Search results

  1. S

    Tovuti ya Wizara ya Elimu yafungiwa... Kisa hawalipi gharama za uendeshaji!

    Ingekuwa nchi za wenzetu wizara ya elim yote washapigwa bastola! Mm wanankera sana! Au ndo wamechaguana vilaza tupu wakawa pale! Naomba radhi jaman kwa lugha nliyotumia! Ila kiukwel wizara ya elim ndo inaongoza kuwa na vilaza kuliko sekta yyte dunian! Yan mulugo na kawamba mhhh!
  2. S

    Ajira Mpya Za Walimu 2013

    Tatizo hii nchi ishazoea kila kitu siasa! Coz rais anatangaza ajira jan na had wazir wake bila aibu nae anasema jan af hii feb hakuna hata mmoja aliyesema chochote! Na rais wa nchi hayupo sirias kabisa! Watu tumeacha tangu tar 31 jan mikataba ya pattime ilipoisha huku tukijua kuwa tar 1 feb...
  3. S

    Ajira za walimu

    Walim msijal.ajira ipo njian iankuja yenyewe!.sema tu inabid kuwa wavumilivu kdgo hadi july mwakani.yaan mwaka mmwingne wa fedha, coz asaiv gvnt imechoka.unajua ni miaka 50 hii ya UHURU na .................. n do vimechangia kucheleweshwa kwa ajira kidogo.ila msijali
  4. S

    Ndanda secondary-MGOMO WA KIDINI.....

    Ki-uhalisia Mungu ametuumba ili tuje kumuabudia yeye.hyi inshu ya kusoma ndo sub-roles za Mwanadam.so na katba ya nchi hii inaruhusu uhuru wa kuabudu,kama ndo hvyo basi.kwann wasipewe sehem nzuri ya kuabudia.kwani Mungu na uongozi wa shule yupi wa kuogopwa sana?
Back
Top Bottom