Search results

  1. Marek18

    MSAADA: Tatizo na madoa meusi mikononi na miguuni

    Naomba msaada wa kuondoa madoa haya kwa mdogo wangu wa kike umri miaka 15. mwanzo alikua anasumbuliwa na upele uliokua unajitokeza kwa awamu na alipoenda hospital aliambiwa ni Allergy. Hili tatizo la kupata vipele vinavyowasha lilikua lina kuja na kupotea baada ya muda.... Baadae kidogo...
  2. Marek18

    MSAADA!!!

    Jamani poleni kwa majukumu... Nilikua naomba msaada kwa yeyote mtaalam wa online business hasa zile za ku-earn money online aje anipe msaada juu ya hii online site inayoitwa EARNJET niliyoambiwa ipo KENYA,TANZANIA NA UGANDA na inatoa asilimia 6% kila siku kwa pesa uliyo invest.. Kwa mfano...
  3. Marek18

    Haahahaahha!!!

    bangi inapokutana na pombe kwenye mkutano wa hadhara... Jamaa alikua ana date na demu wa kisabato na mambo yalikua hivi. Jmaa:baby unampenda msanii gani wa kike!? Demu: me hata siwajui kabsa Jamaa:mmmh...kwa mfano akina nani hao ambao hata huwajui!?? Demu: kuna kina zuchu,nandy,na anjella...
  4. Marek18

    Anayejua kozi nzuri za afya na chuo kipi wanaweza soma hapa nchini

    Wana jukwaa natumaini mpo salama muda huu na poleni kwa majukumu ya kila siku. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Nina wadogo zangu (mmoja ndo mdogo wangu wa damu na wawili ni rafiki zake na mdogo wangu) wamemaliza form six mwaka huu na matokeo yao ni kama ifuatavyo. Baraka(mdogo wangu)...
  5. Marek18

    Yeeep

    Kikundi cha mziki kilichopo milambo kinachoitwa PiTCHO GANG kimeachia Ngoma kuhusu milambo. Nyimbo inaitwa CHAMA LA WANAUME inapatikana YouTube.... Itafute upate burudani... Miongoni mwa mistari iliyomo wanakwambia HAKUNA MLAMBO MSHAMBA...
  6. Marek18

    Pitcho Gang

    Kikundi cha mziki kilichopo milambo kinachoitwa PiTCHO GANG kimeachia Ngoma kuhusu milambo. Nyimbo inaitwa CHAMA LA WANAUME inapatikana YouTube.... Itafute upate burudani... Miongoni mwa mistari iliyomo wanakwambia HAKUNA MLAMBO MSHAMBA...
  7. Marek18

    Kwa kina Rama..!!!!

    Kwa akina Rama kulikua ndio kuna video mtaa mzima. Kila ilipokua inafika Saa 12 naoga huyooo Kwa WA RAMA, mda mwingne wakiivisha nipo mara moja moja nilikua nakula kwa WA RAMA. Sasa siku Moja nipo nacheki movie Mara nikakaribishwa msosi ile nafika dinning room Mara paaaaap MSHUA a.k.a dingi...
  8. Marek18

    Dodoki..#

    hakuna kitu kinaumiza kama uwe na wiki hujaoga halafu siku umeamua kuoga ukute dodoki lako lina unyevu nyevu kumbe kuna kobe kipindi huogi yeye alikua analipigia pigia sumarry kiaina tuuu... #me nilikuaga nakasirika naongeza wiki mbili zingine za kutokuhudhuria BAFUNI...!!!!
  9. Marek18

    Best collabo

    kuna collabo nyingi nzuri tu ila zipo ambazo kwangu ni nzuri zaidi. huwa napenda collabo kwani ndani yake utasikia radha na sauti tofauti tofauti.... zifuatazo ni baadhi tu ya collabo hizo... -wakazi ft fid q & dully Sykes_torati ya mtaa -jux ft ben pol_nakuchana abbah ft marioo & mesen...
  10. Marek18

    Kwa nini mtu akipoteza/kitu chake kuibwa huweza tafuta sehemu ambayo haitarajiwi. Tatizo ni nini?

    Hivi kwanini watu wanapoibiwa au kupoteza kitu huwa wanafanya mambo ya ajabu... 1.Kuna jamaa aliibiwa bicycle sokoni yaan aliitafuta hadi mfukoni duh.... 2.huyu yeye alipoteza funguo za gheto,zilikua nyingi tu ila cha ajabu alianza kuzitafuta kwenye maeneo tofauti mara afungue mfuniko wa simu...
Back
Top Bottom