya...
Back
Top Bottom