Search results

  1. Mmalavi

    Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto

    Ahaaaa sawa nimekupata mkuu ngoja tumsubir huyo zumbemkuu
  2. Mmalavi

    Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto

    Kama sijakuelewa hivi mkuu
  3. Mmalavi

    Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto

    Habari wadau ,naomba mnisaidie kidogo kwa wale wanaokifahamu vizuri chuo Cha uongozi wa mahakama LUSHOTO, kina ubora kiasi gani na nitakapomaliza naweza kuhudumia jamii kwa kuaminika nikawapa msaada wa kisheria??
  4. Mmalavi

    Naomba msaada wa mawazo

    Kwani Sasa hivi siwezi kusoma foundation halaf Kama nitapata GPA ya 3 mwakani niende degree
  5. Mmalavi

    Naomba msaada wa mawazo

    Nashukur kwa ushauri
  6. Mmalavi

    Naomba msaada wa mawazo

    Kuna watu walinishauri nisome foundation programme kwa mwaka mmoja Sasa siamin Kama Ni programme salama kwa malengo yangu na kuhusu NACTE pia nahisi sijakidhi vigezo kwa kozi mbalimbali
  7. Mmalavi

    Naomba msaada wa mawazo

    Nimemaliza kidato Cha 6 nimepata div. 4 point 18 yaani E, S kwakuwa ndoto zangu zilikuwa kuendelea na elimu ya chuo kikuu na kurudia mtihani wa kidato Cha 6 sitaki, je nikisoma foundation programme itanisaidia? Au nifanyeje ili nitimize malengo
  8. Mmalavi

    Mwaka huu mikoa ya Dar na Pwani ina maajabu

    Hali ya hewa tu haiko poa hata huku kwetu Mtwara Kuna baridi wakati sio asili yake.
Back
Top Bottom