Search results

  1. B

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam kukaa kifua wazi hivi unatufundisha nini dada zetu wa afrikasana/las v

    kama vile pinda anamwambia mzee una manyoya kama. MKUU WA MKOA WETU BAUNSA HANA NOMA NGUMI JIWE:shock:
  2. B

    Utata wa Tanganyika na Tanzania

    jamani hivi bado tunahitaji kujiuliza utanganyika na uzanzibar? leo hii ulaya mataifa makubwa yanaungana sisi bado tunawaza kujitenga kweli tutaweza kuwa na africa union? matajiri na wenye nguvu wanaungana nyie maskini na dhaifu mnatengana :spy:?
  3. B

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    Hao askari ni ndugu zetu watoto wetu baba zetu mama zetu wajomba zetu babu zetu na kadhalika tunachodai kina maslahi kwao vilevile sasa sioni sababu ya kuwachukia ila tu nikuwaelimisha kwani kiapo ndicho kinachowasumbua ila ipo siku na wao watachoka na magamba na kuamua kufuata njia iliyo sahihi...
  4. B

    Mlipuko watokea Ubungo-TANESCO, umeme wakatika!

    Njama hizo tusione mapokezi ya lema dodoma!
  5. B

    Wasindikizaji wa msafara wa Lema watawanywa na Polisi mkoani Manyara

    Wanahaha hao mwisho wao umekaribia wao na vizazi vyao!
  6. B

    Mlima kilimanjaro kushindwa kwenyemaajabu saba nimeshukuru na nifundisho kwetu sote

    Kwa hilo nitatofautiana na wewe kwanza kwa kushindwa binafsi imeniuma ila uzalendo haukuwepo binafsi nilifanya kampeni kwa kutengeneza tangazo lililokwenda nchi sita za africa mashariki lakini serikali ya ccm haikunipa support yoyote hii imeniuma!
  7. B

    Kimenuka Dodoma kambi ya upinzani wasusia, watoka nje bungeni

    Makamanda wa chadema walio na hasira na madudu yanayofanywa na ccm kuhusu katiba mpya waamua kukacha kikao baada ya wehu hawa kushindwa kufanya maamuzi magumu
  8. B

    Gari za FFU zimemwagwa Ubungo hadi Kimara

    Tatizo sio wao tatizo kiapo walichoapa cha kuwa watiifu kwa mkuu hata kama anamchukua wife inabidi atii tu.leo cha kati kimetoka hvyo wamesahau shida.(Cha kati ni posho)kwa wale mlioishi kota mnafaham
  9. B

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    tatizo bado katika jamii yetu kuna makombo bado ya watu wachache wanaofikiri kuwa haya maisha ni yao tu, wamesahau kwamba ipo siku mabadiliko ya kweli yatakuja sijui wataishi wapi na vizazi vyao, walikuwepo watu mashuhuri wenye nguvu lakini leo wako wapi? historia itawahukumu
Back
Top Bottom