Search results

  1. KIKOJR_TZ

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Kwasababu kumjua Mungu hakuhitaji akili za kibinadamu, ko nitakapokuwa nathibitisha kwamba Mungu aliwahi tembea dunia kama binadamu utakataa kwakuwa hakutakuwa na ushahidi wa kuonekana kwa macho. Lakini pia nitatumia biblia kama kitabu cha rejea nitakapokuwa nakuthibitishia hilo jambo. Je...
  2. KIKOJR_TZ

    Dini ni kwa ajili ya "Low minded people", Genius can't be trapped!

    Kabla ya kukuthibitishia, je, unaamini kwamba Mungu yupo?
  3. KIKOJR_TZ

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Sikuona mkuu samahani, ngoja nitafute hiyo Quote niliyo-upload mchoro nikujibu, sijakimbia swali mkuu, sikuliona!
  4. KIKOJR_TZ

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Jua linatembea kila siku kutoka nukta moja hadi nyingine na dunia imetulia hapa katikati tunaiona kabisa iko tulivu, unataka uthibitisho gani mwingine kuwa Jua linatembea kuizunguka dunia yetu nzuri tulivu?
  5. KIKOJR_TZ

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Vitu vingine havihitaji hata nguvu kuvielewa ndugu zangu, Jua linatembea na tunaliona linavyotembea kwa macho yetu ya nyama, linatoka huko mnakokuita mashariki linazamia huko mnakokuita magharibi na dunia iko imetulia, jua linaizunguka dunia yetu nzuri kabisa tulivu!
  6. KIKOJR_TZ

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Wakati mwingine mtu anaweza akawa anashikilia msimamo asiojua hata uhakika wake kiasi kwamba unabaki kumuangalia tu na kumuombea kwa Mungu amuamshe kutoka usingizini.
  7. KIKOJR_TZ

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Si ndo hapo sasa, ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
  8. KIKOJR_TZ

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Gravity ni jina lililopewa kwa ile nguvu (kani) inayovuta vitu kuelekea kwenye kitovu cha dunia. Newton anatuambia kwamba hapa ulimwenguni (All over the universe) kila kitu kinavuta kila kitu kingine kwa Force ambayo inabadilika nguvu yake kwa uwiano kati ya zao la uzito wa hivyo vitu viwili...
  9. KIKOJR_TZ

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Gravity imevumbuliwa na Newton, uliza Newton alisema kitu gani kuhusu gravity, Einstein alovamia vumbuzi za watu tu japo naye ana zake.
  10. KIKOJR_TZ

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Kweli bangi sio chai ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  11. KIKOJR_TZ

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    4. Force of gravity ndiyo inasababisha mkengeuko kwenye hivyo vitu vinavyo move angani. 5. Kasi ya jua tu kuzunguka dunia ndiyo inasababisha urefu wa usiku na mchana kubadilika badilika. 6. Orbit ya Jua kuwa Elliptical (Duara dufu) na sio (Duara la kawaida lenye kipenyo kisichobadilika)...
  12. KIKOJR_TZ

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Haya mzigo huo hapo ndugu!
  13. KIKOJR_TZ

    Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

    Hiyo bangi unayovuta ni hatari, ko jua kuchomoza na kuzama ndiyo kitu cha kukuonesha kwamba dunia ina move? Ko wewe ukichukua kitabu ukakining'iniza hewani halafu sisimizi ukamuweka juu ya hicho kitabu, baadaye ukaanza kuzunguka hicho kitabu katika nyuzi 360ยฐ, huyo sisimizi atajitungia kwamba...
  14. KIKOJR_TZ

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Ko huyo mwanamke alipokuwa anasaliti alikuwa hafikirii kesho ya watoto wake endapo mumewe atajua? Kwanini mtendwa tu ndiyo mnamkumbusha sana suala la fyucha ya watoto? Watoto ataendelea kuwahudumia tu, ila mwanamke msaliti kuvumilika ni ngumu aisee!
  15. KIKOJR_TZ

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Ndugu yangu ishu sio bikra, ishu ni wivu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  16. KIKOJR_TZ

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Sio kazi rahisi kama mnavyofikiria vijana na jinsi wanaume tulivyo na wivu hivi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mtasababisha mmama wa watu siku moja anyongwe huko hayaa nyie lazimisheni watu hivyohivyo kuishi na watu waliovunja mioyo yao na ikavuja damu. Ndugu yangu watoto atakuwa anawatembelea tu kwa mama yao tena...
  17. KIKOJR_TZ

    Nadharia: Jinsi law of magnetics itakavyozuia ajali barabarani

    Sio kwamna tumeshindwa, sema hatujaamua tu na mitaji pia hatuna.
  18. KIKOJR_TZ

    Dunia iliishia 1999

    Hizi ndoto za mchana huwa ni jau kweli ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
  19. KIKOJR_TZ

    Jinsi teknolojia ya Motion capture inavyofanya kazi kwenye utengenezaji wa filamu

    Hata za ACTION zipo zenye uhalisia na maisha yetu ya kila siku, mimi hata kabla sijafahamu hiki kitu cha VFX nilikuwa sio mpenzi wa muv zenye vitu vya kufikirika, napenda ACTION MOVIES ila zenye vitu ambavyo vinawezekana kwenye maisha halisi, mfano Sร–Z hakuna sehemu patanifanya nigune kwamba...
Back
Top Bottom