Search results

  1. Mwali

    Wakati mwaka waisha

    Wakati mwaka waisha Mwaka huo wayoyoma, tuwache uende zake, Wacha uende salama, ulijaa mambo yake, Tuombacho ni uzima, tupewe baraka zake, Wakati mwaka waisha, penzi lako haliishi. Penzi lako haliishi, kama mwaka uishavyo, Niseme halinichoshi, kama mwaka uchoshavyo, Wala halikinaishi, vyovyote...
  2. Mwali

    Wanaoisaliti CHADEMA ni viongozi

    JF imekua sasa jukwaa la ndondi ambapo viongozi wa chadema wanagombana kwa maneno, kwa kuchafuana, wakidhani ku-convince opinion ya mashabiki wao jukwaa la siasa ndio tayari wananchi na taifa wamewakubali. Viongozi wa Chadema wanatumia muda mwingi na resource za Chama kuchumia matumbo yao, then...
  3. Mwali

    Ukimuona Asprin mwambie...

    Jamani Asprin yuko wapi? Namtafuta sana, kuna kazi ya Taifa naona anaweza kusaidia Nadhani wote mnafatilia soap opera ya ukaguzi wa vyama na kamati ya PAC naona ni kama mambo yamekwama sababu maswali yanakua mengi: 1. Nani anatakiwa kukaguliwa? 2. Nani anakagua? 3. Nani hajakaguliwa 4. Kwanini...
  4. Mwali

    CHADEMA hawajakaguliwa! #FACT

    Baada ya kusoma majibu ya Chadema katika gazeti lao nimegundua ndugu zetu wapendwa wametumia mazowea katika kuwasilisha hesabu zao kwa msajili wa vyama. Kwanza niseme wazi kua nimeridhika kua angalau wanakeep hesabu (as Zitto said), na wanahakikisha hesabu zao zinafika kwa msajili on time BUT...
  5. Mwali

    Zitto aliomba mapema sana huu ukaguzi wa ruzuku

    Naona wengi humu (hasa watani wetu wa white blue red and black) wanashangaa kwanini leo tu ndio mwenyekiti wa PAC ameamua kukagua vyama vya siasa. Hili ni jambo la kawaida sana lenye kuimarisha uwajibikaji. Kama Naibu Katibu mkuu huko kwenu ana majukumu yake ila kama mwenye kiti wa PAC ana...
  6. Mwali

    PICHA: Zitto ziarani kanda ya Magharibi - apewa heshima ya utemi wa Ukonongo pale Inyonga

    Kutoka blog yake Inyonga, Mpanda Magharibi- Ziara Kanda ya Magharibi | Zitto na Demokrasia(hapa) Jana nimefanya mikutano 6 katika jimbo la Mpanda Magharibi, nimepewa heshima ya utemi wa Ukonongo pale Inyonga, tumezungumza na wananchi wakulima wa tumbaku na madhila yao. Wananchi wanadhulumiwa...
  7. Mwali

    Safe and sound: Rebelution

    Can't stop singing this song... I love Rebelution! "Safe And Sound" Is this the kind of sound that you want to hear? Is this the kind of vibe that you want to feel? Cause I'm the type of guy that you'll never fear You can do your thing then come near Maybe I'm caught up in the thing that you...
  8. Mwali

    K tano!

    Kujielewa, Kujipenda, Kujithamini, Kujiamini na Kujikubali. Ukiwa na hizo 5K ni moja ya hatua kubwa ya mafanikio katika kujenga a Strong Personality na utu nafsi wenye ‘Utashi’. Huna haja ya kutambuliwa iwe kwa kutajwa ama kusifiwa bila kujali kama ni sifa mbaya ama nzuri ili...
  9. Mwali

    Confession: I slept with a chick (Picha)

    Kinda cute, sio?
  10. Mwali

    I'll never love again

    In one of his greatest album, Grown up and Sexy*, Baby face sang about loneliness. From the first line to the last, he misses his ex and as most of people in such circumstances he hopes he is missed too. Yesterday I was laughing about it with Amicus Curiae. I hope he will enjoy the lyrics...
  11. Mwali

    Anataka kusema nini?

    In a thread kule MMU, kuna dada amesema she has slept with more than 120 men so far. Huyu member kaja na post hii: What was he trying to say? hivi kwanini hatuandiki tu kwa kiswahili? (au tumix basi maana kiswahili chenyewe sio wote tunakiweza). Ila na mwenye hiyo thread nilikonukuu hii hapa...
  12. Mwali

    I'm very honest

    My sister just sent me this, saying it reminds her of me. hahahahaha (Except the F word, I hope)
  13. Mwali

    Act like a Lady, Think like a Man

    Leo nilijibu thread ya my frenemy (Friend+enemy) kwamtoro nikatoa na nukuu ya hiki kitabu cha Steve Harvey. Sasa nimeona sio vibaya nifikishe kitabu chote kabisa ili wale ambao hawajakisoma but wanatamani kukisoma wakipate. Yaliomo ni haya haya tunayo leta MMU kila siku (almost) na bwana Harvey...
  14. Mwali

    Gimme a reason [to love again]

    Pink is back. for those who, like me discovered her with "there you go", each new album was a new punch of adrenaline. remember hits like "comin up" and "I'm still a rock star" featuring her ex husband, to name but a few. This time she plays it sentimental with Nate Ruess and the video clip is...
  15. Mwali

    Support to President Kikwete SWise statement

    OPEN LETTER OF SUPPORT TO PRESIDENT KIKWETE’S WISE STATEMENT ON RWANDA’S FDLRMay 30, 2013 by Rwema IT Webmaster Leave a Comment The Rwandan dream youth backs President Kikwete’s idea with fully support Tanzanian President Jakaya Kikwete, urged the Governments in the great lakes region to work...
  16. Mwali

    Job advertisement at the Pan-Africanist Parliament

    6 May – 5 July 2013 PAN AFRICAN PARLIAMENT VACANCIES ANNOUNCEMENT The Pan African Parliament (PAP), an organ of the African Union, was established to ensure full participation of the peoples of Africa in governance and economic integration of the continent. PAP is currently implementing a...
  17. Mwali

    SMS za mwizi

    Nimepokea ka sms kamenichekesha. Wizi mtupu! "When awake you're in my thoughts, when asleep you're in my dreams. the only place I never seem to find you is in my arms. Miss you" Kama na wewe una ka-sms kama haka naomba ukatupie hapa nicheke mie. lol
  18. Mwali

    When I was your man

    Kila siku naleta zilizopendwa tu, ila leo nimeamka nasikiliza huu wimbo... Ladies and Gentlemen, When I was your man by Bruno Mars (guess jibu lake ni "a brand new me" by Keys) Same bed, but it feels just a little bit bigger now Our song on the radio, but it don't sound the same When our...
  19. Mwali

    happy birthday Kambaku

    Jamani huyu kaka ni ndugu yangu huku uraiani. I mean nje ya JF na socia network tunaungugu wa kweli Yaani baba yake na mama yangu ni kaka na dada Kwa kiswahili tunaita binam ila mimi namwita kaka Kila nikimwita binam anachangamka suspiciously...:twitch: Kwa leo nipo dayshift, siwezi kukaa in...
  20. Mwali

    Tanzania home to one of the top 10 universities in Africa

    Jamani ni pride ilioje? We are in the top 10, and we appear 2 times in the top 100! watani zetu wanaonekana mara kibao, but kuna tofauti kati ya qtty na qlty baby! lol cc Smatta et al 1 University of Cape Town South Africa 2 University of South Africa South Africa 3 University of...
Back
Top Bottom