Search results

  1. N

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    [emoji1787][emoji1787]hapana mkuu ni Rungwe ila point yangu ni hiyo R nikimaanisha mother tongue ya kinyaki ni nadra sana kukuta R kama ilivyo kwa wamakonde wanatoka 'M'twara lkn wanatamka 'N'twara.
  2. N

    Unaona nini kila unapoutizama mwezi (moon)?

    Nauona ulee ukiibukia na kuzamia MATOPENI!
  3. N

    Msumbiji: Mtanzania miongoni mwa watu 16 wanaotuhumiwa kuunga mkono ugaidi

    Kwanini kobaz ni rahisi sana kuhadaiwa na kuwa wahalifu?
  4. N

    Idara ya simba nayo imekufa, team imeishiwa.

    Simba iko mikononi mwa viongozi ambao ni kama walipanga kuididimiza angalia wachezaji tegemeo wa yanga simba ndio ilikuwa ya kwanza kutaka kuwasajili kilichotokea ni kama wao ndio kilikuwa kizingiti hadi kuhakikisha hawaji simba badala yake wakasajili wachezaji vituko.Je ni kweli Mo kashindwa...
  5. N

    Ukipewa nafasi ya kuwa Kiongozi kwa siku moja ni kitu gani utabadilisha cha kwanza?

    Harakati za kuwa 'convert' fisiem zitaanza mara moja kutoka kundi la unyang'anyi na kuwa waadilifu hata kama nitafanikiwa kwa wachache.
  6. N

    Angalia jinsi Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda waisrael

    Israel inapambana na magaidi dunia nzima ukiwemo wewe ambaye ni gaidi uliyekosa vitendea kazi.
  7. N

    Angalia jinsi Kagame anavyoionesha duniani kuwa nchi yake ina watu wenye akili, elimu na uwezo mkubwa wa kufikiri kushinda waisrael

    Kwa hiyo kujilipua ndio akili?utumwa na uchukiwe na kila mwenye akili timilifu.
  8. N

    Mkurugenzi aliyetenguliwa Mafia, kuchunguzwa kwa Ubakaji

    CCM hakuna msafi hata mmoja mfano hai ni bunge.
  9. N

    Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Huku kijichi dar kuna ufukwe unaitwa msende sema ikiwa na maana msiende kusema,wenyeji kiasili ni wazaramo.
  10. N

    Watu wengi wa Pwani hawajui kuzungumza kiswahili Fasaha

    Watu wa pwani ni nani?ni wale walio ukanda wa pwani na kukosa utambulisho wa lugha yao ya asili?kama sifa ya kuwa karibu na bahari je wanafanana kitabia kutoka tanga hadi mtwara?Mi neno sahihi ni waswahili.
  11. N

    Uingereza yasema kipigo kutokea Israel ni suala muda tu

    Hata Iran magaidi wote duniani wanamsaidia wakiwemo wale wauza alkasus wa kibiti.
  12. N

    Mamba waonekana Bwawa la Chemka

    Kama huku kijichi Dsm mamba walionekana ufwekweni mwa bahari itakuwa bwawani?
  13. N

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Ila mbeya jeuri sana pamoja na kutengwa na ccm lakini wapi ipo juu!
  14. N

    Mika Mwamba kali kweli alikuwa mkali

    Twenzetu-Chege
  15. N

    Dubai wakumbwa na mafuriko baada ya mvua kubwa kunyesha

    Hivi ford bronco zipo bongo kweli?
  16. N

    Hii hapa Miji na Wilaya 60 zenye mapato mengi na mzunguko mkubwa wa biashara Tanzania

    Kwamba my Kyela is superior than Singida[emoji106]
Back
Top Bottom