Search results

  1. F

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Chukua 120 kaka
  2. F

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Kaka chukua 350 boss
  3. F

    Natafuta kazi ya networking na security system installation

    Kwa wale wenye Nia za kuifungua ofisi ambazo zinahitaji network au mifumo ya hospitalini au kufunga camera za usalama kwa majumbani na ofisini au sehem za biashara.... Naomba tuwasiliane nafanya kazi kwa uhakika kabisa. Sina meng ya kuandika ila mwenywe swali karibu na mwenye kazi karibu...
  4. F

    Wapi nitapata kiwanja cha milioni 3 kwa Dar?

    Njoo nkuuzie malamba mawili kwa banana Zoro.... Nnacho 15 kwa 13
  5. F

    Nauza vifaa vya internet

    Humu zinakataa kuja ila anaehitaji anichek kwa 0682527009
  6. F

    Nauza vifaa vya internet

    Ukiuza waambie mm pia nna box za UTP cable tatu za outdoor.... Ni CAT 6 na nauza Laki 3 tatu tu
  7. F

    INAUZWA Wall Pannel - ukuta wa kisasa

    Wale watumiaji wa kuta za kupachika yaani 'Wall pannels' za kisasa, ninazo za kutosha. Njoo Tabata Segerea nikuuzie. Simu: 0755726772
  8. F

    Nahitaji gari ndogo Aina ya IST, Raumu, Spacio, Ractis, Funcargo na gari nyingne isiyozidi cc 1290

    Vyovyote vile ila nkipata mkataba itakuwa vizuri zaidi
  9. F

    Kilimo cha zao la Ufuta: Masoko, Mbinu na Ushauri Toka kwa Wadau

    Dar bei ikojee? Na wapi hasa bei hiyo ipo
  10. F

    Nataka kufanya biashara ya kukoboa mpunga na machine za kisasa kama za kichina

    Hiyo ya USD 8700 nzuri Sana na itakulipa. Kuna maeneo uhitaji ni mkubwa sana! Kuna sehemu inaitwa mlowo mbozi huko mkoa wa songwe pale mashine kubwa ya hivyo hamna zipo za vinu na chache alafu ukizingatia hapo ndio njia yanapita magari yanayotoka sehem inaitwa kamsamba ambako unatoka Mchele Safi...
  11. F

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Ukiwa tayari nicheki nikuunganishe na mtu yupo kariakoo duka la jumla atakupa viomboo kwa Bei Chee mpaka utashangaa
  12. F

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Nenda karume sokoni pale boma asubh saa kumi utapata mzigo wa kutosha
  13. F

    Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Twende tukanunue kamsamba mbozi huko mkoani songwe mpunga mzuri na soko lake lipo palepale la uhakika Sana! Ukiwa tayari nicheki
  14. F

    Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

    Wakuu nasoma comments lakin sio Mara zote unaweza hisi kila mtu anaweza kuwa mwizi japo unaweza kuwa sawa Sabu ya mazingira uliyowahi kukutana nayo Ila siwezi ongea Sana zaidi ya kuomba mwenye Nia ya kuniwezesha tukutane tuweke terms za kimkataba tufanye kazi
  15. F

    Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

    Nkipata hata moja sawa au mbili sawa pia
  16. F

    Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

    Hapana ni petrol yenyewe inatumia
  17. F

    Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

    Nipo Dar es salaam makazi na familia Ila kazi nafanyia mkoa wa Ruvuma wilaya ya sonhea 1.5 had 1.8M
  18. F

    Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

    Nipo Dar es salaam makazi na familia Ila kazi nafanyia mkoa wa Ruvuma wilaya ya songea
  19. F

    Natafuta Muwekezaji wa chainsaws mashine

    Mimi Nina uzoefu wa kuwekeza kwenye hizi mashine za kukatia mbao na nimekuwa nikifanya kazi hii kwa muda kidogo na vijana wangu Ila mwaka Jana mwishoni nilipata matatzo ya kifamilia ya ghafla na kupelekwa kuuza mashine yangu. Lakini toka mwaka huu uanze nimekuwa nikipokea oda za mbao Ila...
Back
Top Bottom