Search results

  1. wamdawi

    Ninatafakari hatima ya CCM kama Lowassa angekuwa ni mgombea Urais wa CCM

    mapovu hayatazuia chochote presidaa ni yule yule....anayeogopwa zaidi!! :lalala:
  2. wamdawi

    Msuya: Nashangaa hivi Sumaye anafikiri!

    ni kweli sasa anashangaa wakati hata mgombea wao anashangaa...kwani kushangaa ni sifa??
  3. wamdawi

    Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    :A S 41: huu uzi objective yake ni nini.....completion please!!!!!!
  4. wamdawi

    Mgana Msindai ahukumiwa kwa kosa la uzembe barabarani lililosababisha kifo

    safiiii ni nzuri sana hii "vyombo vya sheria vichukue mkondo wake" sasa mbn mnalalamika wadau?Chagueni tena system iliyopo watabadilisha hizo sheria kwa hati ya dharura mwaka 2020 June........."ZIDUMU FIKRA ZA MWENYEKITI WA ..."
  5. wamdawi

    Mgomo wa Waalim: Nani sasa atapelekwa Mabwepande?

    kwani wagomapo lazima waseme chezea Msitu wa Pande wewe chezea TZ!!
  6. wamdawi

    Idara ya Usalama wa Taifa yakanusha tuhuma

    Kwani kukanusha tuu ndio kunaweka facts hadharani?? Haya kama ni hivi na sie watanzania tunakanusha basi taarifa ya Usalama wa Taifa kutohusika, kwa hio what is the final stand?? Mie nina suggestion moja kuwa kikao kijacho cha bunge kisiwe na swala jingine la kujadili zichambuliwe report zote...
  7. wamdawi

    Sasa Rais afanye nini - Pinda anamrushia mpira naye hataki kucheza?

    waacheni waliochaguliwa na wananchi wamalizie muda wa miaka 5 waliopewa na wananchi wa majimbo wao (mawaziri), na rais chaguo la Mungu aliyechaguliwa na waTanzania (kumbuka repoti za baada ya uchaguzi mpaka za viongozi wa dini) Tuombe uchaguzi ujao waTanzania tujue kuchagua makapi then...
  8. wamdawi

    CCM Ina-Capitalize msiba wa Kanumba for Political gain?

    Msiba ungefanyikia Arusha ili na wana masai washuhudie mambo mazuri ya wana CCem hawajayaona long time!!
  9. wamdawi

    Kifo cha Steven Kanumba na hatma ya Elizabeth Michael (Lulu)

    upuuzi daily news ya leo haina ujinga wa kifidhuli jama unaosemwa hapo juu, labda umechanganya na magazeti uliozoea ya udaku
  10. wamdawi

    Elimu ya Godbless Lema utata mtupu

    acheni kuchangia mambo ambayo hayana tija kwa sasa, wana JF tuzungumzie kuhusu tutoke vipi na siasa za bongo nchi ikombolewe sio habari za kujadili shule namiaka ya watu ambao wameshafanya mambo yanayoonekana kwa jamii, Issue ya Maji marefu aka Prof kuwa darasa la saba kwani ni mbunge wa...
  11. wamdawi

    Dr Mwakyembe hapaswi kuhurumiwa, amevuna alichokipanda

    sasa we uliyeweka hii thread unatofauti gani na aliyuosema Masaburi kuwa utakuwa ndio unachotumia kufikiri....unakumbuka kebehi na kurudia neno hilo mara zaidi ya 4 halafu husemi kebehi hizo sana sana umemtaja Ulimwengu, kwani ulimwengu ni nani kwenye siasa ya Tanzania?? Unajaribu kuwa"derail"...
  12. wamdawi

    mh hi Wadau

    WOnderful posts I have been enjoying alot your comments!!Keep it up.
Back
Top Bottom