Search results

  1. JituMirabaMinne

    Epuka jambo hili kama gari yako imeibiwa masega(Catalytic converter)

    Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR. EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa ajili ya kupunguza joto(combustion temperature) hivyo kupunguza pia kutengenezwa kwa Nitrogen Oxide...
  2. JituMirabaMinne

    Nahitaji Audi A4 B7

    .
  3. JituMirabaMinne

    INAUZWA Mashine ya Diagnosis ya gari zote(Ndogo, Kubwa, mitambo, gari za umeme)

    Mashine ya Diagnosis Launch Golo Pro Inapima Gari ndogo, Malori, electric cars, Excavators na mitambo mingine, Special functions zaidi ya 30 Active test Immobilizer and Key Programming Bidirectional Ni adpapter tu, unaweza kutumia na simu yako au ukanunua tablet. Software yake ni 500,000...
  4. JituMirabaMinne

    INAUZWA Mashine ya kupima battery ya gari (Car Battery Analyzer)

    Hii mashine ni nzuri sana na sifa ya kipekee kuhusu hii mashine ni kwamba inakuwa reference table upande wa nyuma hivyo kumuwezesha mtu yoyote hata ambaye ni layman kuweza kupima battery yoyote na kujua kama ni nzima. Ina uwezo wa kuanalyse na yenyewe ikakuambia state of health ya hiyo...
  5. JituMirabaMinne

    Kipi unahitaji kufahamu kuhusu GPS trackers? Karibu kwa maswali

    Kipi unahitaji kufahamu haswa?, Uliza swali lako na nitalijibu hapa kwa kina.
  6. JituMirabaMinne

    Kwanini wanashauri usivute gari lenye Automatic Gearbox ukipata break down, badala yake upakie kwenye Flatbed Truck

    Huu uzi nilitamani ningepata Automatic Gearbox mbovu nikaufanyia video. Kwa maana ninaamini kwa njia hiyo wote mngenielewa vizuri. Hata hivyo nitajitahidi kuelezea kwa kadri nitakavyoweza. Hebu iangalie hii picha vizuri. Hii ni cross section ya Gearbox ya automatic. 99% gearbox za automatic...
  7. JituMirabaMinne

    Kosa kubwa watu wengi wanafanya wakiharibikiwa gari.

    Kukosa mtu sahihi wa kurekebisha tatizo la gari lako. Moja kati ya makosa ambayo nimeyaona kwa kipindi kirefu ni hili. Mtu anakuwa na mawazo kichwani kwamba Fundi mmoja anaweza kufix matatizo yote kwenye gari yake. (Sisemi kwamba hili haliwezekani, ila linawezekana kwa wale wenye magereji...
  8. JituMirabaMinne

    Specialist wa Range Rover anawezaje kuzungmza kauli kama hii?

    Mwaka 2021 niliwahi kuleta story ya Range Rover fulani ya mzungu mmoja kule Zanzibar. Nadhani baadhi ya member watakuwa wanakumbuka. Ila short story ya hiyo gari mpaka inawaka, Unaweza kuangalia hii video. 👇🏾 Sasa ilipokuja kuwaka kukawa na challenge moja. Oxygen sensor zote 4 zilikuwa...
  9. JituMirabaMinne

    Baadhi ya matatizo yanasumbua sana kwenye magari, Lakini ni madogo.

    Nimelazimika kuleta hii thread baada yakukutana na matatizo mawili yanayofanana ndani ya siku 5 katika magari mawili tofauti. Tar 21 mwezi huu kuna jamaa alinicheck, nimeshamfanyia kazi kabla, ana toyota IST ina 1490Cc. Alinicheck akaniambia gari yake akisimama kwenye foleni inamisi halafu...
  10. JituMirabaMinne

    Engine service ya gari yako kwa gharama nafuu

    Tunaifanyia gari yako Engine Service ya kisasa na kwa gharama nafuu sana. Service hiyo ya engine inajumuisha mambo yafuatayo. 1. Tunakuwekea Oils na filters ambazo ni Genuine. Tunatambua Oil zisizo na viwango zinachangia sana huharibu engine za magari. 2. Kupima na Kusafisha Nozzle na Spark...
  11. JituMirabaMinne

    Unahitaji Spare part gani tukuagizie kwa bei nafuu?

    Ukiachana na kukupa huduma za Engine Services, Diagnostics na Repairs za matatizo mbalimbali ya magari hasa yanayowasha warning lights. Tunayo pia huduma ya kukuagizia spare parts kwa bei ambayo ni nafuu sana. Ni nafuu sana hasa ukilinganisha na bei ya spareparts ambayo utaambiwa ukiingia...
  12. JituMirabaMinne

    TAHADHARI: Oil nyingi za engine za magari mtaani ni majanga

    Hiki kisa kinahusu gari moja aina ya Volkswagen Polo GTI mk5 toleo la mwaka 2012. Gari ina engine ya EA211 1.4TSI twin charge. Hii kazi niliunganishiwa na mtu wa humuhumu ndani japo huyo mtu alidai hanifahamu personally na hatujawahi kufanya kazi ila ameshakutana na post zangu nyingi humu JF...
  13. JituMirabaMinne

    Ukaguzi wakati wa kununua gari.

    Tunatoa huduma ya kukagua gari kama mtu anataka kununua mathalani kwa magari used. Hii ni kwa gari ndogo tu. Gharama ya kukagua huwa ni kuanzia Tsh. 150,000/=. mpaka 250,000/= kulingana na aina ya gari. Pia kama tutakagua gari na ikawa na shida na hujaichukua, unaweza kutuletea gari nyingine...
  14. JituMirabaMinne

    Free Advanced engine service gari 5 tu. Wati wa

    Mod naomba futa hii thread maana nmeipost bahati mbaya kabla kuna vitu sijakamilisha kuandika.
  15. JituMirabaMinne

    Kagueni magari yenu yakitoka kufanyiwa marekebisho.

    Gari inagonga fundi anasema ni shock up. Anapewa hela ya kununua shock up zingine. Kinyume chake anaweka hizo rubber kwenye Coil. Kifuatacho badala ya Impact kubwa kuishia kwenye Coil na shock absorbers. Impact kubwa inaishia kwenye bodi.
  16. JituMirabaMinne

    Experience yangu na cat converter (masega) ya kichina

    Kwanza kabla sijaanza kueleza kisa changu naomba niongee kitu kimoja. Huwa nashangaa sana unakuta mtu ana IST old model, passo, harrier old, Noah Sr40/sr50, Noah voxy za mwanzoni, Harrier chogo matoleo ya mwanzo, raum, spacio, n.k. anapagawa gari yake ikitolewa masega. Tena kibaya zaidi kama...
  17. JituMirabaMinne

    Jinsi wenye magari wanavyopigwa na mafundi

    Labda kwa kuanza nieleze kisa kilichomkuta jamaa yangu. Jamaa ana Subaru Forester 2006 2.0L Usiku wa kuamkia 9 january 2023 zilinyesha sana mvua na kuna maeneo mjini yalijaa maji, sasa bahati mbaya wakati anaenda mishemishe kuna mahali alifika maji yakawa mengi. Katika kupita maji yakawa...
  18. JituMirabaMinne

    Gari nyingi za Toyota za sasa ikishachemsha, fikiria kununua mswaki au engine complete nyingine

    Hizi engine za kisasa za toyota ambazo zimekuja na Aluminium block ni nzuri ikiwa haijawahi pata shida ya kuchemsha. Ila kama ikitokea ikachemsha halafu ukarekebisha bado matatizo ya kuchemsha yakaendelea, nakushauri achana kabisa na hiyo engine sababu vinginevyo hakuna rangi utaacha kuona...
  19. JituMirabaMinne

    Jamani mjitahidi sana kutunza magari yenu

    Kiukweli leo nimesikitika sana baada ya kukutana na gari iliyoingia nchini mwaka jana(2021), Ni zile namba D za mwisho mwisho lakini tayari ina majanga makubwa mno. Gari yenyewe ni Porsche Cayenne na ina Kilometre hazijafika hata laki, lakini tayari ilishaua control box (DME control unit) na...
  20. JituMirabaMinne

    Kwanini GPS trackers zinaondolewa baada ya vyombo vya moto kuibiwa?

    Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote. Hii thread sitazungumzia kabisa detectors na jammers km watu wengi wanavyodhani kuwa wezi wanakuwa na tools hizo ambazo zinawasaidia...
Back
Top Bottom