Search results

  1. A

    Habarini wakuu hivi nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi hadi finishings?

    30m, kwa hiyo nyumba, inatosha na kubaki. Kupaua: hiyo 15m umeipataje? Makadirio yangu: 1. Bati (romantile 28G) 100 x 40k = 4m 2. Mbao 2m 3. Fundi 1m 4. Misomari 200k 5. Contingency 1000k Total 8.2m Akitumia bati simba dumu, 5m inatosha sana
  2. A

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    W Wenye elimu kubwa nao ni kama hawana elimu tu. Unamkumbuka yule propesa wa jalalani? Osorowu? Ndalicheka, etc.
  3. A

    FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

    Gooooal, maarufu chekeni anaisawazishia Singida Bull Shit: 1-1
  4. A

    Katika Cabinet Reshuffle inayokuja soon 'Matege Ndani' anaenda Kuula, ila wa Tanga, Lindi na Singida mnaondoka

    Jamaa wa Lindi anaweza kutupiwa virago, lakini jamaa wa Tanga na Singida hao ni injini ya Hangaya. Hawezi kuwatengua lje mvua au jua.
  5. A

    Yericko: Makonda Aitwe Bungeni,Tuhuma za Kesi ya Uhaini ya mawaziri, Na Generali Mobeyo Aitwe kueleza Bunge ukweli wa Kesi ya uhaini Uliofanyika 2021

    Avushwe ili akafanye nini? Wananchi tunataka mtu mwenye uwezo wa kukuza uchumi, kuwajibisha mafisadi, kulinda rasilimali zetu. Huyu tuliyenaye ameshindwa yote. Kwà maana hiyo, hakuna haja ya kuendelea naye tena.
  6. A

    Msaada: Anayejua mchanganuo wa uniti moja ya maji kwa ndoo pamoja na gharama yake anijuze

    Morogoro mjini tatizo la mita za maji kusoma units nyingi kuliko units halisi unazotumia ni kuwepo na hewa nyingi kwenye mabomba.
  7. A

    Sokoine University of Agriculture (SUA) special Thread

    Hajafariki. Huyo jamaa mzushi tu.
  8. A

    Rais wa CAF, Patrice Motsepe aipongeza Mamelodi usiku huu wa manane

    Mruke ruke, mkimbie, mtukane, mlie, the end is always the same: mlishindwa na MSFC ndiye aliyeenda nusu fainali. Wakati mnalalamika, nanyi kumbukeni mechi yenu na Kagera sugar, pàle refarii alipokataa goli lao la ushindi dhidi yenu. Malipo ni hapa hapa duniani.
  9. A

    Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

    Laptop, i phone na dollar 150 haviwezi kuwa na uzito wa ratili 105 kama ilivyoandikwa kwenye risiti. Pili mtu binafsi huwezi kupeleka pesa kama mzigo. Hizo documents ni fake
  10. A

    Kwa hili la panga pangua viongozi Rais Samia atapoteza mvuto kwa Chama na kwa Wananchi

    Makonda alisema hutuwezi kumtenganisha mama na magufuli.
  11. A

    TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Huyo mtangazaji wa tbc atueleze meli iliyoko ziwa victoria itakwendaje south sudan na zambia
  12. A

    Natafuta mpenzi wa kike mtu mzima

    55 ni mzee sana, mrudie mke wako. Hakuna awali mbovu
  13. A

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Simba hii hii ya jobe na babacar wa mbagala ndiyo iifunge al ahly? Naziona bao hizii: 0-5 na mkifika cairo mnachezea wiki 7-0
  14. A

    FT: Simba 0-1 Al Ahly | CAF CL Robo Fainali | Benjamin Mkapa Stadium | 29/03/2024

    Al ahly piga mkono hao robo robo fc na huyo kocha wao kipipa
  15. A

    Licha ya kwamba mimi ni Mkristo, leo sitakula nyama sababu mshahara wa mwezi wa pili bado haujatoka

    Si afadhali wewe bwashee, sisi hatujalipwa mwezi wa 6 huu. Na wanaume tunadunda tu.
  16. A

    Kuna nini kwenye soka la Tanzania, Mbona kila timu ya kigeni inakuja na Chakula chake?

    Kama hatutawapata kwenye chakula, tutawapata kwenye hewa. Labda kama wamekuja na hewa yao.
Back
Top Bottom