Search results

  1. Boko haram

    Rais Uhuru Kenyatta amtumia Salamu za pongezi Rais Mteule John Pombe Magufuli

    Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amemtumia salamu za heri kwa rais mwenzake wa Tanzania John Pombe Magufuli kwa kushinda uchaguzi uliomalizika hivi punde. Rais Kenyatta amesema kuchaguliwa tena kwa Magufuli ni ishara ya upendo na imani waliyo nayo Watanzania kwa uongozi wake. "Kwa niaba ya Watu...
  2. Boko haram

    Diwani wa kata ya Kaloleni Arusha kupitia CHADEMA ajiuzulu udiwani

    Diwani wa kata ya Kaloleni kupitia CHADEMA Emmanuel Kessy leo ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kuachia udiwani wa kata ya Kaloleni. ======== Arusha.Diwani wa CHADEMA Kata ya Kaloleni jijini Arusha, Emmanuel Kessy amejiuzulu uanachama wa chama hicho na kujiunga CCM huku akitoa sababu...
  3. Boko haram

    Manny Pacquiao vs Jeff horn

    Muda si mrefu mpambano utaanza stay tune...
  4. Boko haram

    Scary messages threaten voters ahead of Sombetini by-election

    PUSH messages being sent to residents of Arusha, targeting to scare them from the anticipated by - elections to feature a single ward of Sombetini are causing unrest here . The Police, however , say they are yet to receive official complaints from recipients who have been getting short messages...
  5. Boko haram

    Maneno ya Juma Duni Kwa CHADEMA

    Haya ni maneno aliyazungumza Juma Duni Haji je kuna ukweli wowote kuhusu huu ushirikiano unaoonyeshwa sasa hivi kati ya Chadema,CUF na NCCR Mageuzi au ni unafiki tu? MADHUMUNI ya Chama cha wananchi (CUF) kama yalivyo katika Katiba yake ni, "Kuwaunganisha Watanzania wakatae uonevu...
  6. Boko haram

    Dr Kikwete vs Dr Slaa

  7. Boko haram

    Lema awashauri wakristo wa Kaloleni kutokwenda kanisani tarehe 16 Juni ili washiriki uchaguzi

    Akihutubia wakazi wa kata ya Kaloleni leo hii mbunge wa Arusha mjini mh Godbless Lema amewaambia wakazi wa kata ya Kaloleni ikifika tarehe 16/7/2013 hakuna kwenda kanisani kwasababu hata kumchagua kiongozi mzuri ni ibada na amewaambia wachungaji siku hiyo wasamehe mambo ya sadaka,hayo maneno...
  8. Boko haram

    Nyakati: Mkataba wa waislamu na Odinga wamponza Magufuli

    Gazeti la nyakati limenishangaza sana kuhusu habari kwamba mtataba kati ya waislamu na waziri mkuu wa kenya na mgombea urais bwana Raila Odinga umemponza waziri Magufuli mimi nimeshangaa sana kwani mtu akiamua kuwapa jamii fulani haki kuna tatizo gani lakushangaza zaidi ni chama cha chadema...
  9. Boko haram

    laptop yangu haifungui you tube msaada

    wakuu laptop yangu inamatatizo ya kufungua you tube nilikua naomba mwenye ujuzi wa kutatua hilo tatizo
  10. Boko haram

    swali:hivu jua linazunguka kwenye muhimili wake au limetulia

    wana jf kunakitu kinanitatiza sana jua limetulia au na lenyewe linazunguka kwenye muhimili wake maana kuna mahali nimesoma inasema nalo linazunguka kwenye muhimili wake
  11. Boko haram

    Je inawezekana kutenganisha dini na siasa?

    Kuna kauli zinazozungumzwa kila siku kwamba watu wanatakiwa kutenganisha dini na siasa na ugomvi mkubwa kati ya kikundi cha uamsho na serikali ya mapinduzi ya zanzibar ni suala la kutenganisha dini na siasa, katika mihadhara ya uamsho sheikh farid alisema kwa mujibu wa dini ya uislamu huwezi...
  12. Boko haram

    Miaka 50 ya uhuru mnamkumbuka Kigoma Ally Malima?

    Kigoma Ally Malima alikuwa mwanaharakati mahiri sana alikuwa haogopi mtu penye ukweli alikuwa anasema ukweli lakini fitna alizo kumbana nazo mungu ndio anajua na mkumbuke suala la mwanafunzi kuandika jina lake kwenye mtiani yeye ndie aliye badilisha kutumika namba kwasababu kulikuwa na upendeleo...
  13. Boko haram

    Amana Benki ya Kiislamu yaanzishwa Tanzania

    Benki ya Kiislamu yazinduliwa Send to a friend Thursday, 24 November 2011 19:30 0digg Geofrey Nyang'oro WAFANYABIASHARA wanaofuata misingi ya dini ya Kiislamu wameanzisha benki mpya ya Kiislamu (Amana Benki L.T.D) itakayoendeshwa kwa kufuata sheria na...
  14. Boko haram

    Lema amuita mkuu wa mkoa mjinga

    Jana nilikuwa nasikiliza kituo kimoja cha radio hapa Arusha nikamsikia lema anasema mkuu wa mkoa ni mjinga asifikiri Arusha ni Bagamoyo vipi wana jf imekaaje hii?
Back
Top Bottom