Search results

  1. M

    CV ya Director General TANAPA Mr Allan Kijazi

    wana jf nani ana cv ya boss huyu alianza lini kusoma mpaka alipo sasa naomba msaada
  2. M

    Wadau nani ana CV ya Director General wa TANAPA Mr.Allan Kijazi

    wadua mwageni cv huyu mheshimiwa nataka nijue Ahsanteni wana jamii
  3. M

    Nsff tendeni haki

    Nashukuru tuko serious unasema sina akili ungalijua whom am I kama na wewe u miongoni mnaopitia mgongo wa mawaziri kama maige jiandae nasubiria majina hayo yakipita tu oral interview nitayaweka wazi yote na nitaita media ili tabia hii ikome maana hata aliyenipatia majina na mwajiriwa wa NSSF...
  4. M

    Nsff tendeni haki

    mimi ni mwingoni wa watu waliofanya written interview jana ila habari za uhakika toka ndani ya NSSF mawaziri wa nchi kibao wamepeleka majina ya watu wao wasidhani hii tz ya mwaka huo sasa ni zama za uwazi na ukweli. Ninakusudia kuyaweka hadharani majina aliyoyapeleka waziri wa maliasili Maige...
  5. M

    Naomba msaada wa kuelekezwa ofisi za Save the children TZ

    Ahsanteni sana wana JF kwa msaada wenu
  6. M

    Naomba msaada wa kuelekezwa ofisi za Save the children TZ

    Wana JF nawasalimu tena poleni na harakati za kuijanga nchi yetu ijapokuwa mafisadi wanaibomoa. Baada ya hayo naomba msaada wa location ya ofisi za Save the children Tanzania nisaidieni
  7. M

    PPF wachafuka, agizo la Zitto kwa CAG kukagua 'Group Endowment'; sita wasimamishwa kazi

    Jamani mimi nawaambia sina imani na serikali hata chembe Chief Accountant wa PPF aliyepo kwa sasa ana bonge la nyumba karibia na bahari huko kijichi ndo anamalizia finishing gharama yake yakadiriwa kuwa milioni 900 jamaa anaitwa Luchunga Gambamala ukimwona utashangaa
  8. M

    Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

    hii habari njema unajua machafuko hayaanzi from no where tumeshuhudia nchi nyingi na ninavoona nchi hii inaelekea kutamu watu watachangamka hata kama tutapoteza maisha yetu ila watakaobaki maendeleo na adabu zitakuwepo
  9. M

    Jamani UDOM mambo si shwari wanataka kuchoma ofisi ya mkuu wa chuo

    Mpendwa issue iko hot maandamo yanatarajiwa kesho asubuhi hawajapa mikopo yao pia wanadai uongozi wa juu wa chuo unatumia nguvu zaidi za kisaisa pia jingine marais wote wa vyuo vikuu watakutana ijumaa kujadili namna ya kuandaa mgomo wa vyuo vyote nchini kupinga utaratibu uliowekwa na serikali...
  10. M

    Jamani UDOM mambo si shwari wanataka kuchoma ofisi ya mkuu wa chuo

    jamani habari nilizozipata toka kwa wanafunzi udom kuna hali tete
  11. M

    News updates: UDSM kwawaka moto muda huu

    ndo tunataka mambo haya yatokee pia kuna bomu jingine kama halitalipuka december sijui kuna idadi kubwa ya vijana hawana ajira sasa mtapiga mabomu fungueni magala yote
  12. M

    CHADEMA wanataka kuvunja muungano kwa kukosa ushawishi Zanzibar

    kama mtoa mada haelewi mambo yanavoenda basi ajitahidi kusoma wazenji wanatamani hata leo muungano ufe pia hakuna upinzani huko ccm imeuua cuf ovyo sana lipumba kimya subirini 2015 kama chadema hakitashida basi heri mati pati ifutwe
  13. M

    Nape ambwaga Lema mahakani Arusha

    We jamaa umesoma wapi au umesikia wapi watu tuko arusha hapa hakuna kesi kama hiyo hapa mahakamani unajua inaelekea we ccm jihadhari sana watu wanahasira utapotea bure
  14. M

    Bungeni: Mwigulu full mipasho, Wassira na wengine waendeleza (Nov 16)

    Jamani mimi siko chama chochote cha siasa ila hili ccm wanapotosha watu wananchi eleweni hawa wabunge wa ccm wanatumia muda mwingi kujipendekeza kwetu mimi nakumbuka chadema walisema wakiingia ikulu ndani ya siku mia wataanza mchakato wa katiba mpya si kuleta katiba mpya inshangaza sana wasira...
  15. M

    Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?

    Wana JF naomba kuelezwa nimekuwa najiuliza maswali mengi bila kufikia muafaka ukifika au kuangalia ukumbi wa bunge chini kuna aina fulani ya kapeti lenye rangi za bendera ya taifa Tanzania na utaona wabunge wanakanyaga juu ya kapeti hilo naona maoni yenu wana JF
  16. M

    Simba mlichemsha

    chagueni rais mwingine kwanza jamaa ni haini aliua soka letu kipindi cha FAT
  17. M

    Kuitwa kwenye usaili pspf

    Wana JF nijulisheni angalau idadi tu ya wangapi walioitwa nichopendea JF ni kwamba kuna watu kweli wanatoa mambo ya maana but others wanatoa vitu vya uongo kabisa let us be serious kwani kujulisha habari mhimu ni vyema ukizingatia hali ngumu kwa sasa kuhusu ajira
  18. M

    Naelekea kwenye usaili NIC

    kaka mbona tumetoka huko muda kitambo watu zaidi ya elfu sita
  19. M

    NIC leo balaa

    mpendwa hakika nisemayo ni ya kweli sipo hapa JF kupoteza Muda wangu nilikuwemo ndani I hope soon nitaziweka picha zote nilizopga humo ndani kama uliwahi fika diamond jubilee ukumbi B na C ulifurika mpaka mlangoni na wakapelekwa ukumbi mwingine
  20. M

    NIC leo balaa

    Ndo tumetoka jamani nashindwa kupost picha za watu na matujio mbalimbali ila cha kushangaza msimamizi mmoja alitaka kujua mie ni nani napiga picha nikamjibu mie sina cheo wala kazi nachukua picha kwa ajili ya kumbukumbu zangu ila inatisha wapendwa sijawahi ona nina shangaa wanaoshabikia serikali...
Back
Top Bottom