Search results

  1. KING COBRA

    Suala la Hospitali ya CCBRT linasikitisha sana!!!

    (1)Kuanzia Mwaka 2012 Serikali iliipandisha Hospital hiyo hadhi na kuatangaza kuwa itakuwa Mwaajiri wa wafanyakazi (2)Kuanzia hapo ikaanza kulipa mishahara kwa kuwapatia kila mfanyakazi Check yake na mshahara wake.Sambamba na hilo Malipo ya NSSF yana onyesha kuwa Muajiri ni Hazina ila kiwango...
  2. KING COBRA

    Maneno yaliyowahi kuleta mijadala kwenye jamii

    (1)Rais Mkapa Kuwaita Watu Malofa (2)Rais Kikwete Kusema wanafunzi wanaopata mimba wana kiherehere (3)Rais Magufuli kusema kuwa wanafunzi wenye Div Four ni Vilaza (4)Dkt Willbroad Slaa kumwita Kafulila SISIMIZI (5)Nyerere kumwita Samweli Malechela Mhuni (6)Nyerere Kusema Kikwete ni mtoto...
  3. KING COBRA

    Wizi wa pesa ya umma: Wahasibu wanavunja maandili NBAA, wasimamie tangazo hili!

    NBAA ni Chombo Cha juu Cha kusimamia maadili ya Wahasibu na Wakaguzi. Uchafu unaoendelea Kwenye wizi wa mali za Umma wanaohusika ni Auditors na Accountant. Hivyo NBAA izingatie CODE OF ETHICS Kwa wizi Kukithiri Huku wahusika wakiwa na viapo vya NBAA!! Hata hivyo, Wakati wa Utawala Wa...
  4. KING COBRA

    Askofu Kakobe na Uchaguzi kufanyika siku ya Jumapili...

    Kesho tarehe 11/10/2015 Asubuhi Kuna Ujumbe Hapo Kanisani Kwa Kakobe. Zipo taarifa kuwa NEC wametoa sababu ni kwanini Uchaguzi ufanyike Jumapili sasa majibu haya ya NEC yatachambuliwa. Wachambuzi wa siasa na waandishi wa habari waliochangia kushuka kwa watu kujitokeza kupiga kura uchaguzi mkuu...
  5. KING COBRA

    Angalizo Kwa Wagombea Ubunge Kupitia Ukawa na viongozi wa Ukawa!!!!!

    Mchakato wa Kuwapata Wagombea Ubunge kupitia CCM umetawala Rushwa Kubwa na Wizi wa Kura!! Kwa mfano Kule Wanging'ombe waziri Gerson Rwenge amepata kuara zaidi ya 13,000 wakati anayefuatia ana kura 2000. Hapa kuna kichekesho kwa kuwa kila alipopita Rwenge alikuwa anazomewa Sasa Wagombea wote wa...
  6. KING COBRA

    Angalizo kwa Dr. Slaa na Edward Lowassa!

    ANGALIZO KWA DR SLAA NA LOWASA Kabla sijaanza kuelezea lolote napenda kumukumbusha Slaa ambaye ana taaluma ya upadri. Katika kitabu cha matendo ya Mitume kuna ushahidi kwa Sauli alikuwa muuaji na tena alikuwa anauwa mitume lakini alipata badiliko la kweli na kujiunga na mitume wengine...
  7. KING COBRA

    Machozi ya Pinda sio Bure!!

    Katika Gazeti la Mawio Leo linaonyesha picha ambapo Waziri Mkuu Mizengo Pinga analia mda mfupi kabla ya Ktangazwa Ushindi Mangufuli haijawahi kushuhudiwa Mgombaea urais anatoa machozi baada ya kutoswa , hata Lowasa ambaye alitumia pesa nyingi alionekana imara pamoja na Ugonjwa unao mkabili...
  8. KING COBRA

    Naibu Speaker Job Ndungai amewekewa Pingamizi na Watia nia Saba !!!

    Job Ndugai amewekewa Pingamizi na Watia nia Saba ndani ya CCM. Pingamizi hilo limepokelewa na Katibu CCM Wilaya Ya Kongwa . Tuhuma ni kutoa rushwa kinyume na sheria ya Gharama za Uchaguzi na kutengeneza Tshirt ambazo zinapicha yake na maneno ya kampeni kabla ya Muda. Waliosaini Pingamizi hilo...
  9. KING COBRA

    Waraka wa Mchungaji Mtikila kwa Edward Lowassa

    KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA Edward Lowassa ni balaa kwa Taifa! Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama cha CCM pamoja na wanachama wake sita, Edward Lowassa na wengine, kwa mujibu wa Ibara ya 26 ya Katiba ya Jamhuri ya Tanzania, kwa kosa...
  10. KING COBRA

    Mahakama Kuu imeamuru Nabii Josephat Mwingira wa Efatha apime DNA kesi ya Ugoni

    Nabii Josephati Mwingira wa Efatha, ameamuriwa apime DNA kufuatia kuzaa mtoto anayeitwa Daudi Mwingira na mwanamke aitwaye Philiss Nyimbi ambaye ni mke wa Dr Morris Willium. (1)Mwanamke aliyefanya zinaa na Mwingira anaitwa Philis Nyimbi ni Dkt Hospitali ya Serikali Songea na ni Kabila la Wangoni...
  11. KING COBRA

    Walimu Dodoma wanunuliwa na Lowassa

    CHANZO: NIPASHE Maswali ya Kujiuliza: (1) Walimu hao waliomba Kibali Polisi na wakanyimwa lakini wakaamua kuandamana huku wakiwa tayari kupigwa mabomu .Walimu hawa hawa hawajawahi kuwatayari kuandamana kuadai haki zao za Msingi kwa gharama za kupigwa Mabomu na Polisi ndio maana...
  12. KING COBRA

    Nini chanzo cha watu kuvaa shela na pete wakati wa kufunga Ndoa ???

    Ukifuatilia Kwenye Historia utaona kwamba mavazi ya Shela wakati wa kufunga ndoa yalianzishwa Uingereza ambapo Mwanamke alikuwa anapimwa kwanza bikira: (1)Mwanamke aliye bikira alivalishwa shela Jeupe (2)Mwanamke ambaye asiye Bikira alivalishwa Shela Jekundu . Sasa hapa Nchini Ndoa Nyingi...
  13. KING COBRA

    Angalizo kwa Kikwete: Umati uliofuka kwa Lowassa Arusha unatisha

    Umati uliojitokeza Arusha unatisha lakini kuna maswali yafuatayo: (1)Kumbukumbu za hivi karibuni zinaonyesha kuwa CCM wamefanya mikutano Arusha na sehemu nyingine na Lowasa akiwepo lakini umati uliojitokeza ulikuwa Kidogo sana sasa kwa nini Umati huu ujitokeze siku hiyo? (2)Marafiki...
  14. KING COBRA

    Majimbo mengi Rukwa yatakwenda Upinzani. Angalia mgogoro huu unaotokana na Mwenyekiti!

    Bwana Hypolitus K.Matete (Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Rukwa) nae ameanza kampeni za kuungwa mkono kura ya maoni tangu mwaka 2013. Yeye kwanza uraia wake unatia wasiwasi kwa sababu kazaliwa Zambia tarehe 16/03/1956 Mbala na kubatizwa katika kanisa katoliki tarehe 18/03/56 parokia ya...
  15. KING COBRA

    Mkurungenzi Mtendaji jiji La Mbeya na Msajili wa hati Mbeya wapo Mbioni Kufkishwa Mahakamani!!!!

    Watendaji wa Jiji akiwemo Mkurengenzi wapo Mbioni Kufikishwa Mahakamani kwa Tuhuma za Fogery Waliohusika katika TUHUMA HIZO NI: (1)KESSY mASAJILI WA HATI MBEYA (2)CASTOR OFISA WA ARDHI MANISPAL HUYU ALIKWENDA KUSOMA ILI KUKWEPA LAKINI SASA AMERUDI (3)GWABO J. MWANSANSU [CITY LAND OFFICER MBEYA]...
  16. KING COBRA

    Kakobe: Joka la Makengeza ni Shetani! Awashukia Wanasiasa wanaonunua waandamanaji

    SALAMU ZA ASKOFU KAKOBE JUMAPILI YA PASAKA. (1) Kuna mwanasiasa ambaye ameibuka hivi karibuni akiwa na lengo la kuutafuta urais kwa mbinu ya kuwashawishi wananchi wa makundi mbalimbali wakiwemo wachungaji ambao wamekuwa wanafurika kwake na kumshawishi angombee urais...
  17. KING COBRA

    Jukwaa la Wakristo Wapo KKKT Kanisa Kuu Dodoma Wanamjadili Kikwete sasa hivi

    Jukwaa la Wakrito linalojumuisha CCT,TEC na CPCT hawana imani na kauli ya Kikwete na Watawala wa CCM juu ya matamshi yao Kuhusu Mahakama ya Kadhi. Mwaka juzi Kikwete alitoa tamko kama hilo lakini akaendelea na mchakato sasa leo wapo hapo wanamjadili Kikwete na CCM.
  18. KING COBRA

    Mtikila: Kikwete ana ndimi Mbili!

    Mchungaji Christopher Mtikila amesema kwamba Rais Jakaya Kikwete ni nduma kuwili!! Amesema tamko alilotoa jana kuwa Serikali haihusiki na mahakama ya kadhi , alishatoa tamko hilo Mwaka Juzi kwenye Msikiti wa Gadafi Dodoma. Amesema baada ya kutoa tamko hilo Dodoma tumeshuhudia jitihada za...
  19. KING COBRA

    Baraza la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentecoste Kumjadli Lowassa kwenye Kikao cha Kamati Kuu Arusha!

    Balaza la Maaskofu wa Makanisa ya Kipentecosite Nchini wana kikao cha Kamati kuu na Kimepangwa Kufanyika Mkoani Arusha Kesho tarehe 26/03/2015 ambapo moja ya agenda ya Kikao hicho ni Kujadili Kundi la Wachungaji wa Makanisa ya Kipentecosite waliokwenda Dodoma wakitokea Wilaya mbali mbali na...
Back
Top Bottom