Search results

  1. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed awasisitiza Wabunge na Madiwani kutekeleza ahadi binafsi

    MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka Wabunge na Madiwani kuhakikisha wanatekeleza ahadi zao binafsi walizotoa kwa wananchi wakati wanaomba kura kwenye uchaguzi wa mwaka 2020. Mwenyekiti Ndugu Shemsa Seif Mohammed amewataka ametoa wito...
  2. Stephano Mgendanyi

    Ajira mpya kupelekwa kwenye zahanati zenye uhaba wa watumishi

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayeshughulikia Afya Mhe. Dkt. Festo Dugange amesema Serikali inatarajia kutoa kipaumbele katika zahanati zilizo na mtumishi mmoja kwa kuongeza idadi ya watumishi katika ajira mpya zitakazotangazwa ili waweze kutoa huduma bora kwa wananchi. Dkt. Dugange...
  3. Stephano Mgendanyi

    Serikali Kutumia Bilioni 33 Kusambaza Maji Jijini Dar es Salaam, Kibamba Yapata Bilioni 13.9 Mwaka Mpya wa Fedha 2024-2025

    "Ipi kauli ya Serikali ya kutokamilika kwa miradi ya Maji katika Jimbo la Kibamba?" - Mhe. Issa Jumanne Mtemvu, Mbunge wa Jimbo la Kibamba "Serikali imekamilisha ujenzi wa miradi mitatu ya usambazaji wa maji kutokea Chuo Kikuu cha Dar es Salaam hadi Bagamoyo (2B2F), Mshikamano na Kitopeni...
  4. Stephano Mgendanyi

    Idadi ya Wanawake Wanaomiliki Ardhi Nchini Imeongezeka Kutoka Asilimia 25 Hadi Asilimia 41

    "Serikali imefikia wapi kuweka utaratibu rahisi wa urasimishaji na umilikishaji Ardhi hususani kwa wanawake? - Mhe. Rose Cyprian Tweve, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa "Serikali inatekelezeka mradi wa kuboresha usalama wa milki ya Ardhi kupitia mradi wa LTIP kwa mkopo wa fedha kutoka Benki...
  5. Stephano Mgendanyi

    Aysharose Mattembe: Serikali Ilete Fedha Kukamilisha Kituo cha Afya cha Ngimu

    "Je, ni lini Serikali itapeleka fedha za kutosha kukamilisha kituo cha Afya cha Ngimu katika Jimbo la Singida Kaskazini" - Mhe. Aysharose Mattembe, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida. "Nimuhakikishie Mbunge Aysharose Mattembe kuwa tayari tumeshakiingiza kituo cha Afya kwenye orodha ya vituo...
  6. Stephano Mgendanyi

    Juliana Shonza aitaka Serikali kuharakisha ujenzi wa Zahanati Kata ya Mmbebe na Wodi ya Akina Mama, Isansa

    "Serikali ina mkakati gani wa kuunga mkono juhudi za Wananchi wa Kata ya Mmbebe kukamilisha ujenzi wa kituo cha Afya" - Mhe. Juliana Daniel Shonza, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe "Serikali imeendelea kutenga fedha kwaajili ya kukamilisha ujenzi wa vituo vya afya vilivyoanza kujengwa kwa...
  7. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Angelina Malembeka: Serikali iongeze posho kwa askari na maafisa kipindi cha uchaguzi (Zanzibar wanafanya chaguzi mbili)

    "Kuna mpango gani wa kuongeza posho kwa Askari na Maafisa Waandamizi wa uchaguzi" - Mhe. Angelina Adam Malembeka, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kaskazini Unguja "Wakati wa uchaguzi wasimamizi wa uchaguzi na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi kwa ngazi ya Jimbo na Kata hulipwa posho za kujikimu...
  8. Stephano Mgendanyi

    MP Twaha Mpembenwe: APPRECIATION NOTE to Madame Speaker to Appointing me to a position of Deputy Chairman to the Parliamentary Budget Committe

    Hon. Twaha Mpembenwe (MP from Kibiti): APPRECIATION NOTE to Madame Speaker, Dr. Tulia Akson to Appointing me to a position of Deputy Chairman to the Parliamentary Budget Committee 22nd April 2024. APPRECIATION NOTE Dear; Madame Speaker I would like to express my gratitude first to Allah...
  9. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Kuchukua Hatua kwa Mameneja Wazembe TEMESA, Ataka Majina Kubainishwa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuwasilisha majina ya Mameneja wa Kanda na Mikoa wa TEMESA ambao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi ili waweze kuchukuliwa hatua. Bashungwa ametoa agizo...
  10. Stephano Mgendanyi

    Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha: Serikali Ina Mpango gani Kuunga Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Zahanati?

    Zaytun Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha; Serikali ina mpango gani wa kuunga mkono juhudi za Wananchi kwenye Umaliziaji ujenzi wa Zahanati! "Wananchi wa Kitongoji cha El'gong'we Wilayani Longido wanatembea zaidi ya Kilomita 35 kutafuta huduma za afya. Je, ni lini Serikali itaunga Mkono...
  11. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Simiyu): Sikilizeni na Kutatua Kero za Wananchi

    SHEMSA MOHAMMED, MWENYEKITI CCM SIMIYU (M): SIKILIZENI NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohamed amewataka viongozi wa chama hicho na viongozi wa serikali wa ngazi mbalimbali katika mkoa huo kusikiliza na kutatua kero zinazowakabili...
  12. Stephano Mgendanyi

    CCM Simiyu Yampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwaletea miradi ya maendeleo

    CCM SIMIYU YAMPONGEZA RAIS DKT SAMIA SULUHU KUWALETEA MIRADI YA MAENDELEO. LALAGO; MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Shemsa Mohamed amempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa kupeleka fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo...
  13. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Ashiriki Maombi na Dua ya Kuliombea Taifa

    BASHUNGWA ASHIRIKI MAOMBI NA DUA YA KULIOMBEA TAIFA Waziri wa wa Ujenzi Innocent Bashungwa, ameungana na Watanzania kushiriki Siku ya Maombi na Dua ya kuliombea Taifa katika Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Tarehe 22, Aprili 2024. Maombi hayo...
  14. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aongoza Harambee ya Ujenzi wa Zahanati Kanogo, Milioni 46 Zakusanywa

    BASHUNGWA AONGOZA HARAMBEE YA UJENZI WA ZAHANATI KANOGO, MILIONI 46 ZAKUSANYWA. Karagwe - Kagera. Waziri wa Ujenzi Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameungana na Wananchi wa Kata ya Nyakabanga Wilayani Karagwe katika harambee ya kuchangia ujenzi na ukamilishaji wa zahanati ya...
  15. Stephano Mgendanyi

    Mavunde CUP 2024

    MAVUNDE CUP 2024 Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ,Diwani wa Kata ya Ng’ongh’ona Mh. Loth H. Loth pamoja na Diwani wa Viti Maalum Mh. Janeth Kusaduka na viongozi wa CCM kata leo wameshiriki katika fainali za Mavunde Cup Ngh’ongh’ona 2024 ambapo Timu ya Itamba FC imeibuka...
  16. Stephano Mgendanyi

    Patrick Mwalunenge (Mwenyekiti CCM Mkoa wa Mbeya) Atinga Site na Vipimo Kutatua Mgogoro wa Fidia Ujenzi wa Barabara Njia Nne

    PATRICK MWALUNENGE (MWENYEKITI WA CCM MBEYA) ATINGA SITE NA VIPIMO, KUTATUA MGOGORO WA FIDIA UJENZI WA BARABARA NJIA NNE Mwenyekiti wa chama Cha mapinduzi CCM Mkoa wa Mbeya amefika eneo la takio na vipimo baada ya Wananchi wa kata za Nzovwe na Mabatini Mkoani himo kulalamika kitendo Cha...
  17. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Shonza Afunguka Miaka Mitatu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassa Katika Mkoa wa Songwe

    MBUNGE SHONZA AFUNGUKA MIAKA MITATU YA RAIS MHE. DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA MKOA WA SONGWE "Kwa bahati nzuri nimekuwa Mbunge kwa awamu ya pili Mkoa wa Songwe, tangu Mkoa wa Songwe uanzishwe mimi nilikuwa Mbunge, ninaujua vizuri Mkoa wa Songwe. Najua wapi tumetoka, wapi tumefika na wapi...
  18. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025

    Shemsa Mohammed: CCM Haitambeba Mtu Katika Uchaguzi Mkuu Ujao, 2025 MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsa Mohammed amesema chama hicho hakitambeba mtu wakati wa uchaguzi mkuu utakaofanyika mwakani na kuwa atabebwa kutokana na matokeo yake ya kukitumia chama hicho...
  19. Stephano Mgendanyi

    Jokate Mwegelo Aainisha Mapinduzi Makubwa Katika Sekta ya Elimu Zanzibar

    📌📌KOMREDI JOKATE MWEGELO (MNEC) AAINISHA MAPINDUZI MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU ZANZIBAR Asema Vijana wanayo kila Sababu ya Kumuunga Mkono Dkt. Mwinyi Mambo Mengi makubwa Dkt. Mwinyi ameyafanya kwa Kipindi Kifupi Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Konresi Jokate...
  20. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ngassa; Barabara ni Mishipa ya Damu ya Uchumi wa Taifa

    Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe Nicholaus George Ngassa ameshiriki Kikao cha Bodi ya Barabara Mkoa wa Tabora kilichofanyika Leo tarehe 20 Aprili, 2024 kwenye Ukumbi wa Isike Mwanakiyungi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora. Mhe Ngassa (MB) amechangia mambo mbalimbali ikiwemo; 1. Barabara ya Nanga -...
Back
Top Bottom