Search results

  1. R

    Wakuu naomba kujua matumizi ya ya hii button kwenye. RAV 4 OLD MODEL

    Habari Wakuu naomba kujua matumizi ya ya hii button kwenye. RAV 4 OLD MODEL Asanteni
  2. R

    Naomba ushauri kuhusu Spark plugs za vichwa 3

    Habari wakuu, Katika pitapita zangu nimekutana na spark plugs za vichwa vitatu na muuzaji anaona kuwa ni nzuri kuliko za kichea kimoja. Wataalamu na wazoefu wa Mambo haya naomba kupata uzoefu wenu Asante
  3. R

    Car Fuel saver

    Jamani mwenye uzoefu na hizi chip zinazochomekwa kwenye OBD2 kw ajili ya kuratibu na kupunguza ulaji wa mafuta anisidie Kama kweli zinafanya kazi Asante
  4. R

    Infinix hot 8 not receiving calls but shows missed call

    Jamani habari Naomba kusaidiwa nin infinix hot 8, nikipigiwa haiiti, caller anaambiwa simu iko busy, Mimi nakuta missed call you. Naombeni msaada. Asanteni.
Back
Top Bottom