Search results

  1. S

    Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    Ila pamoja na wanawake wakiislaam kuonekana kama wanamtii mume ndio wanaongoza kwa umalaya. Kama kuna wanawake rahisi kulala nao ni wa kiislam tena walioko kwenye ndoa ndio balaa wanaishi na waume zao kinafki Sana. Mara nyingi ule utiii una unafki.
  2. S

    Umewahi tembea umbali gani mrefu kwa miguu ndani ya jiji la Dar es Salaam?

    Vingunguti mpaka posta miguu iliwaka moto Vingunguti mpaka ubungo river side Vingunguti mpaka uwanja wa taifa Ila utoto ni shida
  3. S

    Wakristo, Hivi andiko gani limesema maiti azikwe akiwa kwenye Jeneza?

    Kwani sandal si kitambaa ambacho kinatokana na pamba ambayo ni mti na wenzenu wanazika na jeneza ambalo nalo ni zao la mti .. . Hizi imani hizi
  4. S

    Ni aibu kuwa na taifa ambalo Rais wake anaingilia Mhimili wa Mahakama na anajinasibu kufutia wakosaji makosa kinyume na katiba

    Mbona wakati anafingiliwa Kesi hawakulalamika kuna mashetani mengine huitaji kwenda kuzimu kuyakuta yapo tu yanajiwakilisha
  5. S

    Kwanini Wasabato hawakemei dhambi za Uzinzi, Uongo, Unafiki, Ushirikina na Wizi

    Ila wasabato wanafyatuana hadi rahaa yaani ukiwaona wanavyoimba kwa ustaaadi na ndivyo wanavyotafunana
  6. S

    Mfahamu Andreas Felipe Ballesteros Uribe Raia wa Colombia aliyekaa Keko mahabusu miaka 8 kwa kesi ya dawa za kulevya

    Tena ashukuru mungu kuna Sheria ya plea bargaining huyu jamaaa angefia jela alikuwa na gram 958 alikutwa nazo kwenye suruali na nyingine alikuwa kameza ziilitolewa kwa njia ya choo maalum pale JNIA huyu alitumwa kuleta madawa ya kulevya bongo baada ya kushindwa kulipa deni alilokuwa anadaiwa...
  7. S

    Msaada wa kwenda moshi nitamlinda kidogo na chochote kitu

    Hii ni chai tena inapoa sasa na ndio maana maelezo yake Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza na yeye ameamua kutojieleza kiusahihi hivyo habari yake inakuwa na walakini
  8. S

    DOKEZO Hospitali ya K’s Mbeya mna huduma mbovu

    Kwanini sasa imekuwa hivyo nakumbuka mwaka 2013 walimpa huduma bora sana mwanangu
  9. S

    Mkoa wa Kagera na Majanga Mazito!

    Sio hivyo hata watu wa KAGERA wakifika uzeeeni wengi wanafilisika, ile ardhi ina laaana hata takwimu za kitaifa ni mkoa maskini
  10. S

    Salamu za rambirambi

    Pamoja na yote hayo mkoa wa KAGERA NI MASKINI
  11. S

    Nimepapenda Dodoma

    Hivi huu nao ni Uzi
  12. S

    Fremu zinazojengwa hapa eneo la Jeshi Lugalo hadi njiapanda ya Kawe zitapangishwa raia au kwa askari tu?

    Ila ujenzi wa hizo frame umekuwa wa hovyooo kabisaa sijui kwa nini hatuna ubunifu kwenye ujenzi yaaani zimejengwa holela holela sana ilitakiwa itoke ramani ambayo ingekuwa kwa frame zote sio kama zilivvyo
  13. S

    Mbowe: Utawala wa Magufuli uliwatesa sana watu wa Kilimanjaro na Arusha!

    Endeleeni kuwachukia wachaaga sijui wachaga huwa wanawachukia kina nani ..upo ukweli magufuli alijenga chuki MBAYA dhidi ya watu wa kaskazini na ilikuwa nisawa kumbagua mkaskazini
  14. S

    CHADEMA tuna tatizo, wanachama wetu na wafuasi wengi hawana uwezo wa kupambanua masuala ya kisiasa

    Mbona wewe ndio unaongoza kwa uwezo mdogo kabisa wa kuchambua mambo ya kisiasa
Back
Top Bottom