Search results

  1. R

    Wazoefu Wa Biashara Za Nywele Dar

    Habari wakuu, Niende moja kwa moja kwenye mada. Mwenye/Wenye uzoefu wa biashara ya kununua na kuuza nywele, ni wapi naweza kupata, Hair Wigs kwa hapa Dar? Natanguliza shukurani zangu
  2. R

    Simtank au Kiboko

    Habari wana JF Swali langu, aina gani ya Tank la maji kati ya Simtank na Kiboko ni Bora na Imara na linalodimu kwa kuhifadhia maji Karibuni....
  3. R

    Nahitaji beli za mtumba Grade 1

    Habari wana JF Naomba kujuzwa ni wapi na maeneo gani naweza kupata mabeli safi grade 1 ya mtumba. Natanguliza shukrani.
  4. R

    Tank za kuhifadhia maji masafi

    Habari zenu wana JF Nahitaji kujua wapi nitapata Tank za kuhifadhia maji masafi Aina ya Tank, gharama zake, na litter ngapi za maji kwa Tank. Asanteni!
  5. R

    Gharama za kuchimba kisima Dar Es Salaam

    Habari wana JF Kumekuwa na sitofahamu kwa wachimba visima, haswa pale unapohitaji kuchimbiwa kisima, kila mmoja anataja gharama zake kwa anavyojisikia!. Hili ni tatizo! Napenda kufahamu kuhusu uchimbaji wa visima kwa hapa Dar Es Salaam. Je yupo mtu anayefahamu Company au mtu mwaminifu kwa...
Back
Top Bottom