Search results

  1. Masseto

    Hali aliyokuwa nayo Bob Risky baada ya kuhukumiwa

    Uyo sio Bob, Bob amekuza adi manyonyo, na sura yake sio iyo
  2. Masseto

    Hamis Kigwangalla: Ukiposti kitu chochote Mtandaoni weka na Hashtag ya 'Nasimama na Mama'

    Kwa nchi zetu za kiafrica rais akifanya majukumu yake mnamtukuza yan kama ametupa msaada na wakat ndio kaz yake aliyoiomba, kumtukuza uyo mtu kwanin. Au wananchi hawakustahili
  3. Masseto

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Dunia nzima tupo ivyo, kikubwa mawasiloano
  4. Masseto

    Kuuliza si ujinga, Mtu akifariki watu wanasema Apumzike kwa Amani huwa wanamwambia marehemu au wanamaanisha nini?

    Ni utaratibu Fulani tulioniwekea usiokuwa na maana zaid ya kumlaghai aliyehai
  5. Masseto

    Kanisa la Kilokole Lavunja ndoa baada ya Bibi harusi kukutwa hana Uke!

    Uyo mwanamke naye atakuwa anamatatizo ya akili, anaingia kwenye ndoa ilhali anajua kuna jambo la muhimu hatolitimiza ona sasa alivyoyolewa aibu.
  6. Masseto

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Mbongo ubisha kila kitu wakati mzungu mwenyewe anafanya matambiko, Nakumbuka mwaka 2016 nipo Kilimanjaro kibarua nilishuhudia wazungu wanafanya mila zao sembuse sisi kima.
  7. Masseto

    Miongoni mwa vitu Mwenyezi Mungu amenibariki, ni kuwa Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi

    Ivi ndio viburudisho vya wakubwa, wanahongwa forester wanaishi
  8. Masseto

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Hii kitu iliwahi kumtokea ata mzee mmoja uko morogoro 2022 aliitwa jumajuma, alikuwa anazaid ya miaka 100 sometimes alikuwa anakata moto adi anapoa mwili barid mara anaamka tena ad alipofanyiwa mila ndio week tu amakata moto mazima, walimsubir masaa zaid ya 8 labda ataamka kama kawaida yake ndio...
  9. Masseto

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Dunia ni duara na siku ya kwanza kuligundua ilo ni siku niliyopanda boat baharini ndio nikaelewa vzr kwa macho yangu.
  10. Masseto

    Shoga maarufu Afrika, Bob Risky afungwa jela kurusha na kukanyaga pesa ya Kinaijeria (Naira)

    Mbona picha ya pua ya kulia na kushoto zimetofautiana. Au nayo ni make-up
  11. Masseto

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    ila kwel, kuna mwaka niliendaga morogoro kuna sehem kuna nyumba ya mganga wakawa wanapiga ngoma na mvua ikanyesha kwenye boma la uyo mganga tu tena mvua kubwa kabisa nahisi sio uchawi ilikuwa ni mambo ya kijiografia wingu kutua juu ya lile boma pekeyake, kuna wale walikuwa wakiamka asubuh...
  12. Masseto

    Ndugu zangu Waislamu mmeshindwa vipi kuwa na hospitali kubwa Kama KCMC na Bugando?

    kuna mmoja Zanzibar alimwaga ndizi za mmama mmoja alikuwa akijitafutia rizki barabaran kipindi cha Ramadhan yey kwa masifa yake akapush siniha chini na kuzikanyaga kanyaga kuharibu. mmama wa watu akabaki kulia. Aisee nilitamani ata yule kijana nimtoe uhai ila ndio vile ilikuwa ugenini. Nilitoa...
  13. Masseto

    Serikali imeanza kuingiza udini katika sera zake? Suala la masomo ya kiislamu na Divinity yanatoka wapi?

    badala tuweke mkazo kwenye vitu vyenye tija maishani kama elimu kuhusu kilimo, technology, rasilimali nyingi lakin bado tumebaki mazuzu, Dini itatusaidia nin wakat wa dhiki. tazama Palestine Dini inawasaidia nin kwenye hii vita . wangewekeza kwenye technology wangejinasua japo kwa sehemu hawa...
  14. Masseto

    Miezi 6 bila network,kuanzia Siku moja baada ya kuoa!

    Ndoa zinasiri nyingi sana, Ninamarafiki zangu wawili wote ni walokore sana na wapo kwenye ndoa nahis ni zaid ya miaka 7 kila mmoja na hawana watoto ata wa nje ya ndoa. dah sijui mambo Ndio aya aya
  15. Masseto

    Ikitokea mwenzawako ametangulia (hatuombei) utaoa/kuolewa tena?

    ikiwa kama mke sio ndugu yangu akifa nisione nin kitakuwa kinanizuia, Kivyovyote vile nimeruhusiwa kwaiyo haina mbaya ata kidogo apo
  16. Masseto

    Suala la Wachina kutujazia bidhaa bandia kwenye masoko yetu, je, wanatuona hatuna akili timamu?

    Mchina anapokea oda kutoka kwako, ukitaka mdosho unapata, OG unapata, na asili ya afrika ni kupenda rahisi yaan kitonga. fullstop. ukienda ulaya made in china zipo nyingi tu ila bei zake ni zamoto na OG mno. mchina anaunda ndege ashindwe kukuundia simu oOG
Back
Top Bottom