Search results

  1. Jiang Ze Dong

    Rais Samia Suluhu ataweza kudhibiti uvujaji wa taarifa nyeti za Serikali?

    Salaam wanajamvi poleni kwa msiba wa taifa Wakati wa utawala wa JPM mambo mengi nyeti ya Serikali yalikuwa yanavuja mpaka kufikia hatua jamii iliwaamini watu kama kigogo, Maria Sarungi na wengine wengi maana jambo watakaloliandika mtandaoni basi huwa linatokea kweli yaani ilifika kipindi mpaka...
  2. Jiang Ze Dong

    Leo nimeamini kusoma sana sio kuelimika

    Salaam wanabodi kwa hakika binadamu wengi wanaamini mtu aliyesoma sana kuwa ndo anajua kila kitu na wenye elimu ndogo kudharaulika lakini sivyo kuna watu kwa hakika unajiuliza Mtu aliesoma akaishia Darasa la Saba anawezaje kumzidi fikra na ufahamu wa vitu vikubwa mtu mwenye elimu ya Chuo Kikuu...
  3. Jiang Ze Dong

    Sitasahau 2016, nilipungua kilo sita ndani ya wiki moja

    Salaam wana jamvi Hakika mungu anajibu maombi nakumbuka mwaka 2016 mwezi December kutokana na mambo kubana ilinibidi nibadilishe aina ya usafiri kipindi icho nlikua natumia Brevis cc2990 ilikua inakula mafuta mengi mno sasa nikawafata madalali wa Magomeni ili wanitafutie mteja lakini...
  4. Jiang Ze Dong

    Nani kamvunja mguu mwamba ?

    Kuna maswali najiuliza toka asubuhi, Kabla ya kuanza kusingiziana na kuoneana huruma wote wanaomzunguka Mbowe na Mbowe Mwenyewe Wana maswali wanatakiwa watujibu Kwanza. Tusiweke itikadi mbele na mahaba tukaancha Mambo ya msingi ambayo nayo yanaweza kutupatia suluhu. 1. Ukiachana na Ulinzi wa...
  5. Jiang Ze Dong

    Katika hatua za kukabiliana na Corona, Rais Magufuli anafaa kujengewa sanamu pale WHO

    Salaam wanabodi tuendelee kuchukua tahadhari kuhusu Corona. Kwa hakika Rais Magufuli aliona mbali sana licha ya mataifa makubwa kuchukua tahadhari na kuamua kuwafungia raia wao ndani na baadhi ya nchi za afrika kuanza kuiga hatua zilizochukuliwa na mataifa makubwa kiuchumi. Wengi walitarajia...
Back
Top Bottom