Search results

  1. L

    Uchaguzi Mkuu Umepita, Sasa Kazi Tu!

    makala nzuri toka kwa Mheshimiwa Kigwangala. Sasa naona kwa nini kuna wanaodhani unaweza kuwa Waziri Mkuu wetu. Una vionjo fulani hivi vya kifalsafa ambavyo mtu hawezi kuviona mpaka akusome maandiko yako. Endelea kuandika. Maandiko yako yatakutoa. Jipambanue kwa kuweka hoja zako kwenye maandiko...
  2. L

    Asitisha huduma ya usafiri baada ya kushindwa ubunge

    Huyu mhindi kiboko ya wapiga kura wa ukawa...sasa wacha wasote na mbunge wao wao wa ukawa ndiyo watajua
  3. L

    Busara zangu tu: Samwel Sitta pumzika!

    Huyu Mzee kama ana washauri basi aachane na siasa alee wajukuu nyumbani kwake...kwa maana ni ngumu sana kwake kufikisha hata kura kumi tu. yeye na mama Makinda wanaenda kupata shock ya mwisho ya maisha yao...wataangushwa vibaya sana na akina Ndugai na timu yake ambayo imejipanga vizuri sana
  4. L

    Uteuzi Waziri Mkuu mtihani mkubwa kwa Rais na chama chake

    Kigwangala for PM no, Makamba for PM no, Mwigulu for PM no...wote hawa bado bado wapewe Wizara kamili wafanye kazi kwanza wachote uzoefu. Dr Hamisi Kigwangala - Waziri wa Afya au tamisemi, au Uchukuzi mwigulu ncehmba - Waziri wa Fedha, au Kilimo January Makamba - Waziri wa Afrika Mashariki...
  5. L

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Kigwangalla ana uzoefu na TAMISEMI, bunge lililopita amefanya kazi nzuri sana kama Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya TAMISEMI, nadhani anafaa kuaminiwa kumsaidia Rais Magufuli kuijenga Tanzania mpya. Uwaziri Mkuu kwa Kigwangala bado sana, lakini Wizara ya Afya, kwa kuwa amesomea na kubobea huko...
  6. L

    Hii Ndiyo Tano Bora ya CCM

    1. Jaji Agustino Ramadhani - wasifu wake wa uadilifu na utumishi jeshini na serikalini ni hazina kubwa, pia sababu za kisiasa za kuwa mzanzibari na 'mkristo' ukizingatia wazanzibari hawajatoa Rais kwa mihula miwili sasa na hii ni 'zamu' ya wakristo {japokuwa haijaandikwa popote lakini ndiyo...
  7. L

    Urais 2015: CCM Inahitaji kizazi kipya kushinda uchaguzi mkuu!

    Kwa namns ilivyo watu wengi hawana matumaini na wazee waliokaa madarakani zaidi ya miaka 30 wakiongoza. watu wanaona hivi hawa wana jipya lipi la kuleta nchini zaidi ya historia zao kugubikwa na ufisadi, uzembe, undugunaizesheni, ubadhirifu wa mali ya umma na urasimu? wapiga kura kwa zaidi ya...
  8. L

    Mwana JF, Dr. H. Kigwangala Live Bungeni!

    Huyu si ndiye Kigwangala anayeomba Urais ama ni mwingine?
  9. L

    Hamisi Kigwangalla: The Story!

    Kigwangalla ni mwandishi mzuri sana na ndiyo maana hata hotuba yake ya kutangaza nia ilibamba sana! Wenye wivu wajinyonge tu
  10. L

    Urais 2015: Ni kwa nini watu wameamua kumchafua Kigwangalla?

    Mi nependa kujiunga na ile timu ya supporters wake, #TeamBelieve , huyu ni role model wangu, wanajf naombeni namba yake nimtafute
  11. L

    Kigwangalla akimbilia kwa Madaktari Wenzake, Ajitetea Kuhusu Nia Yake!

    wewe umeishawahi kuigiza mchezo gani? Acheni dharau
  12. L

    Kigwangalla akimbilia kwa Madaktari Wenzake, Ajitetea Kuhusu Nia Yake!

    huyu kijana wanamshambulia sana, lakini nadhani ni genius na ana roho ya paka
  13. L

    Lowassa awaandalia dinner waandishi wa habari

    Staili ya #TeamHK imeigwa na #TeamENL
  14. L

    Reaction ya Dk Kigwangalla kwa Dk Kitine

    hahahahaahaaaa mkuu umeuwa!!!!!!
  15. L

    Reaction ya Dk Kigwangalla kwa Dk Kitine

    Hivi unapopanga wewe unakuwaga na uhakika kila kitu kitakuwa kama kilivyo, ama kizuri? Mi nadhani matokeo ni kazi ya Mungu
  16. L

    Revealed: Dr. Kigwangalla kanakili hotuba nzima ya Obama ya mwaka 2004 aliyoitoa Boston

    I thought people in this forum were serious...
  17. L

    Reaction ya Dk Kigwangalla kwa Dk Kitine

    Haya hapa chini ni maneno aliyoandika Dk Kigwangalla kwenye ukurasa wake wa facebook jioni hii kujibu mapigo ya Dk Hasy Kitine: https://www.facebook.com/hamisi.kigwangalla?hc_location=timeline Wakati nafanya tafakuri ya kama nigombee Urais mwakani ama la, haikunitokea hata siku moja kutamani...
  18. L

    Kumbe Dk Hamisi Kigwangalla ana CV ya kutisha!

    Hivi ni Mbunge gani wa CHADEMA mwenye CV kali kama hii? Mnyika ama Sugu? Kwenye ukweli tuondoe makunyanzi, tuuseme tu jamani!
Back
Top Bottom