Kifo cha Magufuli kilivyotoa funzo usiri, mifumo
THURSDAY DECEMBER 02 2021
Summary
Aprili 4, 1841, usiku, Marekani kwa mara ya kwanza walimpoteza Rais akiwa madarakani. Ni William Henry Harrison. Alikaa madarakani kwa siku 31 tu.
ADVERTISEMENT
By Luqman Maloto
Dar es Salaam. Aprili...
Habarini,
Kuna hekima ya Kiafrika ya namna ya kumdhibiti paka na kumpiga akiwa kakosea, awe ni paka wako au wa jirani.
Wazee wa Kiafrika wanashauri kuwa ukifanikiwa kumdhibiti paka ndani ya chumba na mkononi una kiboko mujarabu kwa ajili ya kumpa kichapo na mlango na madirisha yamefungwa...
ππππ eti imejisokota...
Ila mkuu wakuitoa CCM ni CCM yenyewe, kumbuka huyo Ngoyai alivyokuwa naye amejisokota ktk dola kwa mipango ya muda mrefu, kama CCM wakati ule ingekosa wajuvi wa kazi kama JK and co. Leo tungekuwa tunaongea mengine
ππππ
Mkuu hoja yako imeongeza ufikirishi zaidi maana hata hapa kwetu kuna hiyo kitu japo haijaandikwa popote ila tunajua akitoka wa dini hii anaingia wa dini hii.
Sasa kama ilivyokuwa naijeria imetokea na kwetu. Najua hata timu za dini tofauti zilizokuwa zimeajdaa mtu wao kila timu kwa kufuata...
Kwa kuitazama CCM ya sasa naona inaenda kugawanyika vipande na hapo litazaliwa kundi la upinzani lenye nguvu lililojijenga tangu sasa kimya kimya.
Japo pia natambua uwezo wa CCM kujirekebisha na kuwa Imara zinapofika nyakati za uchaguzi hasa wakiona tishio toka nje (upinzani)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.