Search results

  1. Jordin abdallah

    Ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa na mtu anayekufanya ujihisi uko peka yako

    Ni bora kuwa pekeako kuliko kuwa na mtu anayekufanya ujihisi uko pekaako, msemo huu una maana gani? Iko hivi, kwa mfano uko katika mahusiano ya kimapenzi na mtu lakini mtu huyo muda mwingi anautumia kwa mambo yake na hajali hisia zako.
  2. Jordin abdallah

    Ukimwaga chozi kwa ugumu wa maisha inadhihirisha umekata tamaa

    Wengi tunajua kwamba ukitoa chozi au kulia itakusaidia kupunguza machungu yaliyomo ndani ya moyo wako sindioo? Ni kweli lakini ukilia kwa kutoa machozi hali hii hudhihirisha kwamba umejikatia tamaa kabisa na hauna namna nyingine ya mufanya. Leo najua kuna watu wanamatatizo mengi sana mpaka...
  3. Jordin abdallah

    Zingatia hili neno ''Nakupenda sana mpenzi wangu''

    "Nakupenda sana mpenzi wangu" Kauli hii unaichukuliaje? Acha leo nikuibie siri wakati unapomwambia mpenzi wako kuwa unampenda sana mpenzi wako huwa anafarijika sana hata kama anamaumivu moyoni basi maumivu yale yanayeyushwa na kauli hii. Kwanza kabisa kauli hii mara anapoisikia ikitoka...
  4. Jordin abdallah

    Hivi ndivyo mapigo ya moyo hupiga kwa vipindi tofauti

    KUHUSU MOYO WAKO BY: Mfalme Moyo huwa unadunda kwa nyendo tofauti kwa hali tofauti tofauti (different Apparitional) Hivi ndivyo mapigo ya moyo hupiga kwa vipindi tofauti. (1) UKIWA NA HASIRA ukiwa na hasira mapigo ya moyo hupiga taratibu sana kutokana na ghadhabu ulionayo na hasira...
  5. Jordin abdallah

    Huyu hapa mbaya wako

    HUYU HAPA MBAYA WAKO[emoji116] Kabla ya yote ivi unamjua mbaya wako? Hapana ndiyo jibu lako la haraka haraka. Sasa kama haumjui mbaya wako hebu wacha nikujuze ili na wewe upate kumfahamu na ujue jinsi ya kumuepuka ili asikudhuru kwa namna yeyote ile. 1) NDUGU YAKO Huwezi kuamini ndugu yako...
  6. Jordin abdallah

    Jinsi ya kuishi kwa furaha

    HIVI NDIVYO JINSI YA KUISHI KWA FURAHA BY: MFALME Jinsi ya Kuishi Maisha Yenye Furaha “Nitakuwa na furaha nikifunga ndoa na kupata watoto.” “Nitakuwa na furaha nikimiliki nyumba yangu mwenyewe.” “Nitakuwa na furaha nikipata kazi.” “Nitakuwa na furaha nikiwa na . . .” JE, UMEWAHI kuhisi hivyo...
  7. Jordin abdallah

    Mambo muhimu ya kufanya katika maisha

    Habari zenu wakuu leo nitatoa mambo muhimu ya kuzingatia katika maisha yako 1) UKARIMU.[emoji116] ukarimu ni jambo dogo sana kwa kulitamka lakini ni jambo lenye mzizi mkubwa katika matumizi. 2)KUJALI.[emoji116] Kujali sio lazima kuwa na pesa lakini jambo la kujali linaweza kukufanya uinuke...
  8. Jordin abdallah

    Kuhusu Moyo Wako

    KUHUSU MOYO WAKO BY: Mfalme Hadithi Moyo huwa unadunda kwa nyendo tofauti kwa hali tofauti tofauti (different Apparitional) Hivi ndivyo mapigo ya moyo hupiga kwa vipindi tofauti. (1) UKIWA NA HASIRA ukiwa na hasira mapigo ya moyo hupiga taratibu sana kutokana na ghadhabu ulionayo na hasira...
  9. Jordin abdallah

    Fahamu kwa kina kuhusu hedhi

    BY Mfalme Hadithi NINI MAANA YA HEDHI? Hedhi (kutoka Kiarabu حيض) ni kipindi maalumu katika mzunguko wa mwanamke mwenye umri wa kuzaa. Wakati huo, ambao kwa kawaida unarudi kila baada ya mwezi mmoja hivi, yeye hutokwa na damu kwenye uke. Maelezo ya sayansi Sababu ya damu kutoka ni kwamba...
  10. Jordin abdallah

    Jinsi ya kuendesha familia yako bila shaka

    MSAADA KWA AJILI YA FAMILIA | KULEA WATOTO Hebu elimika na mfalme. Mtoto Wako Anaposema Uwongo KIKWAZO: Mtoto wako wa miaka mitano anacheza chumbani. Ghafla unasikia mlio. Unaingia na kumkuta amesimama kando ya chombo cha udongo kilichovunjika. Uso wake unaonyesha hatia ya kosa alilofanya...
  11. Jordin abdallah

    Mjue binadamu mwenye sura mbili aliyeishi karne ya 19

    EDWARD MORDRAKE BINADAMU MWENYE SURA MBILI ALIYEISHI KARNE YA 19 By Mfalme Mastories NI vigumu kuamini lakini ndiyo ukweli ulivyo! Edward Mordrake ni Mwingereza mashuhuri wa karne ya 19 ambaye alijinyakulia tuzo za Nobel. Mordrake aliyetokea kwenye ukoo mashuhuri na wenye hadhi kubwa nchini...
Back
Top Bottom