Search results

  1. Boeing 757

    Wadau wa JF naomba mnishauri kuhusu hii ndoto yangu

    Habari wana Jf , natumai nyote ni wazima japo kuna changamoto za hapa na pale tunakumbana nazo. Moja kwa moja acha niende kwenye maada. Tangu zamani nikiwa mdogo nilitamani kuwa rubani wa kurusha ndege. Kiukweli kutoka moyoni ni taaluma ninayoipenda sana hadi sasa na sio kutokana kwamba inalipa...
  2. Boeing 757

    Ma William Shakespears wa JF

    Mimi sijawahi jutia kuwa Jf. Kuna vichwa humu vinatema madini muhimu sana kiasi kwamba unaanza kumtathmini huyu anayeandika hivyo kichwani huwa anawaza nini[emoji41]. Kuna watu wana upeo wa kufikiri mbali sana ukiachana na wale vichwa panzi wao ni matusi kutokana na stress za maisha na msoto...
  3. Boeing 757

    Kwa wale tulioangalia filamu ya The Exorcist tupeane mrejesho

    The exorcist Ni moja kati ya masterpiece iliyotoka miaka y mwanzo ya 70.ila ninapoitazama unaweza kusema ni ya mwaka jana. Nilichojifunza kwenye hiyo filamu ni kwamba 1. Sayansi haiwezi kutatua maswala ya nguvu za giza.refer kwa wale madaktari wanvyohaha kujaribu kujua tatizo la kiakili la...
  4. Boeing 757

    Viu ambavyo huwa nazingatia ninapotazama movie

    Wadau habari zenu, poleni na majukumu ya hapa na pale. Pasi na kupoteza muda nataka ku share Mambo fulani fulani ambayo binafsi huwa nayazingatia ninapotazama filamu yeyote ile. Ipo hivi, wengi wetu humu najua ni wapenzi wa sinema haswa za majuu . wengi tunakuwa tunafurahia matukio kama vile...
  5. Boeing 757

    Charlie Champlin Vs Mr Bean

    We unadhani nani mkali ? Ni kazi gani za hawa jamaa zinakuvutia? Hawa ma legend ni kati ya binadamu wachache sana ambao wameingia kwenye kumbukumbu za dunia kwa vizazi vya sasa na vingi vijavyo. Kwa ucheshi wao wameitendea taaluma yao ya uchekeshaji haki. Rowan Atkinson wa Johnny English...
  6. Boeing 757

    Jason Bourne vs James Bond

    Matt Damon au almaarufu Kama Jason Bourne na Daniel Craig au James Bond yupi mkali katika ule ulimwengu wetu wa ujasusi? Ni kazi gani NJEMA ya hawa miamba hujutii kabisa kuziangalia?
  7. Boeing 757

    Asili ya Majina ya states za Marekani na maana zake

    1.ALABAMA. Jina hili limetokana na jamii ya chactow ambao ni red Indians likimaanisha thicket clearers au vegatation - gatherers Kwa kiswahili tunaweza sema ni wanaokusanya au kukata vichaka sehemu kwa ajili ya kuanzisha makazi. 2.ALASKA Lina maanisha great land..au sehemu kubwa ya ardhi...
  8. Boeing 757

    Hivi ule wimbo wa huyu mwanadada only time alikuwa anamaanisha nini?

    Wadau nahitaji kujua maana ya yale mashairi yaliyopo kwenye huo wimbo wa huyu mwanadada raia wa Ireland aliouimba nikiri kusema ni moja kati ya NYIMBO BORA DUNIANI iliyowahi kuimbwa.
  9. Boeing 757

    Steven Spielberg vs Paul Greengrass: Nani Director bora wa filamu?

    Unapozungumzia ulimwengu wa burudani basi industry ya filamu imetutendea haki sisi ambao ni movie goers. Hivyo basi kuna watu wamejaaliwa katika kuunda script za story hadi inatengenezwa movie. Japo kuna ma director wametendea Kazi taaluma zao ila huyu aliyetengeneza movie sequel za Jason...
  10. Boeing 757

    Rubani huzingatia sana kitu kinachoitwa flight plan kabla hajarusha ndege

    Upangaji wa ndege (flight plan) ni mchakato wa kutengeneza mpango wa ambao rubani anaufuata kuelezea safari ya ndege inayopendekezwa kufanyika ni vitu izingatie ili kufanikisha safari nzima kutoka point A kuelekea pint B. Inajumuisha mambo mawili muhimu ya usalama: hesabu ya mafuta ambayo...
  11. Boeing 757

    Masoud Kipanya Masoud Kipanya

    Honestly speaking kinachonivutia kusoma gazeti la mwananchi ni katuni za huyu GENIOUS masoud kipanya.
  12. Boeing 757

    Nikiachana na mambo ya uchama hawa viongozi wananihamasisha sana

    1. Kassimu Majaliwa: Huyu ni Waziri Mkuu wa Tanzania, haiba yake ya upole, na pia hata akijibu hoja anajibu kwa ustaarabu , kiukweli sijawahi kumsikia ametoa kauli au tamko tata. Na pia kinachonivutia sio mtu wa kuji show-off sana kwa maana ya kufanya vitu ili aonekane. 2. Mama Samia Suluhu...
  13. Boeing 757

    Kifo cha Rais Kennedy: Kikosi cha kumlinda Rais kilijutia sana na kitaendelea kujutia

    Kikosi cha kumlinda rais Marekani , kupendekeza msafara wa huyu jamaa uwe kwenye gari ya limousine convertible kuliyagharimu maisha yake. Natumaini vitengo vya ulinzi wa rais duniani kote walijifunza sana. Wadunguaji au mdunguaji ilikuwa ni fursa moja adimu sana siku hiyo ya Novemba 22 mwaka...
  14. Boeing 757

    Unalionaje suala la jamii kutaka mtu aishi wanavyotaka wao?

    Unajua katika ulimwengu wa leo kuna lifestyle za kila aina. Na pia kila mmoja hupendelea kufanya kile apendacho. Ila kuna hali fulani ninaiona kwenye jamii hususan inayonizunguka. Ipo hivi; Kama wewe ni kijana labda tuseme kuanzia 20+yrs kama huzinyoi kwa style za kisasa au kutengeneza nywele...
  15. Boeing 757

    Uzi maalum kwa wale tunaopenda miziki ya miondoko ya Rock Heavy Metal

    Binafsi hawa ni ma legends ninaowakubali 1. Avenged sevenfold 2. Death punch 3. Nickeblack. Haya nawewe tupiamo hapa ngoma ya heavy metal ili tupate na experience na pia ni mwanamuziki gani unamu admire wa hizi ngoma za rock heavy metal
  16. Boeing 757

    Huyu jamaa sio kwamba walimsingizia kwa alichokifanya kweli?

    Mimi naona kama alitupiwa msala hivi [emoji848] MÊmENtO HoMO
  17. Boeing 757

    Matukio haya yakitengenezwa filamu wananchi au Serikali itazipokeaje?

    Kwa wale ambao ni wadau wa filamu za magharibi hasa za Hollywood mtakubaliana na mimi kuwa wale film makers wapo vizuri katika kuyaleta matukio yaliyowahi kutokea kwenye uhalisia na kuyaingiza, na hii imeifanya Hollywood kuwa industry inayoheshimika zaidi duniani katika ulimwengu wa burudani...
  18. Boeing 757

    Wadau, vitabu vya Kwaheri Ukoloni, Kwaheri Uhuru pamoja na Kaptula la Marx vina shida gani?

    Personally mimi ni msomaji mzuri wa vitabu, ila kuna mzee mmoja nimemtajia orodha ya vitabu ninavyosoma, nikamtajia hivyo hapo juu kwamba ni orodha ya vitabu ninavyopanga kusoma na kimojawapo hicho cha kwa heri ukoloni kwaheri uhuru nimekianza kusoma. Alichonijibu ni: "kuwa makini sana na vitabu...
  19. Boeing 757

    Ni uhusika gani Joti akiuvaa katika kuigiza anakuwa ame-fit?

    Kiukweli binafsi namkubali sana huyu GENTLEMAN katika kufikisha sanaa yenye ujumbe kwa hadhira katika Joti TV ukimuangalia jamaa anajua... comedy zake zinachekesha sana. Je ni uhusika gani kati ya hizi hapa anapendezea na anakuwa amefit? 1. Kiboga 2. Mjomba nishai 3. Andunje 4. Babu 5. Mpemba...
  20. Boeing 757

    Kwanini Marekani inachukiwa sana?

    Habari wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu. Marekani tunajua ndilo taifa lenye nguvu sana duniani so far. Je, ni kwanini tunaaminishwa mambo mabaya tu yanatokea Marekani? Hii chuki ya jamii nyingi haswa za kiarabu dhidi ya Marekani je ni kwa sababu tu ya vita na maslahi yake ya mafuta...
Back
Top Bottom