Search results

  1. S

    Mbeya long time kitambo

    Umesahau Mabati kiwanda cha miwa na vitindi , Kilabu cha Mwakyela pale Nonde , Kilabu cha Maendeleo kule Ghana juu , Kwa Mwalalika mashine maarufu ya kukoboa mpunga , Mtemi Mwasimba bangi zikipanda anaenda milima ya Nonde kupandisha Bendera yake alafu ikifika saa sita usiku anaenda kuishusha ...
  2. S

    Uchaguzi 2020 Katika Uchaguzi wa Oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio Vyama vya Upinzani

    Katika uchaguzi wa oktoba 28, mpinzani mkubwa wa CCM sio vyama vya upinzania , yani hii ipo wazi kabisa , hawa wapinzani mfano wakina Lissu sio Membe , sijui Zitto hawa wote sio wapinzani wa CCM , ni vyema ikafhamika tu kuwa mpinzani mkubwa wa CCM ni mtanzania kwa maana ya mwananchi ...
  3. S

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu: Sekta ya Elimu haijapata fursa ya kujadili changamoto zao au imetengwa?

    Wadau wa Sekta ya Elimu mnakwama wapi? Tokea Serikali ya awamu ya tano imeingia madarakani Novemba 15 , 2015 , kumekuwepo na mikutano mbalimbali juu ya kujadiliana changamoto mbalimbali katika sekta husika nakumbuka mapaema tu baada ya serikali iliyopo sasa kuanza kazi , kuliitishwa mkutano...
  4. S

    Mwandishi wa Habari wa ITV, Renatus Mtabuzi Avamiwa njiani, avunjwa bega na kunyang'anywa Simu zake na pesa, akimbizwa MOI

    Erythrocyte, Sio kila jambo linalotokea linahusiana na taaluma ya mtu , kuna mengine, haya mambo ya kutembea na wake za watu nayo ni shida, kufanya biashara ya dhulumati nayo ni shida, kuna mengi katika mwanadamu, ushindani katika kazi nayo ni shida.
  5. S

    Katika msimu huu wa uchaguzi mkuu, mitandao ya kijamii itafanya kazi kubwa kuliko traditional media

    Yani lolote litakalofanyika kuzuia hivi vyombo vya habari vya kienyeji kama vile magazeti, TV, radio katika kipind hiki cha uchaguzi ni sawasawa na bure kwani kutokana na mageuzi ya sayansi na tekinolojia zinajulikana kama traditional media haitasaidia. Social media zina nguvu kuliko hizi...
  6. S

    Msemaji wa Rais, hakuna kitu kinaitwa "kwanza" katika uandishi wa matukio mfululizo

    Mara nyingi ukisoma taarifa za Ndugu Msigwa ambaye ni msemaji wa Rais Ikulu akielezea juu ya maamuzi yaliyotolewa na Ikulu kwa wakati mmoja, Msigwa na timu yake wakiandika TAARIFA KWA UMMA, utaona anaanza na neno "Kwanza , Rais amemteua......" Nimshauri tu kuwa neno kwanza lipo katika kundi la...
  7. S

    JWTZ kufanya msako katika misitu iliyopo mpakani mwa Tanzania na Msumbiji

    Sasa hapa dhumuni la kukamilisha lengo lipo wapi ? yani mwizi wako anaishi katika kichochoro cha kivunje , unataka kwenda kumkamata ,kabla ujaenda unamwambia tafadhari ondoka haraka hapo hivi karibuni nitakuja hapo kukukamata ... hiyo ni nini sasa? Adui anapewa taarifa kabla ...dah
  8. S

    Kipindi cha uchaguzi wa kisiasa, tasnia ya habari pamoja na waandishi wa habari mara zote nao wanajumuishwa kama vyama vya upinzani

    Historia ya ndani ya nchi ya Tanzania katika kipindi cha uchaguzi wa kisiasa, tasnia ya Habari pamoja na waandishi wa habari mara zote nao wanajumuhishwa kama vyama vya upinzani hususani vyombo binafsi vya habari, waaandishi wanaojitegemea pia huwa katika wakati mgumu katika kutekeleza majukumu...
  9. S

    Habari ya Mgombea Urais kupitia CHADEMA ndugu Tundu Lissu yaandikwa na waandishi 14

    Katika gazeti la Mwananchi la tarehe 11/8/2020 yenye kichwa cha habari kinachosema "SIMPITISHI YEYOTE MATESO HAYA" habari hii yenye paragrafu 29 imeandikwa na waandishi 14, ambao ni Daniel Mjema, Bakari Kiango, Andrew Gasper, Mussa Juma, Rachael Chibwete , Twalad Salum, Rehema Matowo, Ernest...
  10. S

    TANZIA Aliyekuwa mmoja wa Makatibu Wakuu wa kwanza Tanzania, Gerald Mbakileki Rugarabamu afariki dunia

    Famila ya Bwa Gerald Rugarabamu wanasikitika kutangaza kifo cha Baba yao mpendwa Gerald Mbakileki Rugarabamu kilichotokea jumapili asubuhi tarehe 9.8.20katika hospital ya Rubinsia Tegeta Dar es salama, mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Wazo hill Mivumoni Dar es salaam. Kwa...
  11. S

    Uchaguzi 2020 Humphrey Polepole: Dkt. Magufuli atachukua fomu ya Urais 06 Agosti Dodoma. Mwanachama aliyepiga mazonge kwenye kura za maoni atashikishwa adabu

    Ule mswada wa waandishi wa habari angalau wawe na elimu yenye ngazi Advanced Diploma leo ndio nimeona uhalisia wake , Waandishi wa Habari mnakwama wapi? Duh yani mpaka aibu.... ndio vitu gani mlikuwa mkiuliza , yaani mda wote wa propaganda za PRO mlishindwa kutunga maswali yenye afya?
  12. S

    Uchaguzi 2020 Inawezekanaje miundo mbinu iliyojengwa na pesa za watanzania wote, ionekane kuwa imejengwa na CCM pekee?

    sasa mjibu mwenzako kwa hoja hakuna sababu ya kumwita mtu mpumbavu au mjinga , hatuna sababu ya kutoa tafsiri ya neno mjinga au mpumbavu tubishane kwa mitazamo na si maneno yasiopendeza
  13. S

    Uchaguzi 2020 Inawezekanaje miundo mbinu iliyojengwa na pesa za watanzania wote, ionekane kuwa imejengwa na CCM pekee?

    mbona hoja zako za matusi ndugu , mjibu mtu kwa hoja kama alivyokujibu , hakuna hasiyejua kutukana lakini kutukana inaonesha jinsi mtu alivyo katika upeo wake .
  14. S

    Maendeleo yoyote ndani ya taifa siyo ya chama fulani, ni dira ya Taifa zima

    Tukiwa tunaelekea katika Uchaguzi Mkuu wa Taifa, vyama vya siasa vinajukumu kubwa la kuelezea utekelezaji wa dira ya taifa, utekelezaji wa diplomasia ya ndani ya nchi na diplomasia ya nje ya nchi ikiwa pamoja na diplomasia ya uchumi, pamoja na demokrasia ya taifa, nchi nyingi duniani zinasimamia...
  15. S

    Wakati Serikali ikinunua jiwe lingine la madini ya Tanzanite tujikumbushe historia ya madini haya

    Historia ya Mvumbuzi wa madini ya Tanzanite. Marehe mzee Jumanne Mhero Ngoma, Mtoto Wa Mfugaji. Alizaliwa Katika Kijiji Cha Marwa, Wilaya Same Mkoa Wa Kilimanjaro, Wazazi Wake Walihamia Mererani Wakitokea Kijiji Cha Marwa Kwa Ajili Ya Kutafuta Malisho Ya Mifugo Yetu. Alipokuwa Mdogo, Alikuwa...
Back
Top Bottom