Search results

  1. S

    Jhpiego kiini macho cha ajira

    NGO nyingi wanafanya hivo
  2. S

    Kinana: Unayakumbuka haya maneno wakati unaga'atuka

    Hata mimi ninakumbuka sana maneno yake hayo sasa ameona nini na ninatumaini hata wanaccm wamelala ila kwa viongozi wa juu wanamlinda kwa mambo ya meno ya tembo sikutegemea kama jamaa atarudi tena kwenye uongozi ccm je wanaccm mko sawa sawa kweli sidhani kama mnakumbuka maneno ya viongozi wenu au...
  3. S

    Nape anaposema chama kimedhamiria

    Mimi nilipatwa na wasiwasi sana baada ya kusikia na kusoma habari ya nape akiwa arusha jamani watanzania mtadanywa mpaka lini na wanatuona kama watu tusiojua mambo yanavoenda hali ni mbaya sana ya maisha ya watu naamini siku mungu atakapoamua kuadhibu viongozi wa ccm mambo yote yatawekwa...
  4. S

    Zitto ndani ya kumekucha ITV

    Tunakuru Mkuu kwa taarifa na ameongea mambo mazito sana :israel:
  5. S

    National Insurance Corporation of Tanzania Ltd Interview

    Jamani waJF naomba msaada wa majina ya applicants ktk posts za Assistant Accountant maana advert ya leo ktk mwananchi watu imewachanganya ukiingia kwenye www.nictanzania.com hakuna issue yoyote inayohusu shortlisting mwenye majina may u plz assist me maana interview next week j3
  6. S

    Vijana wa CDM Dar nao ku"OCCUPY" Jiji kuunga mkono wa Arusha?

    Jamani haya mambo hata nchi za wenzetu yalianza polepole ccm wamekuwa kama ndo wenye haki miliki na tz wasubirie moto utakaowaka maana hata police huwa nawashangaa sana maisha yao duni sana ila ndo wanakuwa wakwanza kupga watu
Back
Top Bottom