Leo mchana nimeota ndoto mbaya inahusu kolowizadi kupigwa mkono na Al ahly October 5, kwa mkapa na kule Masri nikasikia watu kama waarabu wanaimba sabah sabah sabah. Wala Sijui walimaanisha nini
Kwa pira hili la yanga ya Gamondi ya msimu huu, niwasihi CAF wawape tu yanga kombe lao la bingwa wa CAFCl mapeeeema. Siioni timu yoyote Africa ya kuweza kuuzuia huu upepo wa kisuli suli nje au ndani.
Na kwa anayenunua magoli, mwambieni mwaka huu ajipange. Maana kuna uwezekano hazina yeke ya...
Kocha aliwaambia viongozi wa simba hataki kumuona CCC msimu ujao, viongozi nao wakamwambia Chama haendi popote, kama vipi bora wampe thank you yeye Kocha. Kocha kaona isiwe tabu, jana kaamua kurudi kwao Brazil.
Gadiola mnene muda si muda anachukua tena timu
Kolo aka mbumbumbu fc sijui ni lini watakuwa makini na usajili. Kila msimu ukitia ndani msimu huu, wameendelea kusajili magarasa tu. Sasa hivi wanahangaika na Djuma Shaban, Yanini Bangaiza, na Lomalinda. Hivi vibabu vitawafikisha wapi nyie kolowizadi?
Nchi za ulaya mangaribi zinatumia western liberal model of development
Nchi za asia: south korea, Taiwan, Thailand, Singapore, na Malaysia zinatumia: developmental state model
US wanatumia command and market economic model
Sasa, naomba kuuliza kiungwana tu, Tanzania yetu na hasa serikali hii...
Kwa kuwa Watanzania wameonesha kukosa uwezo wa kuendesha reli zetu, mimi kama Mtanzania mzalendo tena kindakinda, natoa ushauri kwa serikali yetu tukufu waipe DP World watuendeshee SGR yetu.
Tukiwapa reli yetu DP World tutapata mafanikio zaidi ya hayo tunayotarajia kuyapata kwa kuwapa bandari...
Pamoja na kupewa dege na Rais bure kuwasafirisha yanga kwenda Algeria, naskitika kusema hapa kwamba tarehe 3/6/23 uto atapokea kipigo kama cha ngedere aliyekula parachichi za mkinga.
Miezi michache iliyopita Rais alitoa tiketi 20k bure kwa ajili ya mashabiki kwenda kuishangalia Taifa Stars vs. Uganda matokeo yake tulipigwa.
Jana katoa tena tiketi 5k bure kwa mashabiki kwenda kuishangilia Yanga vs. USM Alger. Je, historia itajirudia?
Usm Algiers haina ubavu wa kuifunga Yanga na kwa maana hiyo Yanga atabeba ndoo ya CAF Confederation of Losers.
Hizi ni taarifa mbaya sana kwa Simba SC, Kanjibai mwaka huu atatimua hadi mesenja.
Huyu mshambuliaji wa Simba kidogo kidogo anapotea kwenye game kama ndugu zake Makambo, Kisinda, Miquisone, Moses Phiri, etc
Hii timu ya Ulaya inataka kumsajil akafanye nini kama hapa anashindwa?
1. Robertinho ni mmoja wa makocha bora wa kigeni wanaolijua soka la Afrika mashariki
2. Hajakaa na timu muda mrefu ili aweze ku-instil falsafa yake ya timu kushambulia muda wote.
3. Timu ipo kwenye hatua ya mwisho ya kukua: kuanguka kwa kiingereza decline
4.Mgunda ndiyo mchawi wa robertinho...
Ni miaka 62 imepita baada ya Tanzania kupata uhuru kamili. Lakini ukiniuliza ni faida gani tumepata kwa kuwa huru, sina jibu.
1.Hatuna uhuru wa kisiasa. Siasa yetu bado inasimamiwa na mabeberu e.g. swala la vyama vingi, demokrasia, etc
2. Hatuna uhuru wa uchumi. Uchumi wetu bado upo mikononi...
Tangu tupate uhuru, serikali ya Tanzania haijawahi kuwa na nia njema kwa wananchi wake; kisiasa, kiuchumi, wala kiafya.
Kodi tunazolipa hazitumiki kuinua hali ya maisha ya wananchi bali kuneemesha viongozi na ndugu zao. Kwa mfano; serikali kununua gari la Tshs 400m kwa ajili ya mkuu wa wilaya...
1. Uchumi wa Tanzania umeendelea kuzorota siku hadi siku. Na sasa maisha ya wananchi wengi yako taabani.
2. Ni nini serikali imekosea hadi hali ya uchumi wetu kuwa taabani kuliko wakati wowote tokea uhuru.
3. Wakati wa mwalimu Nyerere vitu vilikosekana laki bei haikupanda siyo kwa bidhaa hata...
1. Maeneo mengi ya Morogoro mjini hayana maji toka June, 2022 wao wamekaa tu kama hawahusiki.
2. Sehemu zinazopata maji hasa eneo la Bong'ola, maji hayo ni machafu na hayatibiwi.
3. Bili haziakisi kiasi cha maji mteja alichotumia
4. Matatizo ya wateja hayafanyiwi kazi
4. Waziri wa maji...
Simba wana mpango wa kumsajili siza lobi manzoki, mchezaji wa Dalian Pro ya China, kwenye dirisha dogo la usajili linaloanza December 1, 2022. Ni jambo jema.
Hata hivyo, huyu Manzoki toka amejiunga na Dalian, amecheza mechi moja tu, na hajafunga bao lolote
Kwa muda mrefu sasa hajapangwa kwenye...
Baada ya mashabiki kulalamika kwamba marefa wanahongwa kuruhusu magoli ya mchongo, sasa wapuliza filimbi hao wa mchongo wamekuja na mbinu nyingine: kudhoofisha timu kiakili na kimwili kwa kuwalima wachezaji red kadi za magumashi.
Juzi hapa baada ya kuonekana kuwa wakata miwa wa turiani...
Jana baada ya uto meza kuwapindukia kwa kupigwa kimoja bila majibu na Al Hilal na hivyo kuangukia Kombe la Losers, uongozi chini ya Injinia wa mchongo wameazimia yafuatayo:
1. Kocha ajieleze na aoneshe hiyo meza aliyowaaminisha wana Yanga ataipingua Khartoum ni meza ya aina gani?
2. Kwa nini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.