Search results

  1. M

    Nina tatizo la kukojoa Mkojo wa Njano, Naomba msaada

    Wana jamvi nina tatizo la kukujoa mkojo wa njano kwa muda wa miaka kama mitatu sasa na ninaumwa tumbo upande wa kushoto, nimefanya vipimo mara mara kadhaa lakini naambiwa sina tatizo lolote. Naombeni ushauri wenu au kama kuna mtu anaweza kujua shida ni nini!
  2. M

    Dawa ya kukojoa mkojo wa manjano (yellow)

    wanajamii nimeelimika vya kutosha sana nawashukuruni
  3. M

    Dawa ya kukojoa mkojo wa manjano (yellow)

    Situmii pompe ya aina yoyote wana jf na ninatumia maji ya kutosha mpaka kero ila baada ya muda mfupi hali inajirudia. Asanteni kwa ushauri wenu
  4. M

    Dawa ya kukojoa mkojo wa manjano (yellow)

    Wana jamii naombeni msaada wenu nina tatizo la kukojoa mkojo wa njano sana kwa muda wa miaka mitatu sasa nimekwenda hospitali lakini inaonekana sina tatizo, naomba kujua dawa yake nn wana jamvi. Tatizo hili limekua ni kero kwangu hata ninywe maji mengi vip baada ya muda mfupi tu hali inajirudia...
  5. M

    John Mnyika: Muono wangu juu ya matumizi ya nguvu ktk mgomo UDSM 11.11.11

    jumatatu lazima tupachimbe hapa tuonekama watatuzidi nguvu tumechoka kuanewa
  6. M

    Mbeya: Hii ni sababu ya vita endelevu iliyoanza jana..

    yani sana tu vijana msikubali kuonewa tuko pamoja ningekua karibu nungekuja kuawaunga mkono juhudi zinazo fanyika nimechoka sana na naselikali ya kiboya iliyoko madarakani kwa sasa
  7. M

    Mbona vyombo vya habari vimesita kuongelea vurugu za Mbeya na UDSM?

    wanajaamii tujulisheni kinachoendelea mbeya
  8. M

    Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

    sababu ya msingi nn
Back
Top Bottom