Search results

  1. Investo

    Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

    Leo ndo nimelisikia hili kabila,Kuna wadau walikuwa wanalitetea kabila lao Ila naona wamenyoosha mikono
  2. Investo

    Nimeitwa interview Mkwawa leaf tobacco kama store clerk

    Km hujawahi fanya hiyo kazi,tafuta mtu anaeijua akuelekeze majukum yako pia Soma notes
  3. Investo

    Nimeangukia kwa single Mother

    Wanawake ni waigizaji wazuri Sana,km huamini angalia familia ambayo mama wa kambo anajifanya anawajari watoto wa mme wake ,fatilia nyuma ya camera au mwanaume akifa,Single maza achana nae kwa kifupi over ,km unadada yako omba ushauri kwa kumtania tu uone atakavyo tiliika maana hakuna anaemjua...
  4. Investo

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Hahaa,kweli bro nawekeza kwenye bando tu,na kufatilia pages za cypto daily kuangalia updates,fatilia pia app ya Satoshi naona Kuna updates juu coin moja ambayo ndo inamalizikia kumine this month
  5. Investo

    Naishi naye bila hisia

    Kazi unayo kiongozi,ule tu ujasiri wa kuzaa na mtu mwingine alafu unaachana nae,aixee hiyo dam yako huwazi hata
  6. Investo

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Hahaa,Soma kwanza kuhusu cypto currency uelewe ndo utaweza kusema,any way nitakucheki nikiwa na withdraw next coin
  7. Investo

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Project ambayo,last month imenipa pesa no Ice coin,kaangalie nilipata coin elf 13850,kipindi zimeingia kwenye wallet zilikuwa na thamani ya Dola 70 nilikuja kupata shida nikaziuza kwa Dola 90 Je! Inafaida? inatokana na bando lako tu,na project ngapi upo tayari ku mine,sim yangu sahizi...
  8. Investo

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    Naona kila mtu,anacholalamikia ni ngono tu,sijaona mtu analalamikia kuhusu Mambo ya biashara au laa! So Mimi kwa upande wangu,niliomaliza chuo nilikuwa natafuta Cha kufanya online,nikakutana na inshu ya Bitcoin kipindi hicho ilikuwa na thamani ya Dola 20k hivi Sikuwa na uwezo wa...
  9. Investo

    Nahitaji kufungua duka la vitu vitamu tu kama Candy, Chocolate, Chewing gums. Wapi napata kwa bei ya jumla?

    Hivi vitu bhana,km unamtaji mkubwa au siku ukiwa na mtaji mkubwa,Kuna nchi moja nahisi Zambia,utapata kwa Bei nafuu Sana sema taratibu zao ndo sijui Ila Kuna bro wangu alikuwa anapiga hizo Mambo
  10. Investo

    Design hii ya wanawake wanastahili kutorokwa kwenye bill

    Nyie mnachekesha Sana,ukitaka kuwa safe Dem aje gheto,kitimoto inafatwa kilo moja inaliwa ghetooooo km hataki apite hivi kwani Mimi Kaka yake
  11. Investo

    Mwalimu wa kujitolea CHEMISTRY and BIOLOGY

    Kazi tunayo,wasomi Kuna siku niliona tangazo la kujitolea kufundisha shule shule ya serikali masomo ya biashara kwa mwezi 200k,na km unavyojua form 1 to 4 na uhakika wa ajira badae uongo,nikasema big no
  12. Investo

    Nawekezaje bumu linisaidie kulipa ada?

    Kuingia kwenye biashara,utalia km home ni bush au Kuna nafasi home na mtu wa kueleweka fuga zako tu ukitoka uyajua pa kuanzia,Ila Mambo ya frem sijui leseni itakulamba
  13. Investo

    Naombeni msaada kuufahamu hiki kiitwacho Bitcoin?

    Achana na hizo Mambo ndugu,hakuna fixed amount of return kwenye uwekezaji wowote,Tena kuhusu cypto market usiseme,nakumbuka nilipokuwa chuo nilikutana na kampuni moja inaitwa bitclub advantage unawekeza kwa kiwango kulingana na uwezo wako,xo jamaa alieni introduce yeye aliweka palefu Mimi...
  14. Investo

    PSRS interview questions (written, pract & oral)

    Kwa Ushauri nenda kwenye search hapa jamii forum andika account officer ii,alafu bonyeza kila link utakutana na hints maana nimefatilia huu Uzi hamna hints za kutosha
  15. Investo

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mi naomba experience kwa wale wa account officer ii ,ni material gani mlikiwa amnayatumia mpaka kufanikiwa kuingia oral? Maana mtihan unakuja wajamaa wamepasua balaa mpaka unasema hee
Back
Top Bottom