Search results

  1. mwaJ

    Nilipotea njia

    Nilipotea muda mrefu kiasi kwamba hata mitaa ya JF nimeshaisahau. Nadhani hata familia yangu iliishakata tamaa ya kuniona tena. Mume wangu Mwita Maranya, wanangu Zion Daughter na snowhite naomba mnipokee. Maisha ya mjini yalinimeza nikasahau familia na rafiki zangu wa JF. Bujibuji tafadhali...
  2. mwaJ

    Happy Birthday Cacico

    Dearest cacico, may this day bring you countless happiness and endless joy and live with peace and serenity! Happy Birthday cacico.@snowhite lete sahani umma na kisu tukate cake, usisahau kumwita na mdogo wako Zion Daughter. Mwita Maranya karibu japo nisingependa uje maana umenikera kwa...
  3. mwaJ

    Happy Birthday Cacico

    Deleted
  4. mwaJ

    Picha Niliyoipenda

    Kati ya picha zote nilizoziona JK amepiga na wasanii, hii nimeipenda zaidi.
  5. mwaJ

    Happy Birthday Superman!

    Superman since today is your special day – it's your birthday, let me tell you what kind of a friend you are to me: Superman, a friend like you is like no other friend. A friend like you is a friend I don't regret meeting. A friend like you is like a friend I can't scream at or fight...
  6. mwaJ

    Msaada kwa Athuman Hamis

    Wanajukwaa la Sheria, hii ni thread toka jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko, nimeona niilete huku: Kuna ndugu yetu anaitwa Athumani Hamisi. Sasa ni miaka minne tokea apate ajali, Septemba 12, 2008 eneo la Kibiti Mkoani Pwani akiwa na wenzanke, wakiwa njiani kwenda kazini Kilwa mkoani Lindi...
  7. mwaJ

    Nimehuzunishwa: Msome Mwandishi Athumani Hamisi kisha Chukua Hatua Kumsaidia

    Habari ni ndefu lakini naomba msome mpaka mwisho. Si maneno yangu bali nimeileta kama ilivyo. Ninatumaini watakaoguswa watamsaidia. ATHUMANI HAMIS AONGELEA MUSTAKABALIWA MAISHA YAKE NA AOMBA MSAADA ATHUMAN HAMIS alikuwa ni mpiga picha katika vyombo vya habari...
  8. mwaJ

    Yu wapi Allien

    Wakuu naomba aliyemwona Allien ampe salamu zangu. Ninapenda sana thread zake hasa zile anazoleta na picha. Kwa takribani wiki ya tatu sasa nasaka kama kuna uzi mpya kutoka kwake sipati kitu. Jamani mpeni salamu mwambieni kuna mtu 'kam-mithi'.
  9. mwaJ

    Walichakachua katika thread ya uchaguzi

    Mie sijamuingiza chaka bana labda kama wanampango wa kuchakachua.
  10. mwaJ

    Nape: Nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni CCM!

    Taarifa ITV muda huu namwona Nape anadai nchi hii ina wenyewe na wenyewe ni chama cha mapinduzi! Hivi huyu mtu ana akili kweli? Ina maana wote wasio katika CCM hawana haki na hii nchi?
  11. mwaJ

    Tanzania na wingi wa Maonyesho

    Huwa najiuliza hivi serikali yetu inafikiria nini kuhusu huu mfululizo wa maonyesho (maonesho) mbalimbali ambayo yote yanahusu taasisi na idara za serikali. Maonyesho hayo ni kama ya Sabasaba (mwezi July kila mwaka); Nanenane (mwezi August kila mwaka); wiki ya utumishi wa umma na sasa miaka 50...
  12. mwaJ

    Mvutano kati ya serikali na kamati ya fedha

    Bungeni muda huu kuna mvutano mkali kati ya serikali na kamati ya fedha kuhusu kuongeza muda wa uhai wa Consolidated Holding Corporation. Kamati na kambi ya upinzani wanataka CHC wapewe muda mrefu zaidi wkt serikali yawapa miaka 3 baadae kazi zake zipelekwe kwa Treasury Registrar!
  13. mwaJ

    Elections 2010 Singida Kusini

    Jamani naomba mnijuze kuhusu Jimbo la Singida Kusini kule kwa mwaharakati wa Haki za Binadamu na Masuala ya Mazingira!
Back
Top Bottom