Search results

  1. blackice2100

    Chama cha walimu, ukweli ni upi?

    Nimekuwa muumini sana wa kusoma magazeti kila siku kujua yanayojili ijapokuwa nilichobaini waandishi wengi ni wanafki wakubwa walioamua kuiacha kalamu yao na kufuata upepo wa kisiasa! Habari zao ni za kutabirika na za mezani zaidi kuliko za kuzitafuta na kwa sasa ni za kumpamba mtawala aliyeko...
  2. blackice2100

    Rais Samia awatizame NEMC kwa jicho makini. Ni uchochoro wa rushwa

    Nimeanza kwa kuwaita mara tatu na ngoja nirudie tena! Moja ya sekta iliyojaa uozo na uzuzu ni hawa jamaa!! Sijajua na wao kama ni miongoni mwa watu wanaojiendesha kwa hasara na ni sehemu ya wale walioko kwenye orodha ya kuenguliwa!! NEMC kiukweli Rais awatazame hawa jamaa kwa jicho lingine...
  3. blackice2100

    Nimeshangaa kumuona Rostam anapewa mkataba wa uwekezaji tena

    Moja kati ya habari kubwa niliyoifurahia ni kuona Zanzibar wakienda kupata umeme wao wa kujitegemea bila kutegemea Tanzania bara. Nilinywea ghafla baada ya kuendelea kuisoma hiyo habari baada ya kuona jina la Rostam Aziz kama sehemu ya hiyo kampuni ya wawekezaji. Nawaza awamu hii wanaenda...
Back
Top Bottom