Search results

  1. B

    Millingo ampe uaskofu Padri Nkwera

    Ndugu zangu, milingo hawezi kumpa uaskofu padre Nkwela, ukishauri hilo ni sawa tu na kusema kuwa kakobe ampe uaskofu Nkwela kitu ambacho hakiwezekani kabisa. Kumbuka kuwa Nkwela ametengwa na Kanisa lkn yeye bado asasisitiza mafundisho ya kanisa, milingo ametengwa na kanisa na yeye kaachana...
  2. B

    Seriously! I want to join freemasonry..

    Katika mambo ya kiimani ni dhambi kubwa kumhukumu binadamu mwenzako bila kuwa na uhakika na kile unachokisema, watu wanawahukumu wakatoliki kuwa waabudu mashetani bila kujua kiundani imani ya kikatoliki, hao ni sawa na wale waliomhukumu Yesu kuwa anatoa pepo kwa nguvu za belzebuli, shetani...
Back
Top Bottom