Search results

  1. NGABAGILA

    Hili ndo jukumu kubwa la Mwanaume Kiasili. Mengine ni kuzidishiwa tu na kupewa Mzigo. Tujitambue

    🤣🤣😂 Mbona unamsema mama yako mzazi vibaya kwa kupewa mimba na baba yako muombe radhi mama yako wewe kwa kuja kumuumbua huku JF 🤭🤭 nikuambie kitu ukiandika haya mambo uwe unamfikiria na kumuweka mbele mama yako mzazi, shangazi, mkeo, bibi, dada na hata Binti yako wa kumzaa hao ni wanawake
  2. NGABAGILA

    CHADEMA wasema hawatashiriki Chaguzi ndogo zote na Uchaguzi Mkuu 2025

    Halaaa kumbe 19-1 =1 au 19-1=18🤣🤣🤣
  3. NGABAGILA

    Twaha Mwaipaya Shahidi Muhimu wa Chadema kwenye Kesi ya Wabunge 19 wasio na chama , atarajiwa kuwastaafisha Maofisa wa NEC na Bunge

    Wakati wa kushangaa ukifika naomba mniamshe na Mimi 🤣🤣🤣 Mwaipaya tunakusubiri umpitie na Dogo DC ili akushangae
  4. NGABAGILA

    Simba kufika makundi haimaanishi ubora kuliko Yanga

    Si mpenzi wa timu yoyote lakini ni jiuliza Bora kipi kuwa na timu Bora kama yanga lakini haishindi au kuwa na hiyo mbovu kama Simba halafu inashinda
  5. NGABAGILA

    Masanja akamatwe na Kanisa lake lifungiwe kwa uchunguzi

    Ungeanza na taarifa ya hosp kwanza je alijiua au kauwawa kama hosp wanaonesha amejiua hai wengine wa Nini
  6. NGABAGILA

    Rwanda wamedhibiti Uhalifu 95% kwa mtutu

    Kama ulikuwepo umemjibu swafi kabisa mtu kabla hujaja humu fanya ka utafiti kidogo angalia ratio ya askari kwa raia jiografia ya nchi n.k kha Rwanda na Tz wapi na wapi
  7. NGABAGILA

    Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

    Si umemuona mama yako mzazi huyo ndio mwanke wa kwanza kufanya uwajue wanawake so if mbaya au nzuri tunajua umeyapata kwa mama yako umeona eeh
  8. NGABAGILA

    Amekusanya kila kitu karudi kwao, sasahivi anataka nimuhudumie

    Hatuwezi kukubishia kwakuwa unauzoefu aidha uliona mama yako akimfanyia hivyo baba yako au shangazi akimfanyia mjomba dada yako akimfanyia hivyo shemeji au Binti yako kwa mumewe. unapo comment vitu humu kumbuka hao wnawake ni sehemu ya maisha yako kabla hujaangalia wanawake wa jf au kwa jirani
  9. NGABAGILA

    Naomba kupata taarifa kuhusu IFM

    Kwa uhakika wa ajira ende diploma akiwa kazini asome alichokipania
  10. NGABAGILA

    Kwa haya yanayoibuliwa IEBC nawashauri akina Halima Mdee waweke tu mambo yalivyokuwa hadharani hakuna SIRI chini ya Jua

    Jamani yamekuwa hayo Tena si tumesema Tume ya Tanzania ijifunze kwenye Tume ya Kenya wako vizuri. Role model wanavuana nguo Tena hahaaaa mlikuwa mnasifu mwali mliyemkuta kwenye sherehe kapaka make up kuamka asubuhi toba
  11. NGABAGILA

    Kule Kenya mambo ni moto

    Marekebisho kidogo Chebukati ni Nwenyekiti wa IECB sio Mkurugenzi
  12. NGABAGILA

    Cherera: Chebukati anaendesha Tume ya Uchaguzi kama Ofisi yake binafsi

    Tume huru IEBC hakuna uwazi Tena yetu macho na masikio tumekaa kiti cha mbele kusikiliza ya Tume Huru
  13. NGABAGILA

    Kama tume huru ya uchaguzi ndio hii ya Kenya basi haitufai ,hii yetu ni Bora mara 1000...,

    Mpaka Leo unasubiri nini kuhamia kwa wenye akili wenzio Kenya mradi uage tu wakati unaondoka
  14. NGABAGILA

    Utafiti: Wazee wa kiislamu wanaishi maisha marefu zaidi

    Nilikuwa nasubiri kusikia waislam wakifika ofisini hawawashi AC hawaletewi chai supu chapati ila wanakula mhogo na mbogamboga nilikuwa nangoja kusikia waislam hawaendeshi magari kwenda ofisini wakati wenzao wanatembea kwa miguu kwenda ofisini hahaa mwambie Dr aje na utafiti mwingine huu bado sana
  15. NGABAGILA

    Mwanaume siku ya kwanza ya ndoa fanya haya utanishukuru baadae

    Hapo ndio pagumu wamfungie line za simu vijaratadi vyenye namba za simu mizizi nk mhhh atavitumiaje kama hajui vimefungwa au kawekewa
  16. NGABAGILA

    Mwanaume siku ya kwanza ya ndoa fanya haya utanishukuru baadae

    Dunia hii kweli ulioa Kijiji cha wapi maana si mjini huyo na analetwa ndugu Karne hii mhhh sijui tuendelee kujifunza
  17. NGABAGILA

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Wewe tu na shida zako zisizoisha wenzio aka Samia miaka 100.Songa mbele mama achana na wanga wa mchana wamekosa hoja
  18. NGABAGILA

    Simbachawene kashindwa kulea na kumuadabisha mwanawe anaomba dola imsaidie?

    Kwanza anaye hata huyo mtoto msamehe bure hawajahi kulea
Back
Top Bottom