Search results

  1. careenjibebe

    Dar: Ofisi za MangeKimambi App zavamiwa, wafanyakazi wake wakamatwa

    Ila hao vijana huko polis sijui hatma yao itakua nini? Maana nachoona hapo kuna mkono wa serikal na kuna mkono wa wale waliotendwa na ile app! Nadhani hata wakitoka hawataitaka tena ile kazi na sijui kama atapata wafanyakazi wapya labda ahamishie ofisi kenya!
  2. careenjibebe

    Paul Makonda aiomba Mahakama siku 21 ili ajibu hoja za Kubenea

    Nadhan kwasabu kesi imewauganisha na watu w serikal kesi haitakuepo
  3. careenjibebe

    Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Niache nimezaliwa na kubatizwa pia! Roma!!
  4. careenjibebe

    JamiiForums Usiku wa manane

    01:19 nimetoka kufanywa sasa nalala
  5. careenjibebe

    Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Jaman! Si tunafuata matendo ya waliotutangulia?
  6. careenjibebe

    Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Yesu aliokoa watu aliyokua anawaongoza hadi na vizazi vyao! Hao waliokengeuka na kwenda dini nyingine pengine ndiyo shetan kazini
  7. careenjibebe

    Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Dah! Umenichekesha! Yesu atarudi hata waislam wanaamini hivyo
  8. careenjibebe

    Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

    Kwasasa hana kwahiyo siwezi kujibu hilo swali hewa
Back
Top Bottom